Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile
Taivina James

@thereal_taivina

1TB Brain Hard Disk ๐Ÿง 

ID: 937423605213859840

linkhttps://linktr.ee/bettingbrainn calendar_today03-12-2017 20:49:38

123,123K Tweet

22,22K Followers

1,1K Following

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

IGP, Camillius Wambura amemueleza Naibu Waziri Mambo ya Ndani, Daniel Sillo, sasa hali ya usalama nchini ni shwari na hivyo kuwapongeza polisi , vyombo vya usalama na raia wapenda amani. IGP amesema hayo katika ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Polisi.

Sylah arts (@pichanzurii) 's Twitter Profile Photo

Njoo nikuprintie mifuko mizuri ikiwa na details zako zote muhimu kwa wewe mfanyabiashara ๐ŸŒธ A5 size pics 100 ni 40,000 A4 size pics 100 ni 50,000 A3 size pics 100 ni 80,000 Hio bei ni pamoja na mifuko unaipata ofsini. ๐Ÿ“Sinza kumekucha โ˜Ž๏ธ 0786445451 Tupe oda yako leo ๐Ÿ™๐Ÿป

Njoo nikuprintie mifuko mizuri ikiwa na details zako zote muhimu kwa wewe mfanyabiashara ๐ŸŒธ

A5 size pics 100 ni 40,000
A4 size pics 100 ni 50,000
A3 size pics 100 ni 80,000

Hio bei ni pamoja na mifuko unaipata ofsini.

๐Ÿ“Sinza kumekucha
โ˜Ž๏ธ 0786445451

Tupe oda yako leo ๐Ÿ™๐Ÿป
Jizzle Mwakaripost (@jizzlewantandu) 's Twitter Profile Photo

Nilikuwa nadhani nina akili kumbe sina hata kidogo mjinga mie, mimi kweli ni wa kuamini Bashe ni mtu makini kumbe mpumbavu wa kiwango cha Tambularasa

KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

โ€œKuna UHURU Wakuongea Lakini Siwezi Kukuhakikishia Uhuru Baada Ya Kuongeaโ€ ~ IDDI AMINI DADA Alimaanisha Unao UHURU Wa KUONGEA/KUKOSOA Lakini Baada Ya Hapo Hana Uhakika Kama Utaendelea Kuishi Kulingana Na Ulichokizungumza.

โ€œKuna UHURU Wakuongea Lakini Siwezi Kukuhakikishia Uhuru Baada Ya Kuongeaโ€

~ IDDI AMINI DADA
 
Alimaanisha Unao UHURU Wa KUONGEA/KUKOSOA Lakini Baada Ya Hapo Hana Uhakika Kama Utaendelea Kuishi Kulingana Na Ulichokizungumza.
Williard (@prolific_88) 's Twitter Profile Photo

Tunataka hela ya kamari lazima tuwe huru ili tuprint โœŠ๐ŸฟโœŠ๐ŸฟโœŠ๐ŸฟโœŠ๐Ÿฟ

TOM๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช (@gordian_254) 's Twitter Profile Photo

NATABIRI TU ...kuko na watu pure humu ndani like MIRIAM๐Ÿ’œ huyu dada ata aseme anamafua wakisema TU CONTRIBUTE naona 20 million sure ๐Ÿค” ila huku kwengine kwenye standards wazee mko alone ๐Ÿค”๐Ÿ™๐Ÿผ am sorry kama nakosea

Nyaukhan31 (@nyaukhan31) 's Twitter Profile Photo

Mkipewa mikeka(Code/Misimbo) humu kama unaona ni ya utapeli achana nayo na pia unaruhusiwa kuedit mtu analeta codes wengine mnaongea shit kama hamtaki piteni hivi ๐Ÿšฎ๐Ÿ˜Ž