π–†π–‡π–Šπ–—π–™π–šπ–˜ π–•π–†π–˜π–ˆπ–π–†π–‘πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@rutaraka) 's Twitter Profileg
π–†π–‡π–Šπ–—π–™π–šπ–˜ π–•π–†π–˜π–ˆπ–π–†π–‘πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

@rutaraka

Dad | Agric-Economist | Analyst (Social & Political Affairs) | @SokoineU Alumnus | Social Media Manager | Rts β‰  endorsements

ID:525710148

linkhttps://www.linkedin.com/in/abertus-paschal-4a508b63 calendar_today15-03-2012 20:11:07

54,1K Tweets

5,6K Followers

1,5K Following

Tanzania High Commission | Pretoria(@UbaloziSA) 's Twitter Profile Photo

Katika kuendelea kutekeleza Diplomasia ya Uchumi na kuvutia Uwekezaji kutoka nchini Afrika Kusini, tarehe 17 Mei, 2024 Balozi JAMES G. BWANA, ametembelea Kiwanda cha BFG Africa Rail kilichopo Johannesburg Afrika Kusini. Aliwa hapo, ameonana na kufanya mazungumzo ya kina na Bw.

Katika kuendelea kutekeleza Diplomasia ya Uchumi na kuvutia Uwekezaji kutoka nchini Afrika Kusini, tarehe 17 Mei, 2024 Balozi JAMES G. BWANA, ametembelea Kiwanda cha BFG Africa Rail kilichopo Johannesburg Afrika Kusini. Aliwa hapo, ameonana na kufanya mazungumzo ya kina na Bw.
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Marahaba. Pole kwa mama na familia kwa changamoto. Kazi kubwa tayari imefanyika kulipa mafao ya walioguswa na zoezi hili na bado inaendelea. Uongozi wa Wizara ya Ujenzi pamoja na TBA watawasiliana nawe/mama ili kupata jawabu.

account_circle
π–†π–‡π–Šπ–—π–™π–šπ–˜ π–•π–†π–˜π–ˆπ–π–†π–‘πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

πŸ“Dodoma

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ͺπŸ‡Ή
Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri Mambo ya Nje wa Ethiopia, Mhe. Balozi Ambassador Birtukan Ayano mara baada ya hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa Ubalozi

πŸ“Dodoma πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ͺπŸ‡Ή Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri Mambo ya Nje wa Ethiopia, Mhe. Balozi @birtukanayano mara baada ya hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa Ubalozi
account_circle
π–†π–‡π–Šπ–—π–™π–šπ–˜ π–•π–†π–˜π–ˆπ–π–†π–‘πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

πŸ“Dodoma

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ͺπŸ‡Ή
Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (kushoto) akiagana na Naibu Waziri Mambo ya Nje Ethiopia, Mhe. Balozi Ambassador Birtukan Ayano baada ya kukamilika kwa hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa Ubalozi wa

πŸ“Dodoma πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ͺπŸ‡Ή Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (kushoto) akiagana na Naibu Waziri Mambo ya Nje Ethiopia, Mhe. Balozi @birtukanayano baada ya kukamilika kwa hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa Ubalozi wa
account_circle
π–†π–‡π–Šπ–—π–™π–šπ–˜ π–•π–†π–˜π–ˆπ–π–†π–‘πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

πŸ“Dodoma

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ͺπŸ‡Ή
Balozi wa Ethiopia nchini Tanzania, Mhe. Shibru Memo Kadida akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la Msingi la ujenzi wa Ubalozi wa Ethiopia katika mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma tarehe 17 Mei, 2024.

πŸ“Έ: W/Mambo ya Nje

πŸ“Dodoma πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ͺπŸ‡Ή Balozi wa Ethiopia nchini Tanzania, Mhe. Shibru Memo Kadida akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la Msingi la ujenzi wa Ubalozi wa Ethiopia katika mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma tarehe 17 Mei, 2024. πŸ“Έ: W/Mambo ya Nje
account_circle
MFA Tanzania(@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Hon. January Makamba MFA Tanzania and his Chinese counterpart, H.E. WANG Yi, held a productive meeting that was followed by a banquet in Beijing. The two Ministers announced their renewed commitment to deepening diplomatic relations through increased social and economic cooperation...

