Johnson john (@yehmese) 's Twitter Profile
Johnson john

@yehmese

Don't hit my dm , for money 💸 I don't have money

ID: 1567222273865617410

calendar_today06-09-2022 18:45:08

287 Tweet

920 Followers

909 Following

Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Je, wewe ni mwanataaluma katika chuo cha elimu ya juu? Je, unataka kujiendeleza kwa masomo ya Shahada ya Uzamivu (Phd) nchini Korea? Ikiwa jibu lako ni ndio, tafadhali ingia kwenye link hapa chini na kuwasilisha maombi ya ufadhili kupitia Seoul National University (SNU)

Je, wewe ni mwanataaluma katika chuo cha elimu ya juu? Je, unataka kujiendeleza kwa masomo ya Shahada ya Uzamivu (Phd) nchini Korea? 

Ikiwa jibu lako ni ndio, tafadhali ingia kwenye link hapa chini na kuwasilisha maombi ya ufadhili kupitia Seoul National University (SNU)
US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

Jiunge nasi kwa huduma za ushauri za EducationUSA katika Kituo cha Kimarekani katikati ya jiji, eneo la Posta ndani ya Makumbusho ya Taifa kuanzia saa 8 mchana - 10 jioni. Utajifunza vigezo vya maombi kwa vyuo vikuu vya Marekani na mbinu bora za utayarishaji wa maombi. Karibu!

Jiunge nasi kwa huduma za ushauri za EducationUSA katika Kituo cha Kimarekani katikati ya jiji, eneo la Posta ndani ya Makumbusho ya Taifa kuanzia saa 8 mchana - 10 jioni. Utajifunza vigezo vya maombi kwa vyuo vikuu vya Marekani na mbinu bora za utayarishaji wa maombi. Karibu!
EU in Tanzania (@euintz) 's Twitter Profile Photo

Eid Mubarak🌙 Umoja wa Ulaya 🇪🇺 nchini Tanzania🇹🇿 unawatakia Watanzania wote kheri ya sikukuu ya Eid Al-Adha. Sherehe hizi ziwe zenye furaha, amani, ustawi na umoja kwenu wote.

Eid Mubarak🌙

Umoja wa Ulaya 🇪🇺 nchini Tanzania🇹🇿 unawatakia Watanzania wote kheri ya sikukuu ya Eid Al-Adha. Sherehe hizi ziwe zenye furaha, amani, ustawi na umoja kwenu wote.
US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

Tunawaalika wataalamu wa teknolojia na waleta mabadiliko kutoka nchini kote Tanzania Shindano la Teknolojia (U.S. - Tanzania Tech Challenge) ili kukuza ushiriki wa raia, kuimarisha jitihada za kukuza uelewa kuhusu dhima, wajibu na utendaji wa vyombo vya habari (media literacy) na

US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

Vacancy announcement at the U.S. Embassy in Dar es Salaam! Position Title:        PHS - Monitoring and Evaluation – WRAIR (All Interested Candidates) VA Number:          DaresSalaam-2024-035 Open Date:            June 21, 2024 Close Date:            July 05, 2024 For

Vacancy announcement at the U.S. Embassy in Dar es Salaam!

Position Title:        PHS - Monitoring and Evaluation – WRAIR (All Interested Candidates)

VA Number:          DaresSalaam-2024-035
Open Date:            June 21, 2024
Close Date:            July 05, 2024

For
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UGONJWA WA MPOX KATIKA NCHI ZINAZOPAKANA NA TANZANIA 🟩 Mpaka sasa Tanzania ni salama na hakuna mgonjwa yoyote aliyepatikana na ugonjwa huo. 🟩 Ugonjwa wa Mpox unaweza kusambaa kutoka kwa mtu mwenye maambukizi kwenda kwa mwingine kwa njia zifuatazo;

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UGONJWA WA MPOX KATIKA NCHI ZINAZOPAKANA NA TANZANIA  
 
🟩 Mpaka sasa Tanzania ni salama na hakuna mgonjwa yoyote aliyepatikana na ugonjwa huo.  

🟩 Ugonjwa wa Mpox unaweza kusambaa kutoka kwa mtu mwenye maambukizi kwenda kwa mwingine kwa njia zifuatazo;
𝗔𝗯𝗲𝗿𝘁𝘂𝘀 𝗣𝗮𝘀𝗰𝗵𝗮𝗹, 𝗔.🇹🇿𝕏 (@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

📍Dodoma ◾TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UGONJWA WA MPOX KATIKA NCHI ZINAZOPAKANA NA TANZANIA ➡️ Mpaka sasa Tanzania ni salama na hakuna mgonjwa yoyote aliyepatikana na ugonjwa huo. ➡️ Ugonjwa wa Mpox unaweza kusambaa kutoka kwa mtu mwenye maambukizi kwenda kwa mwingine kwa

📍Dodoma

◾TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UGONJWA WA MPOX KATIKA NCHI ZINAZOPAKANA NA TANZANIA  
 
➡️ Mpaka sasa Tanzania ni salama na hakuna mgonjwa yoyote aliyepatikana na ugonjwa huo.  

➡️ Ugonjwa wa Mpox unaweza kusambaa kutoka kwa mtu mwenye maambukizi kwenda kwa mwingine kwa
Collins Okinyo (@bedjosessien) 's Twitter Profile Photo

A good move by CAF CAF has taken a significant step in supporting African club football by providing financial assistance to clubs participating in the preliminary stages of the CAF Champions League and Confederation Cup. For the first time, clubs in these early rounds will

A good move by CAF

CAF has taken a significant step in supporting African club football by providing financial assistance to clubs participating in the preliminary stages of the CAF  Champions League and Confederation Cup.

For the first time, clubs in these early rounds will
Job Corner (@jobcorner247) 's Twitter Profile Photo

University of Waterloo Scholarship in Canada 2024 Country: Canada🇨🇦 Benefits: - The scholarship ranges from $1,000 to $40,000. Category: Undergraduate Eligible: All Countries Deadline: Varies by Program If you can’t apply, Please share, someone may need it on your timelines