𝕄𝕣. 𝔹𝕖𝕖🍯🇹🇿 (@mrbeetanz) 's Twitter Profile
𝕄𝕣. 𝔹𝕖𝕖🍯🇹🇿

@mrbeetanz

Beekeeping Expert | Researcher|Beekeeper|🐝 🍯✌️| @SimbaSc|@Mancity

ID: 1238773526888435713

calendar_today14-03-2020 10:27:06

92,92K Tweet

15,15K Followers

9,9K Following

𝕄𝕣. 𝔹𝕖𝕖🍯🇹🇿 (@mrbeetanz) 's Twitter Profile Photo

🐝NAKUSANUA 🐝 🍯UZALISHAJI WA ASALI 🇹🇿 Tanzania inauwezo wa kuzalisha asali Tani 60,000 kwa mwaka kutokana na uwepo mkubwa wa Misitu hekta 41.7 milion yenye sifa ya kufugia nyuki na kuzalishaji asali na ikawa Nchi namba moja Africa kwa uzalishaji wa Asali. 🐝Tumerithishwa

🐝NAKUSANUA 🐝

🍯UZALISHAJI WA ASALI 🇹🇿 

Tanzania inauwezo wa kuzalisha asali Tani 60,000 kwa mwaka kutokana na uwepo mkubwa  wa Misitu hekta 41.7 milion yenye sifa ya kufugia nyuki na kuzalishaji asali na ikawa Nchi namba moja Africa kwa uzalishaji wa Asali.

🐝Tumerithishwa