Madenge(@rollymsouth) 's Twitter Profileg
Madenge

@rollymsouth

Presenter and Creative Marketing @EfmTanzania

ID:351661592

linkhttp://www.madenge.co.tz calendar_today09-08-2011 15:30:21

177,2K Tweets

1,2M Followers

2,7K Following

Follow People
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Jamaa zetu AV MAGARI wanakukumbusha mteja wao wa sasa na wakati Ujao, kwamba Huduma za kuagiza magari kupitia wao ni za masaa 24.
Wana uzoefu wa kuchagua magari yenye ubora yanaendana na mahitaji yetu, na unafuu wa maintenance costs.

Jamaa zetu AV MAGARI wanakukumbusha mteja wao wa sasa na wakati Ujao, kwamba Huduma za kuagiza magari kupitia wao ni za masaa 24. Wana uzoefu wa kuchagua magari yenye ubora yanaendana na mahitaji yetu, na unafuu wa maintenance costs.
account_circle
Nauza Gadgets Original(@Kinubi2) 's Twitter Profile Photo

Ukiweka tu fine ni kama kulegalize indirect,maana mtu atasema nitalipa tu faini

Na ukisema tutapata hela yingi ni kwamba nchi kama nchi imekosa kuwaza njia bora za kuongeza pato mpaka kutegemea pato la faini za bangi

Maoni yangu tu binafsi, sipendi bangi km tukitokomeza fresh

account_circle
Madenge(@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Na swali ila msinifikirie vibaya, faida za kuichoma bhangi na kuweka fidia ya kulipa kwa mtu atakayekutwa na bhangi kipi ni bora?mfano kila ukikutwa na bhangi labda G1 faini 10K na kufunga watu jela kipi bora?sio kwamba faini tutapata hela nyingi?kwa maana tumeshindwa kuizuia

account_circle
Hemed Ally(@hemedallytz) 's Twitter Profile Photo

Allahumma Amiin, Al hamdulillah, Allah atuongoze katika utekelezaji wa Haya matarajio ya Wakulima Watanzania ambayo ni nia ya dhati ya Dkt. Samia Suluhu Hassan kuyafikia tutapambana kwa Jasho na Damu, Ewe Mwenyezi Mungu Tusaidie 2024/25. Hussein M Bashe Madenge Samia Suluhu

Allahumma Amiin, Al hamdulillah, Allah atuongoze katika utekelezaji wa Haya matarajio ya Wakulima Watanzania ambayo ni nia ya dhati ya Dkt. Samia Suluhu Hassan kuyafikia tutapambana kwa Jasho na Damu, Ewe Mwenyezi Mungu Tusaidie 2024/25. @HusseinBashe @rollymsouth @SuluhuSamia
account_circle
Kabigwa_Afya💊(@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Usimkatae mtoto anapozaliwa au kuwa na imani POTOFU pindi anapozaliwa na white stuff,

Wengi hufikiri na kudhania kwamba hii hutokana na kamwagiwa ndani katika kipindi cha Ujauzito,

ONDOA HOFU,

Kitaalamu hujulikana kama “Vernix Caseosa” ambao ni utando mweupe unaomzunguka…

Usimkatae mtoto anapozaliwa au kuwa na imani POTOFU pindi anapozaliwa na white stuff, Wengi hufikiri na kudhania kwamba hii hutokana na kamwagiwa ndani katika kipindi cha Ujauzito, ONDOA HOFU, Kitaalamu hujulikana kama “Vernix Caseosa” ambao ni utando mweupe unaomzunguka…
account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Kuna hawa Mabwana wanaitwa AV magari.
Wana kurasa yao Instagram, nitashare link huku chini.
Ukiachana na Uagizaji magari kwa niaba ya wateja, kutoka Dubai, Singapore, Japan, USA, na Europe, pia wanafanya clearance ya magari na mizigo mingine bandarini.
Ukiagiza gari kupitia wao,…

Kuna hawa Mabwana wanaitwa AV magari. Wana kurasa yao Instagram, nitashare link huku chini. Ukiachana na Uagizaji magari kwa niaba ya wateja, kutoka Dubai, Singapore, Japan, USA, na Europe, pia wanafanya clearance ya magari na mizigo mingine bandarini. Ukiagiza gari kupitia wao,…
account_circle
Bri🦋(@phiphi_bree) 's Twitter Profile Photo

This reminds me iyo siku natembea na my friend njiani mvua ya upepo ikaanza sasa naona mwenzangu anaanza kupepesuka akanambia twende tu sehemu tukakae tujikinge kwanza maana naeza kubebwa na huu upepo 😂

account_circle