Ishengoma Irene(@IshengomaIrene) 's Twitter Profileg
Ishengoma Irene

@IshengomaIrene

I am a solution|Women Football Welfare #sokalawanawaketz 🇹🇿|#AmaniHuanziaNyumbani|Online Safe Space| I work @globalpeacetz | Maisha Plus 2nd runner 2016.

ID:898840196673875969

linkhttps://instagram.com/_ishengoma?igshid=YmMyMTA2M2Y= calendar_today19-08-2017 09:32:57

47,0K Tweets

18,1K Followers

2,0K Following

Follow People
TricyLove🦁(@amprincess9) 's Twitter Profile Photo

Update kwa yule dada aliyechoka kunyanyasika kingono kazini na meneja.

Kwanza kabisa niwashukuru nyote mliosaidia kwa namna moja ama nyingine

Kipekee kabisa niseme asante sana mno yani mno nimefurahi sana 🦁 𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 𝐎™ yeye ndie alie fanikisha binti huyu kupata kazi tena ya…

Update kwa yule dada aliyechoka kunyanyasika kingono kazini na meneja. Kwanza kabisa niwashukuru nyote mliosaidia kwa namna moja ama nyingine Kipekee kabisa niseme asante sana mno yani mno nimefurahi sana @CharlieBihemo yeye ndie alie fanikisha binti huyu kupata kazi tena ya…
account_circle
Bonge La Afya(@BongeLaAfya) 's Twitter Profile Photo

Mazoezi gani kwako ni rahisi?

1. Kutembea

2. Kukimbia

3. Kuruka kamba

4. Yoga

5. Kuendesha baiskeli

6. Kupitia michezo mbalimbali

account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

Nafikiri mimi ni mtu mwenye bahati sana Duniani..!

Kila inapofika siku ya tarehe 12 May Dunia huadhimisha siku maalum ya 'MAMA'

Nafikiri Duniani mimi ndiye mtu pekee mwenye mama wawili (Two mothers).

Nilipataje mama wawili? Ni hadithi ya mapenzi ya kusisimua.

Mtu na mdogo…

Nafikiri mimi ni mtu mwenye bahati sana Duniani..! Kila inapofika siku ya tarehe 12 May Dunia huadhimisha siku maalum ya 'MAMA' Nafikiri Duniani mimi ndiye mtu pekee mwenye mama wawili (Two mothers). Nilipataje mama wawili? Ni hadithi ya mapenzi ya kusisimua. Mtu na mdogo…
account_circle
Jennifer Kayombo🌙🕋(@JenniferKayombo) 's Twitter Profile Photo

13.05 , ALHAMDULLILAH🎊🎂🙏🏾

Embracing this new chapter with a greatful, humble, faithful and happy HEART❤️!

13.05 , ALHAMDULLILAH🎊🎂🙏🏾 Embracing this new chapter with a greatful, humble, faithful and happy HEART❤️!
account_circle
Nepai_9(@Nepai_9) 's Twitter Profile Photo

I got a job y'a'll, God is good indeed🙏🏼, After over 10 years of waiting for job, I got one this month💃🏻💃🏻my heart is full ❤️
Nilimaliza chuo 2012 nimepata my first job 2024, sikua ninamfahamu yoyote it's only God🙏🏼

Kamwe usikate tamaa siku yako ipo🙏🏼

account_circle
Sonnino⚡(@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

Ya Leo Leo Kutoka Bungeni Dodoma

Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu, MP
akiwasili katika viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma kwa ajili ya kuwasilisha Bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 Leo tarehe 13, Mei, 2024.

Ya Leo Leo Kutoka Bungeni Dodoma Waziri wa Afya Mhe @ummymwalimu akiwasili katika viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma kwa ajili ya kuwasilisha Bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 Leo tarehe 13, Mei, 2024.
account_circle
Sonnino⚡(@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

'Kuimarisha huduma za Afya ya Akili, huduma za utengamao na Tiba Shufaa hususan kwa Watoto, Wazee na Wenye Ulemavu kiasi cha Shilingi 9,318,528,988.00 kimetengwa;
Kutoa elimu kwa umma kuhusu vihatarishi vya afya ya akili na namna ya kukabiliana navyo;

'Kuimarisha huduma za Afya ya Akili, huduma za utengamao na Tiba Shufaa hususan kwa Watoto, Wazee na Wenye Ulemavu kiasi cha Shilingi 9,318,528,988.00 kimetengwa; Kutoa elimu kwa umma kuhusu vihatarishi vya afya ya akili na namna ya kukabiliana navyo;
account_circle
Mwaki(@Officialsam28) 's Twitter Profile Photo

Ni siku nyingine tena, Tazama ujumbe mfupi kuhusu madhara yatokanayo na pamoja na kwa watoto wa kike.

