Unitedfinest ๐Ÿ”ฐ (@unitedfinest_) 's Twitter Profile
Unitedfinest ๐Ÿ”ฐ

@unitedfinest_

Here to tweet about Manichester united & other small clubs like Chelsea, arsenal

ID: 1692985751825260544

calendar_today19-08-2023 19:46:12

6,6K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Wakati wa JIWE hakuwahi kutekwa na kupotezwa mzee wa miaka 69. Wakati wa HANGAYA imetokea hivyo. #AllyMohammedKibao ni mzee kuliko HANGAYA. Katekwa kwenye basi yenye watu zaidi ya 70 na ameuwawa. Bunduki zimebebwa. Nyakati hatari kuliko nyakati za JIWE. Pumzika kwa amani MEDDY ๐Ÿ’”

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Samia Suluhu Ishu sio uchunguzi tuu bali nani mwenye uwezo wa kumiliki bunduki na pingu hadharani??. Nan ana uwezo wa kuzuia barabara tena kweupee tegeta na landcruiser2 !??. Na mbona taarifa haijaripotiwa ya wavamizi wa gari!kama ni majambazi mbona polisi hawakupambana nao.