KAPETO🇹🇿(@kapeto98) 's Twitter Profileg
KAPETO🇹🇿

@kapeto98

Insurance | Interested With Investment | Raia Mwema | @Absgroup_tz @KapetoMall | Arsenal Fan | Alhamdullah

ID:1241301299800543232

linkhttps://alhajibashirusefu.web.app calendar_today21-03-2020 09:51:22

229,8K Tweets

115,3K Followers

3,9K Following

millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ametoa muda wa miezi miwili kwa Vyombo husika chini ya R.T.O kuhakikisha kila gari la TAXI linalofanya kazi katika Mkoa wa Arusha linakuwa na rangi maalum tofauti na ilivyo sasa ambapo amesema TAXI zina rangi tofautitofauti zinazopoteza

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ametoa muda wa miezi miwili kwa Vyombo husika chini ya R.T.O kuhakikisha kila gari la TAXI linalofanya kazi katika Mkoa wa Arusha linakuwa na rangi maalum tofauti na ilivyo sasa ambapo amesema TAXI zina rangi tofautitofauti zinazopoteza
account_circle
KAPETO🇹🇿(@kapeto98) 's Twitter Profile Photo

AHSANTENI SANA NYOTE MLIOHUDHURIA SPACE YETU.🙏🙏

KWA WALIOKOSA SPACE UNAWEZA KUSKILIZA RECORDED SESSION.
Cc Niajiri Platform Secelela Madeje Msomi Khan
x.com/i/spaces/1ypKd…

account_circle
Dr. Jabhera Matogoro(@Dr_Matogoro) 's Twitter Profile Photo

📍Nzuguni, Dodoma

Lakini msisahau kutenda mema na kushirikiana maana sadaka kama hizi ndizo zimpendezazo Mungu. [Waebrania 13: 16]. Na hili ndilo neno la Bwana!

📍Nzuguni, Dodoma Lakini msisahau kutenda mema na kushirikiana maana sadaka kama hizi ndizo zimpendezazo Mungu. [Waebrania 13: 16]. Na hili ndilo neno la Bwana!
account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍IKULU,Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana na Mkurugenzi waBiashara wa Kampuni ya Biotechnology and Pharmaceutical Industries ya nchini Cuba Dkt. David Curbelo mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika IkuluJijini Dar es

📍IKULU,Dar es Salaam Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana na Mkurugenzi waBiashara wa Kampuni ya Biotechnology and Pharmaceutical Industries ya nchini Cuba Dkt. David Curbelo mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika IkuluJijini Dar es
account_circle
Ummy Mwalimu🇹🇿(@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Leo taarifa fupi ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ktk Jimbo letu la Tanga Mjini. Tunamshukuru Rais Samia kwa kutuwezesha kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo Tanga Mjini. Watu wa Tanga Mjini tupo bega kwa bega na Rais Samia ikiwemo kumpa kura za kishindo 2025.

account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍IKULU,Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo naujumbe wa watalaam kutoka kampuni ya Biotechnology and Pharmaceutical Industries ya nchini Cuba wakiongozwa na Mkurugenzi wa Biashara wa Kampunihiyo Dkt. David

📍IKULU,Dar es Salaam Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo naujumbe wa watalaam kutoka kampuni ya Biotechnology and Pharmaceutical Industries ya nchini Cuba wakiongozwa na Mkurugenzi wa Biashara wa Kampunihiyo Dkt. David
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema Wizara hiyo imeanza kutekeleza agizo la Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan la kuhakikisha Watu wanatumia bili za maji za luku kama za umeme kwa lengo la kupunguza ubambikiziaji wa bili za maji.

Aweso amesema hayo mbele ya Katibu Mkuu

account_circle
Nicholaus Nikusekela(@NNikusekela) 's Twitter Profile Photo

KAPETO🇹🇿 Please mje pia mfanye hiyo program Iringa, kuna idadi kubwa ya graduates na NCCL Consulting tupo tayari kufanya kazi pamoja na Niajiri karibuni Iringa

account_circle
Kheri Mahimbali(@MahimbaliK) 's Twitter Profile Photo

Leo nimeanza rasmi ziara ya siku mbili wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Chunya ni mkoa wa kimadini na kimkakati. Shughuli za uchimbaji madini katika Wilaya ya Chunya zinafanyika katika maeneo tofauti kama vile Itumbi, Makongolosi, Sangambi, Ifumbo, Matundasi na Mbugani. Uchimbaji

Leo nimeanza rasmi ziara ya siku mbili wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Chunya ni mkoa wa kimadini na kimkakati. Shughuli za uchimbaji madini katika Wilaya ya Chunya zinafanyika katika maeneo tofauti kama vile Itumbi, Makongolosi, Sangambi, Ifumbo, Matundasi na Mbugani. Uchimbaji
account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Chunya

Today, I embarked on a two-day visit to Chunya district in Mbeya region. Chunya is known for its significant mining and strategic importance. Mining activities in the Chunya district are concentrated in various areas such as Itumbi, Makongolosi, Sangambi, Ifumbo,

📍Chunya Today, I embarked on a two-day visit to Chunya district in Mbeya region. Chunya is known for its significant mining and strategic importance. Mining activities in the Chunya district are concentrated in various areas such as Itumbi, Makongolosi, Sangambi, Ifumbo,
account_circle
MR BEN(@Eric__Bernard) 's Twitter Profile Photo

Maoni ya Waziri wa Madini Mhe Anthony Mavunde kwenye Kongamano la Kwanza la Kitaifa kuhusu Maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050!

account_circle