Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profileg
Samia Suluhu

@SuluhuSamia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzania

ID:2652554565

calendar_today29-06-2014 07:42:17

1,2K Tweet

1,6M Takipçi

27 Takip Edilen

Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa Kidato cha Sita mnaoanza mitihani yenu ya kuhitimu elimu ya sekondari leo. Nawaombea kwa Mwenyezi Mungu awafanikishe katika hatua hii kwa mafanikio na kila jema katika hatua zinazofuata.

Nina imani kuwa mmetumia muda wenu shuleni…

Nawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa Kidato cha Sita mnaoanza mitihani yenu ya kuhitimu elimu ya sekondari leo. Nawaombea kwa Mwenyezi Mungu awafanikishe katika hatua hii kwa mafanikio na kila jema katika hatua zinazofuata. Nina imani kuwa mmetumia muda wenu shuleni…
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

It is with great sadness that I learned of the passing of Sheikh Tahnoon bin Mohammed Al Nahyan, Abu Dhabi Ruler’s Representative in the Eastern Region. My deepest condolences to the Emirati Royal Family, the government and the people of the Emirate of Abu Dhabi and the entire…

account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Kheri ya Siku ya Wafanyakazi kwenu nyote. Siku hii ni ya mambo makubwa mawili. Jambo la kwanza ni kwa sote kuwashukuru wale ambao kwa kazi zao sisi kama Taifa tunaweza kusonga mbele; kuanzia dada wa kazi hapo nyumbani anayeamka mapema alfajiri kuhakikisha kila kitu kinakwenda…

Mapema leo jijini Nairobi nchini Kenya nikihutubia katika Mkutano wa Shirikisho la Maendeleo la Kimataifa (IDA). Pamoja na miradi mingine, kwa ushirikiano na IDA nchi yetu imeweza pia;-

1. Kuboresha eneo la afya ya mama na mtoto tukiwa na moja ya mifumo bora zaidi kwa ukanda wa…

Mapema leo jijini Nairobi nchini Kenya nikihutubia katika Mkutano wa Shirikisho la Maendeleo la Kimataifa (IDA). Pamoja na miradi mingine, kwa ushirikiano na IDA nchi yetu imeweza pia;- 1. Kuboresha eneo la afya ya mama na mtoto tukiwa na moja ya mifumo bora zaidi kwa ukanda wa…
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Asubuhi njema katika kazi jijini Nairobi nchini Kenya kwenye Mkutano wa Shirikisho la Maendeleo la Kimataifa (IDA), mshirika wa Benki ya Dunia. Nchi yetu inashirikiana na IDA katika miradi mikubwa na ya kimkakati 25 katika sekta za uchukuzi, maendeleo ya kijamii, nishati, elimu,…

Nimewasili jijini Nairobi nchini Kenya kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na kazi ya diplomasia ya kudumisha uhusiano wetu hasa kibiashara na kiuchumi, pia ninahudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Maendeleo (IDA21).

Nchi yetu inashirikiana na Benki ya Dunia katika mpango wa IDA…

Nimewasili jijini Nairobi nchini Kenya kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na kazi ya diplomasia ya kudumisha uhusiano wetu hasa kibiashara na kiuchumi, pia ninahudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Maendeleo (IDA21). Nchi yetu inashirikiana na Benki ya Dunia katika mpango wa IDA…
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia nyote kheri tunapoadhimisha Miaka 60 ya Muungano wetu. Hii ni tunu yetu sote, matokeo ya kazi ya kila Mtanzania kuanzia waasisi wetu mpaka sasa. Tumejenga nyumba imara ya Tanzania katika misingi ya utu, udugu na uanamajumui wa Afrika hatua kwa hatua, chini ya kila awamu…

Nimefarijika kwa ujumbe wa video toka Shule ya Sekondari ya Misufini, Kijiji cha Misufini, Kata ya Ndungu, Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro wa wanafunzi Ibrahim na Mwanaulu pamoja na wazazi wao, kuhusu mabadiliko na uboreshaji wa elimu uliofanyika kwenye kata yao katika kipindi…

account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Ninatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na wafanyakazi wa Clouds Media Group kwa kuondokewa na ndugu yetu, Gardner Gabriel Habash. Mchango wa Gardner kwenye ustawi wa sekta ya habari nchini ni mkubwa, na amekuwa mnasihi wa vijana wengi. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake…

Kila la kheri watani wa jadi Simba na Yanga katika mchezo wenu wa 112 kwenye historia yenu ya zaidi ya miaka 59 ya burudani kwetu sote katika Ligi Kuu Tanzania Bara.

