Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile
Ofisi ya Waziri Mkuu

@tzwazirimkuu

The official Twitter page of the Prime Minister's Office Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Ofisi ya Waziri Mkuu

ID: 1173638808790851585

linkhttp://www.pmo.go.tz calendar_today16-09-2019 16:45:03

3,3K Tweet

81,81K Followers

4 Following

Kassim Majaliwa Majaliwa (@kassimmajaliwa_) 's Twitter Profile Photo

Ninaungana na Mhe.Samia Suluhu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumpongeza kwa dhati Mhe.Faustine Ndugulile kwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Dunia (WHO) kwa Ukanda wa Afrika.

Ninaungana na Mhe.<a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumpongeza kwa dhati Mhe.<a href="/DocFaustine/">Faustine Ndugulile</a> kwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Dunia (WHO) kwa Ukanda wa Afrika.
Kassim Majaliwa Majaliwa (@kassimmajaliwa_) 's Twitter Profile Photo

Kuchaguliwa kwa Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile ni muendelezo wa nchi yetu kuaminiwa Kimataifa na kuthibitisha uimara wa diplomasia yetu. Ninamtakia kila la kheri Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile katika majukumu yake ya kulihudumia Bara letu la Afrika.

Kuchaguliwa kwa Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile ni muendelezo wa nchi yetu kuaminiwa Kimataifa na kuthibitisha uimara wa diplomasia yetu.

Ninamtakia kila la kheri Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile katika majukumu yake ya kulihudumia Bara letu la Afrika.
Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete, Bungeni jijini Dodoma Agosti 29, 2024.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Agosti 30, 2024 amesafiri kwa kutumia Usafiri wa treni ya Mwendo Kasi kutokea Dom- Dar ambapo atashiriki Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Watoa Huduma za Afya Afrika Mashariki utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watoa huduma za afya wa nchi wananchama wa kanda ya Afrika Mashariki kuondoa vikwazo vinavyozuia wagonjwa wanaotafuta matibabu ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki. Bofya link kusoma zaidi.👇🏽 whatsapp.com/channel/0029Va…

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watoa huduma za afya wa nchi wananchama wa kanda ya Afrika Mashariki kuondoa vikwazo vinavyozuia wagonjwa wanaotafuta matibabu ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki.

Bofya link kusoma zaidi.👇🏽

whatsapp.com/channel/0029Va…
Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) yaliyofanyika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam Septemba 01,2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) yaliyofanyika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam Septemba 01,2024.
Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Septemba 03, 2024 amefanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini, Mubaraka Mohamed Alsehaijan, ambaye alikwenda kuaga ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma.

TANZANIA KUJIIMARISHA ZAIDI KIDIPLOMASIA - MAJALIWA   WAZIRI MKUU  Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kujiimarisha kidiplomasia ili kuwawezesha Watanzania wengi kupata fursa mbalimbali katika jumuia za kimataifa. Bofya link kusoma zaidi. whatsapp.com/channel/0029Va…

TANZANIA KUJIIMARISHA ZAIDI KIDIPLOMASIA - MAJALIWA
 
WAZIRI MKUU  Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kujiimarisha kidiplomasia ili kuwawezesha Watanzania wengi kupata fursa mbalimbali katika jumuia za kimataifa.

Bofya link kusoma zaidi.

whatsapp.com/channel/0029Va…
Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Dkt. Gladnes Selema  kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma baada ya  kuchaguliwa na Bunge kuwa Mbunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Septemba 5, 2024. Kushoto ni Mume wa Mbunge huyo, Dereck Chitama.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba Ali linalojishughulisha na  kulea na kuhudumia watoto wenye ulemavu la Iringa, Bw. Zawadi Msigala, ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma, Septemba 5, 2024.

WAZIRI MKUU ATOA MAELEKEZO UENDESHAJI MRADI WA SGR   WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi iendelee kulisimamia kwa karibu Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kuhakikisha huduma za treni ya SGR zinaboreshwa na miundombinu inaimarishwa. whatsapp.com/channel/0029Va…

WAZIRI MKUU ATOA MAELEKEZO UENDESHAJI MRADI WA SGR
 
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi iendelee kulisimamia kwa karibu Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kuhakikisha huduma za treni ya SGR zinaboreshwa na miundombinu inaimarishwa.

whatsapp.com/channel/0029Va…
Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

WAZIRI MKUU ATOA MAELEKEZO UENDESHAJI MRADI WA SGR WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi iendelee kulisimamia kwa karibu Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kuhakikisha huduma za treni ya SGR zinaboreshwa na miundombinu inaimarishwa.

Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Mashaka Biteko, baada ya kuahirisha Mkutano wa 16 wa Bunge, bungeni jijini Dodoma, Septemba 6, 2024.

Waziri Mkuu, <a href="/KassimMajaliwa_/">Kassim Majaliwa Majaliwa</a> akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Mashaka Biteko, baada ya kuahirisha Mkutano wa 16 wa Bunge, bungeni jijini Dodoma, Septemba 6, 2024.
Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

WAZIRI MKUU KUFUNGUA SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WANDAMIZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 06, 2024 amewasili Mkoani Kilimanjaro ambapo atafungua Semina elekezi kwa viongozi waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

WAZIRI MKUU KUFUNGUA SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WANDAMIZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 06, 2024 amewasili Mkoani Kilimanjaro ambapo atafungua Semina elekezi kwa viongozi waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Maafisa waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na viongozi wa vyombo vya usalama wa Wizara hiyo kutekeleza kwa vitendo na kuiishi falsafa ya R nne (4R) ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kufikia malengo yaliyokusudiwa.

Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MBIO ZA HISANI ZA MAENDELEO BANK Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 07, 2024 ameshiriki katika mbio za hisani za Maendeleo Bank Marathon 2024. Bofya link kusoma zaidi 👇🏿 whatsapp.com/channel/0029Va…

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MBIO ZA HISANI ZA MAENDELEO BANK

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 07, 2024 ameshiriki katika mbio za hisani za Maendeleo Bank Marathon 2024.

Bofya link kusoma zaidi 👇🏿

whatsapp.com/channel/0029Va…
Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

WAZIRI MKUU: SERIKALI IMEONGEZA WIGO HUDUMA ZA WATOTO WACHANGA   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imefanya mageuzi makubwa kwa kuongeza wigo wa upatikanaji wa huduma kwa watoto wachanga. Bofya link kusoma zaidi 👇🏿 whatsapp.com/channel/0029Va…

WAZIRI MKUU: SERIKALI IMEONGEZA WIGO HUDUMA ZA WATOTO WACHANGA
 
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imefanya mageuzi makubwa kwa kuongeza wigo wa upatikanaji wa huduma kwa watoto wachanga.
 
Bofya link kusoma zaidi 👇🏿

whatsapp.com/channel/0029Va…