millardayo(@millardayo) 's Twitter Profileg
millardayo

@millardayo

Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]

ID:132880407

linkhttp://www.millardayo.com calendar_today14-04-2010 12:30:30

145,4K Tweet

2,7M Takipçi

489 Takip Edilen

Follow People
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amewataka Wanaume wenye tabia ya kuwa na mahusiano na Wanafunzi kuacha tabia hiyo huku akisema kama uniform za Wanafunzi zinawavutia wawashonee Wake zao.

Amesema Wanaume wanaowarubuni Watoto wa kike na kuwapa mimba ni Watu wazima hivyo

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amekabidhiwa na Jeshi la Polisi gari lake aina ya Toyota Landcruiser V8, VXR ambalo alishambuliwa nalo miaka saba iliyopita na Watu wasiojulikana na kumsababishia majeraha katika mwili wake.

Lissu amekabidhiwa gari hilo Jijini Dodoma

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Dereva wa pikipiki ya Afisa mifugo Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga, Abel Adamson Mwaipopo (25) amefariki Dunia baada kumgonga ndege aina ya bundi na kisha pikipiki yake kupoteza mwelekeo na kuanguka na hatimaye kupoteza maisha yake.

Mkuu wa Wilaya ya Handeni Albert Msando

Dereva wa pikipiki ya Afisa mifugo Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga, Abel Adamson Mwaipopo (25) amefariki Dunia baada kumgonga ndege aina ya bundi na kisha pikipiki yake kupoteza mwelekeo na kuanguka na hatimaye kupoteza maisha yake. Mkuu wa Wilaya ya Handeni Albert Msando
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Shindano linalofanyika kila mwaka liitwalo ‘Space-out’ Nchini Korea Kusini hutumika kusaka aliyekuwa bora kwenye sekta ya ‘kukaa tu bila kufanya kitu chochote’ ambapo Mshiriki haruhusiwi kusinzia, kuangalia simu yake au kuzungumza kwa dakika 90.

Unaambiwa hadi mapigo ya moyo ya

Shindano linalofanyika kila mwaka liitwalo ‘Space-out’ Nchini Korea Kusini hutumika kusaka aliyekuwa bora kwenye sekta ya ‘kukaa tu bila kufanya kitu chochote’ ambapo Mshiriki haruhusiwi kusinzia, kuangalia simu yake au kuzungumza kwa dakika 90. Unaambiwa hadi mapigo ya moyo ya
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga Zainab Abdallah amewataka Watendaji Wilayani humo kusimamia miradi ya maendeleo kwa wakati ili kuendana na kasi ya Serikali ya kutatua changamoto mbalimbali zinazo wakabili Wananchi huku pia akiwataka kuwa Wanyenyekevu ili Mungu awainue zaidi

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu amemuomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda Wizara nyingine itakayowasaidia Watoto wa kiume na kupunguza matukio ya ukatili kwa Watoto wa kiume.

Msambatavangu ametoa ombi hilo wakati akichangia Makadirio ya

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Wizara ya Nishati inaendelea kutekeleza agizo la Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan la kuwaleta pamoja Wadau na Wabunifu ili kusaidia Watanzania kutumia gesi ya kupikia kwa kulipia hadi Tsh. elfu moja kama ilivyo luku za

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo amesema takwimu zinaonesha takribani Watanzania elfu 32 kila mwaka wanapoteza maisha kwa sababu hawatumii nishati safi ya kupikia.

Jafo amesema hayo leo May 17,2024 Ikulu Jijini Dar es salaam wakati

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Kampuni ya Total Energies imesema imejizatiti ili kuhakikisha ifikapo mwaka 2030 Watu milioni 100 wa Afrika pamoja na India wanatumia nishati safi ya kupikia ambapo kwa Tanzania tayari Kampuni hiyo imezindua gesi ya kupikia na imepanga kutumia takribani Tsh. bilioni 17 kwa mwaka

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

'Kifuta jasho' ni maneno mawili maarufu sana kuyakuta midomoni mwa Watu ambao wanazitazama kesho zao kwa kuogopa kuadhirika, Watu wanaoogopa kutaabika huko mbeleni na kujutia nguvu za ujana wao, ni herufi kumi na moja ambazo ukizizingatia zinaweza kukupatia kitambaa cha bei ghali

Taarifa ya haki ya dawa za kulevya Duniani ya mwaka 2023 imeonesha kuwa takribani Watu milioni 219 walitumia bangi mwaka 2021 sawa na 4% ya idadi ya Watu duniani ambapo idadi hiyo imeongezeka kwa 21% katika kipindi cha muongo mmoja uliopita.

Taarifa hiyo ambayo imeandaliwa na

Taarifa ya haki ya dawa za kulevya Duniani ya mwaka 2023 imeonesha kuwa takribani Watu milioni 219 walitumia bangi mwaka 2021 sawa na 4% ya idadi ya Watu duniani ambapo idadi hiyo imeongezeka kwa 21% katika kipindi cha muongo mmoja uliopita. Taarifa hiyo ambayo imeandaliwa na
account_circle