Kila la kheri watani wa jadi Simba na Yanga katika mchezo wenu wa 112 kwenye historia yenu ya zaidi ya miaka 59 ya burudani kwetu sote katika Ligi Kuu Tanzania Bara. #KariakooDerby
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo nimekuwa na mazungumzo mazuri na kaka yangu, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan. Ziara hii ni mwendelezo wa mageuzi kwenye utekelezaji wa sera yetu ya Mambo ya Nje kupitia Diplomasia ya Uchumi. Thamani ya biashara baina ya nchi zetu imekua;…

Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Jamhuri ya Kenya, Jenerali Francis Omondi Ogolla na wanajeshi wengine tisa katika ajali ya helikopta iliyotokea leo katika Kaunti ya Elgeyo-Marakwet.

Natuma salamu za pole kwa Rais na Amiri Jeshi…

Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Jamhuri ya Kenya, Jenerali Francis Omondi Ogolla na wanajeshi wengine tisa katika ajali ya helikopta iliyotokea leo katika Kaunti ya Elgeyo-Marakwet. Natuma salamu za pole kwa Rais na Amiri Jeshi…
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Naishukuru Seneti ya Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki kwa kunitunuku Shahada ya Udaktari wa Heshima (Honoris Causa) katika Uchumi. Nimeipokea heshima hii kwa unyenyekevu na shukrani kwa niaba ya wachapa kazi waume kwa wake nyumbani nchini Tanzania. Mimi ni kiongozi wao,…

Nimewasili nchini Uturuki kwa ziara rasmi kufuatia mwaliko wa Mheshimiwa Rais Recep Tayyip Erdoğan. Mwaka huu nchi zetu mbili zinatimiza miaka 45 tangu kuanza kwa uhusiano wetu wa kidiplomasia. Uturuki ni mshirika wetu mkubwa kiuchumi na ni soko la kimataifa kwa bidhaa zetu linalokua kwa…

Nimewasili nchini Uturuki kwa ziara rasmi kufuatia mwaliko wa Mheshimiwa Rais @RTErdogan. Mwaka huu nchi zetu mbili zinatimiza miaka 45 tangu kuanza kwa uhusiano wetu wa kidiplomasia. Uturuki ni mshirika wetu mkubwa kiuchumi na ni soko la kimataifa kwa bidhaa zetu linalokua kwa…
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Jana nilipata wasaa wa kupita Mtaa wa Mombasa, Unguja kuwaona majirani zangu wa zamani Bi. Asha Salum na mumewe, Inspekta Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Rashid Zam Ali. Kushoto ni bintiye Bi. Asha pamoja na mjukuu wao. Bi. Asha nilisoma naye darasa moja shule ya msingi na shule ya…

Mapema leo nimeshiriki Misa Maalum ya Kumbukizi ya Miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine, iliyofanyika kwenye makazi ya familia yake Monduli, mkoani Arusha. Hayati Sokoine alikuwa kielelezo cha kiongozi…

Nawatakia Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Eid al-Fitr, tukimshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa baraka ya kuhitimisha funga na ibada ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Mwenyezi Mungu atuonaye tunaposimama na mageuko yetu kati ya wanaosujudu, Mwenye kusikia na kupokea…

Nawatakia Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Eid al-Fitr, tukimshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa baraka ya kuhitimisha funga na ibada ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Mwenyezi Mungu atuonaye tunaposimama na mageuko yetu kati ya wanaosujudu, Mwenye kusikia na kupokea…
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Natawakia nyote kheri katika Siku ya Kumbukumbu ya Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, mmoja ya waasisi wa Taifa letu.

Tafakuri ya maisha yake na historia ya utumishi wake iendelee kutupa mafunzo ya uongozi wenye…

Natawakia nyote kheri katika Siku ya Kumbukumbu ya Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, mmoja ya waasisi wa Taifa letu. Tafakuri ya maisha yake na historia ya utumishi wake iendelee kutupa mafunzo ya uongozi wenye…
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Mchezo mzuri Simba. Usiku haukuwa wa ushindi lakini tumeziona juhudi na zinatupa faraja na matarajio kuwa, msimu ujao wa mashindano ya Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika mambo yatakuwa mazuri zaidi. Ahadi yetu ni kuendelea kuwaunga mkono na kuwapa motisha.