SA (@salumawadh) 's Twitter Profile
SA

@salumawadh

#InvestmentBanker #Finance #Entrepreneur | | Board Chair @cpb_tanzania CEO @capitalssc| Invest @shirkahinvest | VC Fund @mbadalafund | Quran 3: 185| ابو لقمان

ID: 478671021

linkhttp://salumawadh.com calendar_today30-01-2012 14:54:39

5,5K Tweet

17,17K Takipçi

2,2K Takip Edilen

SA (@salumawadh) 's Twitter Profile Photo

Zaidi ya 90% ya NGOs Tanzania sio “sustainable” Jana nilipata fursa kushiriki mjadala wa namna ya kuzifanya NGOs kuwa stahimilivu na kuwa na uwezo wa kujitegemea kama msaada wa “donors” ukiondoka, katika CSO week iliyofanyika Arusha. Hali ya sasa ya NGOs Tanzania 1. Mwaka

Zaidi ya 90% ya NGOs Tanzania sio “sustainable”

Jana nilipata fursa kushiriki mjadala wa namna ya kuzifanya NGOs kuwa stahimilivu na kuwa na uwezo wa kujitegemea kama msaada wa “donors” ukiondoka, katika CSO week iliyofanyika Arusha.

Hali ya sasa ya NGOs Tanzania

1. Mwaka