Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile
Togolani Mavura

@tonytogolani

Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake!

To Each, According to Own Gifts, Own Abilities and Own Destiny

ID: 458274726

calendar_today08-01-2012 11:18:55

81,81K Tweet

258,258K Followers

2,2K Following

Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

Iโ€™m realizing that in Tanzania, there are no debate forums or serious media interviews. Our society lacks platforms for engaging in meaningful, hard conversations. It is a very bad situation; a social, economic and political impasse.

Ntuli Kapologwe (@tuserod) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema mafunzo rasmi ya kuwajengea uwezo Wahudumu wa Afya ngazi ya jamii yataanza rasmi Septemba 30, 2024 na yatatolewa katika Vyuo vya Afya vya Kada ya Kati kwa kipindi cha miezi sita (06).

The Economist (@theeconomist) 's Twitter Profile Photo

Generative AI could radically alter the practice of law. If it can do in 20 seconds a task that would have taken a dozen associates 50 hours each, then why would big legal firms continue hiring dozens of associates? econ.st/4dMHTXX ๐Ÿ‘‡

Mkapa Foundation (@mkapafoundation) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Afya Atangaza Rasmi Kuanza kwa Mafunzo ya Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Dar es Salaam, 19 Septemba 2024 - Waziri wa Afya, Mheshimiwa Jenista Mhagama, leo ametangaza rasmi kuanza kwa mafunzo ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii, ambapo wahudumu 11,515 kutoka mikoa 11 ya

Waziri wa Afya Atangaza Rasmi Kuanza kwa Mafunzo ya Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii

Dar es Salaam, 19 Septemba 2024 - Waziri wa Afya, Mheshimiwa Jenista Mhagama, leo ametangaza rasmi kuanza kwa mafunzo ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii, ambapo wahudumu 11,515 kutoka mikoa 11 ya
TTCL CORPORATION (@ttclcorporation) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Ufundi wa Shirika la Mawasiliano TTCL Mhandisi Cecil Francis, kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa TTCL amesema wilaya 33 kati ya 139 ambazo hazijaunganishwa kwenye Mkongo wa Taifa zitaunganishwa mwaka huu na wakandarasi wanaendelea na kazi ya ujenzi.

Sweden in Tanzania (@swedenintz) 's Twitter Profile Photo

Congrats to ScaniaTanzania Ltd. for unveiling a new bus likely to join the Bus Rapid Transit ( #BRT) fleet soon. The bus will be accessible to people with disabilities, carry more passengers, and feature advanced systems. #swedishsolutions

Congrats to <a href="/scania_Tanzania/">ScaniaTanzania Ltd.</a> for unveiling a new bus likely to join the Bus Rapid Transit ( #BRT) fleet soon.  

The bus will be accessible to people with disabilities, carry more passengers, and feature advanced systems. 
#swedishsolutions
Muhimbili National Hospital (@muhimbilitaifa) 's Twitter Profile Photo

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imehitimisha kambi maalum ya uchunguzi na upandikizaji wa meno bandia ambapo wagonjwa takribani 30 wamefanyiwa matibabu ya kupandikiza meno bandia kwa njia ya kisasa,huduma ambayo imefanyika kwa mara ya kwanza katika Hospitali ya Umma nchin

MNH-Mloganzila (@mloganzila_) 's Twitter Profile Photo

Development in the worldโ€™s poorest countries stalled around 2015. To restart it, learn from historyโ€”and liberalise econ.st/4goZffv

Development in the worldโ€™s poorest countries stalled around 2015. To restart it, learn from historyโ€”and liberalise econ.st/4goZffv
Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Nimefanya mazungumzo na Bw. Kim Hyung Gyu kutoka Hyundai Engineering leo. Tumezungumzia fursa zilizoko Tanzania, na nafasi ya kijiografia ya Tanzania katika kulifikia soko la Afrika Mashariki, Afrika ya Kusini na eneo la Maziwa Makuu. Bw. Kim anatarajia kufanya ziara yake nchini

African Development Bank Group (@afdb_group) 's Twitter Profile Photo

Nothing is better than investing in human capital, said African Development Bank Group Pres. Akinwumi A. Adesina during visit to #Luanda Science & Tech Park, part of Bank-funded Science & Tech Development Project (STDP) to accelerate science & innovation & close the gender gap in accessing STEM research

African Development Bank Group (@afdb_group) 's Twitter Profile Photo

Impact of African Development Bank Groupโ€™s $90M financing of STDPย includes scholarships for 1,205 under privileged secondary school girls, 54 science labs, and funding 163 PhDs and post-doc scholarships. โ€œThis is what improving the quality of life is about.โ€ - Akinwumi A. Adesina. #AfDBinAngola

Impact of <a href="/AfDB_Group/">African Development Bank Group</a>โ€™s $90M financing of STDPย includes scholarships for 1,205 under privileged secondary school girls, 54 science labs, and funding 163 PhDs and post-doc scholarships.

โ€œThis is what improving the quality of life is about.โ€ - <a href="/akin_adesina/">Akinwumi A. Adesina</a>. #AfDBinAngola
SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Maadam hakuna aliye mkamilifu chini ya jua, basi jicho lenye kutafuta kuona kasoro na sikio la kusikia ubaya havitakosa sababu ya kuhukumu." ~Togolani Mavura.

"Maadam hakuna aliye mkamilifu chini ya jua, basi jicho lenye kutafuta kuona kasoro na sikio la kusikia ubaya havitakosa sababu ya kuhukumu." ~Togolani Mavura.
๐—”๐—ฏ๐—ฒ๐—ฟ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐—ฃ๐—ฎ๐˜€๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—น, ๐—”.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๎จ€๐• (@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“Arusha ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง Tanzania High Commissioner to the UK, Hon. mbelwa Kairuki giving his remarks during the HEAP program launch in Arusha, yesterday. The UK-funded program aims to boost Tanzanian horticultural exports and empower women in agribusiness. Attending the event as esteemed

๐Ÿ“Arusha

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง
Tanzania High Commissioner to the UK, Hon. <a href="/MbelwaK/">mbelwa Kairuki</a> giving his remarks during the HEAP program launch in Arusha, yesterday. 

The UK-funded program aims to boost Tanzanian horticultural exports and empower women in agribusiness.

Attending the event as esteemed
Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 21, 2024 amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antรณnio Guterres kwenye Ofisi za makao makuu ya umoja huo, New York Nchini Marekani Mheshimiwa Majaliwa yupo nchini humo kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 21, 2024 amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antรณnio Guterres kwenye Ofisi za makao makuu ya umoja huo, New York Nchini Marekani

Mheshimiwa Majaliwa yupo nchini humo kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa