kenedy sabas (@rassdayaa1) 's Twitter Profile
kenedy sabas

@rassdayaa1

computer engineering

ID: 1120851900

linkhttp://www.thelaunchpad.com calendar_today26-01-2013 03:34:20

2,2K Tweet

402 Followers

712 Following

Dr Calipso (@nulphin) 's Twitter Profile Photo

Senator na Proffer anasema Nchi za africa haziwezi kuendelea anasema mfano nchi kama Tanzania makodi kibao hadi wameweka na VAT kila kitu kodi hii inawafanya wananchi kua na maisha magumu hawawezi kua na biashara za mitaji mikubwa sababu ya mzigo wa kodi

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Mambo yanavyozidi kuwa mengi ndivyo furaha invyozidi kuwa ndogo. Watu wanavyozidi kuwa wengi ndivyo furaha inavyopungua. Vitu navyo vikizidi na kuwa vingi vinainyonya furaha kwenye maisha yako. USEMI: Familia nyingi 'maskini' zina utajiri wa furaha. Kwa nini? Hawana vingi.

Kentah Gwanjez (@gwanjez) 's Twitter Profile Photo

I get emotional every time I see this - "Since we met you people 500 years ago, look at us; we've given everything; you're still taking..."

SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Hujamjua mtu kama hujajua visa na mikasa aliyopitia, au hujawa sehemu ya visa na mikasa yake. Watu ni matokeo ya visa na mikasa." ~Togolani Mavura.

"Hujamjua mtu kama hujajua visa na mikasa aliyopitia, au hujawa sehemu ya visa na mikasa yake. Watu ni matokeo ya visa na mikasa." ~Togolani Mavura.
#TOTTechs (@tottechs) 's Twitter Profile Photo

Ndugu waajiri: ___________ Mnapotafuta mfanyakazi wa ICT na mnataka awe na uzoefu katika Networking, Programming,Cyber Security, Hardware, Cloud, IoT, Graphics Hapo hamtafuti mtu mmoja bali ni idara nzima ya ICT, mtu mmoja hawezi kujua kila kitu kwa ufasaha Happy new Month πŸ“

Mpemba (@salymdev) 's Twitter Profile Photo

Endesha biashara yako kwa kutumia #DukaSmart! πŸŽ‰ Pata mfumo bora wa kusimamia mauzo, bidhaa, na hesabu kwa ufanisi zaidi. Ondoa usumbufu na ongeza faida yako Tembelea; web.dukasmart.co.tz Anza leo na uone tofauti! πŸ“ˆ #BiasharaBora #TeknolojiaYaBiashara #Tanzania

Endesha biashara yako kwa kutumia #DukaSmart! πŸŽ‰

Pata mfumo bora wa kusimamia mauzo, bidhaa, na hesabu kwa ufanisi zaidi. Ondoa usumbufu na ongeza faida yako

Tembelea; web.dukasmart.co.tz

Anza leo na uone tofauti! πŸ“ˆ #BiasharaBora #TeknolojiaYaBiashara #Tanzania
nmaist _official (@nm_aist) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Bw. Omari Issa amewatunuku wahitimu 92 Shahada za Uzamili ( Masters) na Uzamivu ( PhD) katika mahafali ya 10 leo Agosti 29, 2024 kwenye Kampasi ya Tengeru jijini Arusha.

Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela  Bw. Omari Issa  amewatunuku wahitimu 92  Shahada za Uzamili ( Masters) na Uzamivu ( PhD) katika mahafali ya 10 leo Agosti 29, 2024 kwenye  Kampasi ya Tengeru jijini Arusha.