SONGA (@niitesonga) 's Twitter Profile
SONGA

@niitesonga

Listen & download my tracks on Mdundo.com/a/972

ID: 429822721

linkhttps://youtu.be/efqaQ1cemP0 calendar_today06-12-2011 12:35:00

40,40K Tweet

113,113K Takipçi

4,4K Takip Edilen

SONGA (@niitesonga) 's Twitter Profile Photo

Kipindi kile Yesu aliharibu haribu biashara za watu baada ya watu hao kugeuza nyumba ya ibada kuwa pango la walanguzi,sasa hivi mambo yanayofanyika kwenye baadhi ya nyumba za ibada Yesu angekuwepo angeua mtu.

Iam Salum Ally (@iamsalumally) 's Twitter Profile Photo

HISIA ZA MOYONI 🎶 Hapa Homboi Acha tukupe Maua Yako kwa Kuandika Hit Song Kali Ambayo Huwezi Kuisikiliza Mara Moja ukapiga Next Lazima Uweke Repeat 🔁 ijuridie hata Siku Nzima Bonge la Ngoma 🙌 Song: HISIA ZA MOYONI Artist: SONGA SINGIDA BOY SINGIDA MABEGANI 🫡

HISIA ZA MOYONI 🎶

Hapa Homboi Acha tukupe Maua Yako kwa Kuandika Hit Song Kali Ambayo Huwezi Kuisikiliza Mara Moja ukapiga Next Lazima Uweke Repeat 🔁 ijuridie hata Siku Nzima Bonge la Ngoma 🙌

Song:   HISIA ZA MOYONI
Artist: <a href="/NiiteSonga/">SONGA</a>

SINGIDA BOY SINGIDA MABEGANI 🫡
SONGA (@niitesonga) 's Twitter Profile Photo

Simamia kweli daima na kuwa makini kutokuingizwa kwenye mfumo wa maslahi binafsi ya wachache kwa manufaa yao binafsi hapo utakuwa huru. Ushauri wa Bure.

SONGA (@niitesonga) 's Twitter Profile Photo

Watu wanatekwa,wanabakwa,wengine wanauwawa,wengine hawajulikani walipo mpaka leo,wengine wachache waliobahatika kunusurika wakiwa hai bado wanaishi kwa hofu hakuna haki,familia zina majonzi mengi sana,serikali isiposikiliza vilio vyao Mungu atasikiliza kwa namna isiyotarajika.

SONGA (@niitesonga) 's Twitter Profile Photo

Mtandao ni hatari sana usipokuwa nao makini,waendeshaji wa mtandao wanaamua aina gani ya content wawe wanakuletea,sehemu kama China unakuta wanapelekewa content za maendeleo na ambazo zinajenga watoto,huku kwetu wanatuletea matakataka tu ndo mana kuna wengi wanawehuka mtandaoni.