@vic_clinic
ID:1435525974783893509
calendar_today08-09-2021 08:51:00
2,2K Tweets
67 Followers
183 Following
3 weeks ago
Umepata followers? Kama bado leta handle yako hapa 👇 tukufollow🔥🔥🔥
1 month ago
Happy birthday son,Mungu akusimamie ukue vyema rasta👊🏿
2 months ago
Kama ndio umefika saivi weka emoj kwenye quote retweet twende kwa kasi
Atari 😂😂😂🙌🙌🙌
Haya mambo haya 😃😃😃🤔
3 months ago
Guys kati ya siku sitaki kuacha mtu basi ni leo.NANI BADO?????Retweet kama bado na pia quote retweet 🥰
6 months ago
Kwanza unauhakika utazeeka?
10 months ago
Naomba uka retweet pinned post yangu na Mimi nifurahi 💰Weka na Twitter handle yako nikutafutie followers like retweet 👇
Unajua me sina ela ila nikiwa na ww najiona tajiri….
11 months ago
Leo binti yangu Kelly katimiza miaka 9,Mungu ni mwema aisee.
1 year ago
Twitter location: Hapa nipo Wapi?
Haikuwa rahisi ila kwa uwezo wa Mungu tulivuka,leo kijana anafikisha mwaka..
Wataalamu wa MaGari huu ni ufunguo wa Gari gani?
Na follow wana simba 500 wa kwanza kuweka handle zao na kuretweet na kulike wainuke 👇
Madee 😂
2 years ago
Aliyeelewa hii katuni hatusaidiee, masoud kipanya katupiga na kitu kizito kichwani 🥴Kindly retweet 🙏🙏