batholomeo Mwasarai
@bmwasarai
ID: 1625144305949048832
13-02-2023 14:46:39
488 Tweet
95 Takipçi
610 Takip Edilen
Tukinyamaza watampoteza😭😭Naomba watanzania turepost hii daah naumia sana DEUSDEDITH SOKA sijui yupo kwenye wakati gani mpaka muda huu
Wewe upo online muda huu unaweza kufanya shughuli zako kwa amani kabisa. DEUSDEDITH SOKA yupo MATEKA kwa kupigania nchi yake ambayo ww upo huru kufanya mambo yako saizi. Ndugu wa SOKA wanahangaika vituo vya polisi kumtafuta mtoto wao bila mafanikio. Wewe ndugu zako wapo na
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake ACT Wazalendo Taifa, Janeth Rithe ndani ya Jimbo la #Mlalo
"Uchaguzi wa Mwaka 2024 wa Serikali za Mitaa kitaeleweka" Dorothy Semu