millardayo(@millardayo) 's Twitter Profileg
millardayo

@millardayo

Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]

ID:132880407

linkhttp://www.millardayo.com calendar_today14-04-2010 12:30:30

145,3K Tweets

2,7M Followers

489 Following

Follow People
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi, Ally Hapi amewataka Wazazi kuungana kuhakikisha kunakuwa na maadili mema katika Jamii ili kuondoa tabia zisizofaa ikiwemo za Vijana wanaotukana mitandaoni.

Akiongea leo May 04,2024 akiwa kwenye ziara yake Mufindi Mkoani Iringa, Hapi amesema…

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Abiria waliopanga kusafiri kwa boat za Azam na Zanzibar One kutoka Zanzibar kuja Dar es salaam na kutoka Pemba kwenda Unguja na Tanga leo May 04,2024 wamekwama baada ya safari kusitishwa kutokana na hali mbaya ya upepo baharini iliyosababishwa na kimbunga Hidaya.

@AyoTV_…

Abiria waliopanga kusafiri kwa boat za Azam na Zanzibar One kutoka Zanzibar kuja Dar es salaam na kutoka Pemba kwenda Unguja na Tanga leo May 04,2024 wamekwama baada ya safari kusitishwa kutokana na hali mbaya ya upepo baharini iliyosababishwa na kimbunga Hidaya. @AyoTV_…
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi CCM, Ally Hapi yupo Mkoani Iringa ambako ameianza ziara yake ya Mikoa minne jana May 03,2024 ambapo akiwa Iringa amewataka Wazazi wasimamie malezi ya Watoto wao ili kukomesha wimbi la ukatili wa jinsia.

Hapi amesema “Msimamie malezi ya…

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) umetoa taarifa kwa Watumiaji wa vivuko katika baadhi ya maeneo ya Mikoa ya Mtwara, Lindi, Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia, Mkoa wa Dar es salaam pamoja na Tanga kwamba, kutakuwa na kusimama kwa utoaji wa huduma ya vivuko katika…

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema hadi kufikia saa 3 usiku wa jana May 03,2024, Kimbunga “HIDAYA” kilikuwa katika eneo la bahari takriban kilomita 230 kutoka pwani ya Kilwa (Mkoa wa Lindi) na kilomita 170 kutoka pwani ya Mafia kikiwa na mgandamizo wa hewa wa kiasi…

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa njia ya kusafirisha umeme ya Gridi ya Taifa kuanzia majira ya saa 8:40 usiku wa kuamkia leo May 04,2024 hivyo kusababisha baadhi ya maeneo Nchini kukosa huduma ya umeme.…

VIDEO: Kampuni ya Watanzania ya Imperial Innovations imetengeneza mita za maji za kisasa za prepaid ziitwazo ‘moran’ zitakazowawezesha Watumiaji kununua maji kabla kama ilivyo kwa umeme wa LUKU.

Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Murtaza Ebrahim kwenye mahojiano haya sehemu ya kwanza…

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda ametangaza kuanza kwa siku tatu maalum za kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za Wananchi wa Mkoa wa Arusha kuanzia Jumatano ya wiki ijayo May 08, 2024.

Makonda amesema hatua hiyo ni utekelezaji wa maagizo ya Rais wa Jamhuri ya…

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa Makete, Festo Sanga akichangia Bungeni Dodoma leo May 03,2024 amesema Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limezidiwa hivyo ameshauri kuwepo Taasisi/Wakala watatu tofauti wanaosimamia umeme Nchini ili kuboresha ufanisi.

Sanga amesema “Mahitaji na matumizi ya Umeme…

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema Dkt. Samia Super-Specialized scholarship Programme imetoa nafasi za ufadhili wa masomo ya ubingwa na ubingwa bobezi ambapo kwa mwaka wa masomo 2023/2024, jumla ya Tsh. bilioni 10.9 zimetengwa na kuwawezesha Wanafunzi 1,109 kwenye masomo ya…

Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi, inayokuja na maboresho makubwa kwa Wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali ambapo kupitia akaunti hii Wanakikundi wataweza kutumia NMB Mkononi kufanya vitu mbalimbali ikiwemo kufungua akaunti kiurahisi na papo hapo kwa kubofya…

Toleo la 4 la Startupper of the Year Challenge ya itaangazia wajasiriamali wadogo na vijana wabunifu ili kuibua washindi 3 kupitia makundi ya tuzo zifuatazo:

💡 Innov'Up: Tuzo bora ya mjasiriamali.

🔄 Cycle'Up: Tuzo bora ya mradi endelevu.

⚡ Power'Up : Tuzo…

Toleo la 4 la Startupper of the Year Challenge ya #TotalEnergies itaangazia wajasiriamali wadogo na vijana wabunifu ili kuibua washindi 3 kupitia makundi ya tuzo zifuatazo: 💡 Innov'Up: Tuzo bora ya mjasiriamali. 🔄 Cycle'Up: Tuzo bora ya mradi endelevu. ⚡ Power'Up : Tuzo…
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) Silvester Mwakitalu, leo May 05,2024 amewasilisha katika Mahakama Kuu ya Tanzania masijala ya Arusha ombi la kuiondoa rufaa No.155 ya Mwaka 2022 aliyokuwa ameikata dhidi ya Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake saba ya…

Huu ni muonekano wa Mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani Mtwara leo May 03,2024 ambapo vipindi vya mvua nyepesi na upepo wa wastani tayari vimeanza kujitokeza katika maeneo ya Mtwara Mjini ikiwa ni moja ya athari zilizosababishwa na uwepo wa kimbumga “HIDAYA”…

account_circle