![Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profileg](https://pbs.twimg.com/profile_images/707138381818548224/rfjEGhFQ_200x200.jpg)
Wizara ya Elimu Tanzania
@wizara_elimuTz
This is an Official page for the Ministry of Education, Science and Technology.
ID:707131141090885632
http://www.moe.go.tz 08-03-2016 09:09:36
1,7K Tweets
76,8K Followers
62 Following
![Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo](https://pbs.twimg.com/profile_images/707138381818548224/rfjEGhFQ_200x200.jpg)
Tunawapongeza OR- TAMISEMI kwa kutenga shule 56 na kuzikarabati kuziwekea viwanja vya michezo.
Prof. Mkenda
#MashindanoUMITASHUMTATabora
![Wizara ya Elimu Tanzania (@wizara_elimuTz) on Twitter photo 2024-06-15 12:49:18 Tunawapongeza OR- TAMISEMI kwa kutenga shule 56 na kuzikarabati kuziwekea viwanja vya michezo. Prof. Mkenda #MashindanoUMITASHUMTATabora Tunawapongeza OR- TAMISEMI kwa kutenga shule 56 na kuzikarabati kuziwekea viwanja vya michezo. Prof. Mkenda #MashindanoUMITASHUMTATabora](https://pbs.twimg.com/media/GQHZNumXUAEiDk0.jpg)
![Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo](https://pbs.twimg.com/profile_images/707138381818548224/rfjEGhFQ_200x200.jpg)
Tutazungumza kuanzisha sports academy zenye kila aina ya michezo na watoto waanze darasa la kwanza mpaka kidato cha nne hizi ni shule za Amali.
Prof. Mkenda
#MashindanoUMITASHUMTATabora
![Wizara ya Elimu Tanzania (@wizara_elimuTz) on Twitter photo 2024-06-15 12:47:32 Tutazungumza kuanzisha sports academy zenye kila aina ya michezo na watoto waanze darasa la kwanza mpaka kidato cha nne hizi ni shule za Amali. Prof. Mkenda #MashindanoUMITASHUMTATabora Tutazungumza kuanzisha sports academy zenye kila aina ya michezo na watoto waanze darasa la kwanza mpaka kidato cha nne hizi ni shule za Amali. Prof. Mkenda #MashindanoUMITASHUMTATabora](https://pbs.twimg.com/media/GQHYzy4X0AIKBkG.jpg)
![Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo](https://pbs.twimg.com/profile_images/707138381818548224/rfjEGhFQ_200x200.jpg)
Tutaendelea kusisitiza kujenga viwanja vya michezo mbalimbali katika shule na kama shule za mjini hazina maeneo ya kutosha kuweka viwanja Halmashauri zitenge maeneo zijenge viwanja vitumiwe na shule na Wanafunzi.
Prof. Mkenda
#MashindanoUMITASHUMTATabora
![Wizara ya Elimu Tanzania (@wizara_elimuTz) on Twitter photo 2024-06-15 12:42:43 Tutaendelea kusisitiza kujenga viwanja vya michezo mbalimbali katika shule na kama shule za mjini hazina maeneo ya kutosha kuweka viwanja Halmashauri zitenge maeneo zijenge viwanja vitumiwe na shule na Wanafunzi. Prof. Mkenda #MashindanoUMITASHUMTATabora Tutaendelea kusisitiza kujenga viwanja vya michezo mbalimbali katika shule na kama shule za mjini hazina maeneo ya kutosha kuweka viwanja Halmashauri zitenge maeneo zijenge viwanja vitumiwe na shule na Wanafunzi. Prof. Mkenda #MashindanoUMITASHUMTATabora](https://pbs.twimg.com/media/GQHXteCXsAAkLSU.jpg)
![Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo](https://pbs.twimg.com/profile_images/707138381818548224/rfjEGhFQ_200x200.jpg)
Vipaji lazima vitambuliwe na kuendelezwa kuanzia shule na awali na msingi ili kupata washiriki katika mashindano mbalimbali ya Kimataifa hatuwezi kuwa na umahiri tukisubiri watoto wamalize shule ndio waanze kufanya michezo na sanaa.
Prof. Mkenda
#MashindanoUMITASHUMTATabora
![Wizara ya Elimu Tanzania (@wizara_elimuTz) on Twitter photo 2024-06-15 12:39:56 Vipaji lazima vitambuliwe na kuendelezwa kuanzia shule na awali na msingi ili kupata washiriki katika mashindano mbalimbali ya Kimataifa hatuwezi kuwa na umahiri tukisubiri watoto wamalize shule ndio waanze kufanya michezo na sanaa. Prof. Mkenda #MashindanoUMITASHUMTATabora Vipaji lazima vitambuliwe na kuendelezwa kuanzia shule na awali na msingi ili kupata washiriki katika mashindano mbalimbali ya Kimataifa hatuwezi kuwa na umahiri tukisubiri watoto wamalize shule ndio waanze kufanya michezo na sanaa. Prof. Mkenda #MashindanoUMITASHUMTATabora](https://pbs.twimg.com/media/GQHXEt4WUAA2TXu.jpg)
![Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo](https://pbs.twimg.com/profile_images/707138381818548224/rfjEGhFQ_200x200.jpg)
![Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo](https://pbs.twimg.com/profile_images/707138381818548224/rfjEGhFQ_200x200.jpg)
![Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo](https://pbs.twimg.com/profile_images/707138381818548224/rfjEGhFQ_200x200.jpg)
![Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo](https://pbs.twimg.com/profile_images/707138381818548224/rfjEGhFQ_200x200.jpg)
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inafanya mapitio ya Sera ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia yanayolenga kuiboresha na kuihuisha kuwa Sera ya Taifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu.
Prof. Adolf Mkenda
#KilelechaMaadhimishoyaKitaifayaElimu ,UjuzinaUbunifu
![Wizara ya Elimu Tanzania (@wizara_elimuTz) on Twitter photo 2024-05-31 21:04:32 Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inafanya mapitio ya Sera ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia yanayolenga kuiboresha na kuihuisha kuwa Sera ya Taifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu. Prof. Adolf Mkenda #KilelechaMaadhimishoyaKitaifayaElimu,UjuzinaUbunifu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inafanya mapitio ya Sera ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia yanayolenga kuiboresha na kuihuisha kuwa Sera ya Taifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu. Prof. Adolf Mkenda #KilelechaMaadhimishoyaKitaifayaElimu,UjuzinaUbunifu](https://pbs.twimg.com/media/GO76uePWIAA8sZ5.jpg)