Mohammed Ghassani(@moghassani) 's Twitter Profileg
Mohammed Ghassani

@moghassani

Multimedia Journalist. Poet. Author.

ID:244697150

linkhttp://mohammedghassani.online calendar_today29-01-2011 22:49:47

5,5K Tweets

17,2K Followers

530 Following

Mohammed Ghassani(@moghassani) 's Twitter Profile Photo

Lau ni kweli mchapishaji wa bango hili ni Baraza la Kiswahili la Taifa, basi Kiswahili cha Mashemegi zangu kimekula hasara kubwa kuwa na msimamizi huyu.

Lau ni kweli mchapishaji wa bango hili ni Baraza la Kiswahili la Taifa, basi Kiswahili cha Mashemegi zangu kimekula hasara kubwa kuwa na msimamizi huyu.
account_circle
Mohammed Ghassani(@moghassani) 's Twitter Profile Photo

Allah atuwafikishe kufa wakati tunatabasamu kwa furaha ya kukutana Naye, huku tunawaacha walio nyuma yetu wakitulilia kwa kuondoka kwenye maisha yao. Si kinyume chake. Amin!

account_circle
Mohammed Ghassani(@moghassani) 's Twitter Profile Photo

DUNIA na AKHERA zinaungana. Tukifanya la KIDUNIA, hutakiwa kuzingatia hisabu yake KIAKHERA. Kusema 'siasa mambo ya kidunia tu' si kwamba haina hisabu Akhera. UKWELI ni kuwa dunia na akhera ni muendelezo mmoja wa uhai wa mwanaadamu uliogawanywa kwa mstari wa TENDO na MATOKEO.

account_circle
Mohammed Ghassani(@moghassani) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea nakala yangu ya jarida la 'Lettres d'hivernage: Revue Poètique' (usiniulize maana yake, utanivuruga na mapema) kutoka kwa ndugu yangu Aurèlie Journo ambaye ameutafsiri utungo wangu MENGI MNO uliomo kwenye diwani ya N'NA KWETU. Trop-plein! Merci, ndugu yangu.

MBAGUZI anamtuhumu ANAYEMBAGUA kwa UBAGUZI kwa kuwa mbaguliwa amezungumzia ubaguzi. Mwenye CHUKI anamshambulia ANAYEMCHUKIA kwa kupandikiza CHUKI kwa kuwa tu mchukiwa huyo ameibainisha chuki. DHALIMU anamlaumu MDHULUMIWA kwa DHULUMA kwa kuwa tu mdhulumiwa huyo ameikemea dhuluma.

account_circle
Mohammed Ghassani(@moghassani) 's Twitter Profile Photo

When we ran away from You, You didn't turn away from us but waited until we realized that there was only one way to safety. Your way. And you welcomed us.

account_circle
Mohammed Ghassani(@moghassani) 's Twitter Profile Photo

Ahsante dada yangu ⁦Meg Arenberg⁩.

Mohammed Khelef Ghassani’s “Kwetu”: poetry, place, and liberation: Journal of the African Literature Association
tandfonline.com/doi/full/10.10…

account_circle
Meg Arenberg(@MegArenberg) 's Twitter Profile Photo

Grateful to have an article in such good company in this special issue on freedom in JALA — my attempt to untangle some knotty themes of enslavement and liberation in Mohammed Ghassani’s elegant poetry

account_circle
Mohammed Ghassani(@moghassani) 's Twitter Profile Photo

Leo kwenye tunaangazia jukumu la mwanamme kwenye vita dhidi ya udhalilishaji watoto na wanawake. Tutakuwa na kisa cha baba anayepigania haki na heshima ya mtoto wake wa miaka minne aliyenajisiwa na jirani yake. clubhouse.com/join/gumzo-la-…

Leo kwenye #NusuraTALK tunaangazia jukumu la mwanamme kwenye vita dhidi ya udhalilishaji watoto na wanawake. Tutakuwa na kisa cha baba anayepigania haki na heshima ya mtoto wake wa miaka minne aliyenajisiwa na jirani yake. clubhouse.com/join/gumzo-la-…
account_circle
Mohammed Ghassani(@moghassani) 's Twitter Profile Photo

Leo kwenye tunazungumzia dhima ya mwanamke kwenye mapambano dhidi ya udhalilishaji visiwani Zanzibar. Tutakuwa na mkasa wa Binti aliyefanyiwa udhalilishaji na baba wa kambu na juhudi za mama yake kupigania sheria ichukuwe mkondo wake. clubhouse.com/join/gumzo-la-…

Leo kwenye #NusuraTalk tunazungumzia dhima ya mwanamke kwenye mapambano dhidi ya udhalilishaji visiwani Zanzibar. Tutakuwa na mkasa wa Binti aliyefanyiwa udhalilishaji na baba wa kambu na juhudi za mama yake kupigania sheria ichukuwe mkondo wake. clubhouse.com/join/gumzo-la-…
account_circle