Coletta (@komutonzi) 's Twitter Profile
Coletta

@komutonzi

Business Development with a focus on NGOs|Humanitarian|Finance|Mental Health|Fitness|@LensationEnts | Wife of @JozenGamba

ID: 1519960271850246144

calendar_today29-04-2022 08:42:37

2,2K Tweet

306 Takipçi

187 Takip Edilen

Love_IsWicked (@enamalisa) 's Twitter Profile Photo

If I ever have kids,I won't want their teenage years in school, to be years they wore uniform trousers and oversize sweaters like wababu na skirts kama nuns in the name of discipline. Cutting hair in boring shamba dresses looking like boys. Nidhamu ya uoga na kinafki na kikoloni.

Coletta (@komutonzi) 's Twitter Profile Photo

What's your favorite place? I don't have a favorite place. I have my favorite person. and, whenever i'm with my favorite person, it becomes my favorite place. cc Jozen Gamba

LE™️ (@lensationents) 's Twitter Profile Photo

Kujua sio jambo ambalo linataka nguvu. Ni kama kuendesha baiskeli tu. Ukijua umejua lakini kufikia level ya kua pro kuna juhudi zake. #LensationEnts

Kujua sio jambo ambalo linataka nguvu. 
Ni kama kuendesha baiskeli tu. Ukijua umejua lakini kufikia level ya kua pro kuna juhudi zake.          #LensationEnts
Mariam (@maryftaddoh) 's Twitter Profile Photo

The good thing kuhusu kumchangia mtu pesa, haulazimishwi. Kama umeguswa unatoa mchango, Kama hujaguswa unapiga kimya. But, wasioguswa ndo hua wanapigaga kelele kuliko walioguswa. Sijajua tatizo nini

SA (@salumawadh) 's Twitter Profile Photo

Zaidi ya 90% ya NGOs Tanzania sio “sustainable” Jana nilipata fursa kushiriki mjadala wa namna ya kuzifanya NGOs kuwa stahimilivu na kuwa na uwezo wa kujitegemea kama msaada wa “donors” ukiondoka, katika CSO week iliyofanyika Arusha. Hali ya sasa ya NGOs Tanzania 1. Mwaka

Zaidi ya 90% ya NGOs Tanzania sio “sustainable”

Jana nilipata fursa kushiriki mjadala wa namna ya kuzifanya NGOs kuwa stahimilivu na kuwa na uwezo wa kujitegemea kama msaada wa “donors” ukiondoka, katika CSO week iliyofanyika Arusha.

Hali ya sasa ya NGOs Tanzania

1. Mwaka
Jozen Gamba (@jozengamba) 's Twitter Profile Photo

Stocks have higher return but risk(binafsi naweka sana pesa hapa) Utt na bonds have safety and stability ila shiit Return Ukiweka pesa kwenye stocks, unakua umenunua kijisehemu cha umiliki wa company tunaita 'shares'. As the company grows and becomes more profitable, the value