David Djumbe
@daviddjumbe
An Engineer / Activist / PA to Hon Tundu Lissu/ Former Chairman & Founder of TAHLISO / The Green life Network / ES AMKA Singida / Consultant
ID:258832142
http://www.facebook.com/groups/mzalendotz/ 28-02-2011 16:06:16
2,7K Tweet
4,0K Takipçi
670 Takip Edilen
Leo tushiriki mjadala wa kuwatambua rasmi watekaji na tuamue hatua za kuchukua juu yao, wasiojulikana sasa wameanza kujileta hadharani. Maria Sarungi Tsehai Hilda Newton CHADEMA Tanzania John Pambalu
CCM wanalamika Mama yao kukosolewa, wapinzani nao wanalalamikia wakosoaji.
Wakosoaji wameamua kunyamaza, CCM wanasherehekea, na Wapinzani nao wanasherehekea.
CCM na Wapinzani wanatofauti gani? CHADEMA Tanzania
Mdude Chadema Hilda Newton
Kama leo hujaelewa kuhusu usanii wa rume huru ya uchaguzi basi uwezi kuelewa milele.
Sema Clouds Media mpangilio wa wachangia mada sijauelewa kabisa.
Nilitegemea hoja kwa hoja kutoka kwa wachangiaji wote.