๐Œ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ฐ๐š ๐€๐ฌ๐ข๐ฒ๐ž ๐๐š ๐…๐š๐ข๐๐š (@mtumwawayesu) 's Twitter Profile
๐Œ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ฐ๐š ๐€๐ฌ๐ข๐ฒ๐ž ๐๐š ๐…๐š๐ข๐๐š

@mtumwawayesu

Christian Musician and composer | Teacher (literature in English) and Swahili language | Husband of one wife | Sisi tu watumwa wasio na faida -Luka 17:10

ID: 4448224168

calendar_today11-12-2015 12:05:09

14,14K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

๐Œ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ฐ๐š ๐€๐ฌ๐ข๐ฒ๐ž ๐๐š ๐…๐š๐ข๐๐š (@mtumwawayesu) 's Twitter Profile Photo

๐˜๐„๐’๐” ๐€๐๐€๐Š๐”๐‰๐€โ€ผ๏ธ Dunia itatikisika kwa nguvu wakati sauti ya Mwana wa Mungu itakapowaita watakatifu waliolala kutoka katika makaburi yao Wataitikia wito ule na kutoka wakiwa wamevikwa utukufu wa kutokufa, wakisema kwa sauti kuu, "Ushindi, ushindi, juu ya mauti na kaburi!

๐˜๐„๐’๐” ๐€๐๐€๐Š๐”๐‰๐€โ€ผ๏ธ
Dunia itatikisika kwa nguvu wakati sauti ya Mwana wa Mungu itakapowaita watakatifu waliolala kutoka katika makaburi yao Wataitikia wito ule na kutoka wakiwa wamevikwa utukufu wa kutokufa, wakisema kwa sauti kuu, "Ushindi, ushindi, juu ya mauti na kaburi!