Adui Wa Yanga
@Aduiwayanga
MATANGAZO KWA BEI YA PUNGUZO NJOO DM
Die fan for @SimbaSCTanzania and @ChelseaFC
Gracias๐๐๐
ID:1423717477758947334
06-08-2021 18:48:03
65,8K Tweets
183,5K Followers
365 Following
Follow People
Baada ya kuongoza maadhimisho miaka 20 ya baraza la amani na usalama la umoja wa africa asubuhi, Mama samia hajawa nyuma kushiriki uzinduzi wa album mpya ya msanii Harmonize hii inaonyesha ni kiasi gani Rais Dkt Samia Suluhu yupo tayari ku_support sanaa na michezo.
Dkt Samia Suluhu anaweza kufit kwenye kila kundi imagine usiku huu yupo zake kwenye show ya HARMONIZE na wala hawazi