Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿

@wizara_afyatz

Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Afya Tanzania.
Ukurasa huu unaendeshwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - AFYA

ID: 3044753523

linkhttp://www.moh.go.tz calendar_today19-02-2015 04:54:19

6,6K Tweet

237,237K Followers

135 Following

Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

MYOMA YENYE ZAIDI YA KILO 4.2 ILIVYO MTESA MAMA WA MIAKA 44 KWA MIAKA MITANO Na WAF - Mtwara. Timu ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia wanaoendelea kutoa huduma za matibabu karibu na wananchi kwa sasa wamefanikiwa kumtoa uvimbe kwenye mfuko wa kızazi ( Uterine Myoma) wenye uzito

MYOMA YENYE ZAIDI YA KILO 4.2 ILIVYO MTESA MAMA WA MIAKA 44 KWA MIAKA MITANO

Na WAF - Mtwara.

Timu ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia wanaoendelea kutoa huduma za matibabu karibu na wananchi kwa sasa wamefanikiwa kumtoa uvimbe kwenye mfuko wa kızazi ( Uterine Myoma) wenye uzito