Hon. @JMakamba @mfa_tanzania and his Chinese counterpart, H.E. WANG Yi, held a productive meeting that was followed by a banquet in Beijing. The two Ministers announced their renewed commitment to deepening diplomatic relations through increased social and economic cooperation...
account_circle
π–†π–‡π–Šπ–—π–™π–šπ–˜ π–•π–†π–˜π–ˆπ–π–†π–‘πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

πŸ“Dodoma

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ͺπŸ‡Ή
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Ummy Nderiananga akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la Msingi la ujenzi wa Ubalozi wa Ethiopia katika mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma tarehe 17 Mei, 2024.

πŸ“Έ: W/Mambo ya Nje

πŸ“Dodoma πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ͺπŸ‡Ή Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Ummy Nderiananga akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la Msingi la ujenzi wa Ubalozi wa Ethiopia katika mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma tarehe 17 Mei, 2024. πŸ“Έ: W/Mambo ya Nje
account_circle
Tanzania High Commission I United Kingdom(@UbaloziUK) 's Twitter Profile Photo

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bank Plc Bi. Ruth Zaipuna na wadau wengine wakiongea baada ya tukio la uzinduzi wa Jamii Bond katika soko la hisa la London London Stock Exchange

account_circle
π–†π–‡π–Šπ–—π–™π–šπ–˜ π–•π–†π–˜π–ˆπ–π–†π–‘πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

πŸ“Dodoma

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ͺπŸ‡Ή
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la Msingi la ujenzi wa Ubalozi wa Ethiopia katika mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma tarehe 17 Mei, 2024.

πŸ“Έ: W/Mambo ya Nje

πŸ“Dodoma πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ͺπŸ‡Ή Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la Msingi la ujenzi wa Ubalozi wa Ethiopia katika mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma tarehe 17 Mei, 2024. πŸ“Έ: W/Mambo ya Nje
account_circle
π–†π–‡π–Šπ–—π–™π–šπ–˜ π–•π–†π–˜π–ˆπ–π–†π–‘πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

πŸ“Dodoma

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ͺπŸ‡Ή
Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la Msingi la ujenzi wa Ubalozi wa Ethiopia katika mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma tarehe 17 Mei, 2024.

πŸ“Έ: W/Mambo ya

πŸ“Dodoma πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ͺπŸ‡Ή Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la Msingi la ujenzi wa Ubalozi wa Ethiopia katika mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma tarehe 17 Mei, 2024. πŸ“Έ: W/Mambo ya
account_circle
MFA Tanzania(@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

The Federal Republic of Ethiopia laid a foundation stone of her chancery and residence buildings of the Embassy at the Government City in Dodoma. Deputy Minister MFA Tanzania Hon Amb.Mbarouk N. Mbarouk & his counterpart from Ethiopia H.E Amb. @Birtukanayano officiated the event

The Federal Republic of Ethiopia laid a foundation stone of her chancery and residence buildings of the Embassy at the Government City in Dodoma. Deputy Minister @mfa_tanzania Hon Amb.Mbarouk N. Mbarouk & his counterpart from Ethiopia H.E Amb. @Birtukanayano officiated the event
account_circle
Tanzania Investment Centre(@InvestTanzania) 's Twitter Profile Photo

Where’s your region’s position?

During the 3rd quarter (January-March 2024)

Dar es Salaam leads the regional distribution projects with 85 projects, followed by Pwani and Arusha!

SAJILI SASA!


Where’s your region’s position? During the 3rd quarter (January-March 2024) Dar es Salaam leads the regional distribution projects with 85 projects, followed by Pwani and Arusha! SAJILI SASA! #Regionalperformance #Projectdistribution
account_circle