Patrick John Assenga
@patrickjassenga
Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Segerea |
Mgombea Ubunge Rombo 2020 |
Diwani Tabata 2015-2020 |
ID: 1304450959205072898
11-09-2020 16:06:10
9,9K Tweet
71,71K Takipçi
1,1K Takip Edilen
VIDEO: Vitendo vya Mauaji na Utekaji vinavyoendelea Nchini vyamchefua Sheikh Ponda Issa Ponda Sheikh Ponda Issa Ponda ,ahoji uhalali wa serikali
Katibu Mkuu wa Shura ya Maimam, Sheikh Ponda Issa Ponda, Shekh Ponda Issa Ponda. Karibu msikilize akitoa maoni yake kuhusu vitendo vya ukatili vya utekaji na mauaji ya raia wakiwepo wapinzani na wakosoaji wa Serikali. Sheikh Issa Ponda ameyaunga mkono maandamano ya kupinga utekaji.
#TANZANIA: PADRE KITIMA ASIMULIA NAMNA ALIVYOENDA KUMUANGALIA LISSU WAKATI AMEPIGWA RISASI, "MUNGU YUPO" Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padre Charles Kitima, awasimamisha wanasiasa nguli (Tundu Antiphas Lissu, MNYIKA John John, Emmanuel Nchimbi) mbele ya Maaskofu, amtania Lissu
“Msimamo wetu uko palepale tutaandamana”-; Mhe. Tundu Antiphas Lissu