Phillip Magai aka unfollow1884(@philip_magai) 's Twitter Profileg
Phillip Magai aka unfollow1884

@philip_magai

Honesty is the best policy

ID:1481942288536412164

calendar_today14-01-2022 10:53:23

933 Tweets

45 Followers

188 Following

Follow People
Phillip Magai aka unfollow1884(@philip_magai) 's Twitter Profile Photo

Hautakiwi kuvumilia watu wanakwamisha katiba mpya itayotupa πŸ‡ΉπŸ‡Ώ wote haki, Uhuru na maendeleo ya Kisiasa na kiuchumi.

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

ACT wamepigwa ndoige na marafiki zao MaCCM huko Tanga uchaguzi mdogo, wanalalamika. Tulikubaliana hakuna kulalamika, tuna' engage. Ama namna gani? Tulisema mazingira ya kisiasa chini ya Samia ni mazuri zaidi.. 😎

account_circle
Phillip Magai aka unfollow1884(@philip_magai) 's Twitter Profile Photo

Kwa sababu hii ndo maana tunahitaji katiba mpya ya wananchi. Kwa katiba mbovu iliyopo sasa haya mambo ya vyombo vya ulinzi kujiingiza kwenye siasa yataendelea na hayatakoma. Tukusanye nguvu kudai katiba mpya tupate haki sawa Kwa wote. Katiba mpya ni sasa.

account_circle
Ibrahim Jeremiah(@IbrahimMassenge) 's Twitter Profile Photo

Reli na Treni tuliyokubaliana ni ya viwango hivi,

Kasi ya 160Km/Saa
Reli ya Kisasa na Treni mpya na ya Kisasa,

Tofauti na hapa hatutaelewana,

Msimuharibie mama kazi!

account_circle
Phillip Magai aka unfollow1884(@philip_magai) 's Twitter Profile Photo

Sauli alizini na mke wa uria . Alitenda dhambi, dhambi hiyo ilimsukuma kumuua mme wa uria. Ukifanya dhambi moja inakusukuma kufanya dhambi nyingine.2 Samwel 11: 1- 20.

account_circle
Phillip Magai aka unfollow1884(@philip_magai) 's Twitter Profile Photo

Kuna kiongozi mmoja Kenya amesema ataomba Bunge la Kenya kupitisha budget ya vinywaji na vitafunio kwa wafuasi wa Raila wanaopenda kuandamana. TZ ukiandamana unapigwa kama mbwa Koko. Yana mwisho.

account_circle
Phillip Magai aka unfollow1884(@philip_magai) 's Twitter Profile Photo

Mheshimiwa Rais alisema tusiwe watumwa wa sheria . Nawauliza wafanya biashara wamepeleka mapendekezo sheria kandamizi zifanyiwe maboresho ? Au zifutwe?

account_circle
MwanzoTV(@MwanzoTv) 's Twitter Profile Photo

: Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Antiphas Lissu amesema hawatoshiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 na si tu kushiriki bali Uchaguzi hautakuwepo kabisa.

Msikilize Zaidi: youtu.be/sbklo1CQQLE

account_circle
#WenyeNchiWananchi(@KatibaMpyaTz_) 's Twitter Profile Photo

Knowledge is power. Information is liberating. Education is the premise of progress, in every society, in every family. β€” Kofi Annan

Knowledge is power. Information is liberating. Education is the premise of progress, in every society, in every family. β€” Kofi Annan #ChangeTanzania
account_circle
Miss Chelsea1221(@MissChelsea1221) 's Twitter Profile Photo

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

account_circle
Yahwe 'Always, all ways' .(@Mukoma59) 's Twitter Profile Photo

@ZANU PF must know that jailing Job Sikhala without trial does not make them acceptable as the best political party in Zimbabwe.

@@ZANUPF_Official must know that jailing Job Sikhala without trial does not make them acceptable as the best political party in Zimbabwe.
account_circle