Usisahau kutoa maoni yako!

account_circle
SikilizaTogolani(@SikilizaTogolan) 's Twitter Profile Photo

'Mpende unayempenda lakini acha nafasi, inawezekana siku moja atakukera. Na mchukie mtu unavyotaka kumchukia lakini weka nafasi, yawezekana siku ukamuhitaji.' ~Togolani Mavura.

'Mpende unayempenda lakini acha nafasi, inawezekana siku moja atakukera. Na mchukie mtu unavyotaka kumchukia lakini weka nafasi, yawezekana siku ukamuhitaji.' ~Togolani Mavura.
account_circle
Johnbest Mwahaja(@JohnieZeBest) 's Twitter Profile Photo

'Unachofikiria juu yako mwenyewe ni muhimu zaidi kuliko vile wengine wanafikiria juu yako.' ~ Afande Mwahaja.

Tukawe na week njema..

'Unachofikiria juu yako mwenyewe ni muhimu zaidi kuliko vile wengine wanafikiria juu yako.' ~ Afande Mwahaja. Tukawe na week njema.. #MrUnknownCode
account_circle
Imani Henrick Luvanga(@Imaniluvanga) 's Twitter Profile Photo

Kama upo sehemu hauthaminiwi au unalipwa kidogo.. sio dhambi kutafuta malisho mengine.

Mfanyakazi bora ni yule anayejua thamani yake na sio yule anayebaki sehemu kwa kuogopa kutafuta changamoto mpya.

Kama upo sehemu hauthaminiwi au unalipwa kidogo.. sio dhambi kutafuta malisho mengine. Mfanyakazi bora ni yule anayejua thamani yake na sio yule anayebaki sehemu kwa kuogopa kutafuta changamoto mpya.
account_circle
Salma Iddy(@SalmaIddy8) 's Twitter Profile Photo

Mimi ni mwenye uwezo, ujasiri, na ninastahili mafanikio. Kila changamoto ninayokabiliana nayo ni fursa ya kukua, na naichukua kwa ujasiri na nguvu. Ninaamini katika uwezo wangu na uwezo wangu wa kujenga maisha ninayotamani. - Salma Iddy 🇹🇿

Mimi ni mwenye uwezo, ujasiri, na ninastahili mafanikio. Kila changamoto ninayokabiliana nayo ni fursa ya kukua, na naichukua kwa ujasiri na nguvu. Ninaamini katika uwezo wangu na uwezo wangu wa kujenga maisha ninayotamani. - Salma Iddy 🇹🇿
account_circle
Ashraf JK, Kutwa Mara Tatu(tds)(@Ashrafkilande) 's Twitter Profile Photo

Ingawa kulia kwa mtoto mara kwa mara kunaweza kuwa tishio na kuwakatisha tamaa wazazi wapya, ni muhimu kukumbuka kuwa kulia ni jambo la kawaida na lenye afya kwa watoto wachanga.

account_circle
Ashraf JK, Kutwa Mara Tatu(tds)(@Ashrafkilande) 's Twitter Profile Photo

Njaa:

Hii ndio sababu ya kwanza ya kawaida ya kulia kwa watoto wachanga. Ikiwa mtoto wako analia na anaonyesha dalili za njaa, kama vile kutafuta titi au chupa ya maziwa, kumlisha (Kumnyonyesha) kunaweza kumtuliza.

account_circle
Ashraf JK, Kutwa Mara Tatu(tds)(@Ashrafkilande) 's Twitter Profile Photo

Nepi(Diaper) Chafu/Nyevu:

Watoto wachanga hawapendi unyevu(majimaji), kwa hiyo ni kawaida mtoto mchanga kulia ikiwa diaper(nepi) yake imejaa mkojo au unyevu wa aina yoyote. Jitahidi kumbadilishia diaper(nepi) yake mara moja iwapo imelowa au yenye uchafu/unyevu.

account_circle
Ashraf JK, Kutwa Mara Tatu(tds)(@Ashrafkilande) 's Twitter Profile Photo

Uchovu:

Watoto wachanga huchoka haraka, na wanaweza kulia wanapotaka kulala. Jaribu kumlaza mtoto wako kwenye mazingira yenye utulivu na mwanga hafifu au giza ili kumsaidia kulala kwa haraka.

account_circle