profile-img
Tanzania Editors Forum (TEF)

@EditorsForums

We defend freedom of expression and promote editorial excellence as keystone to realization of mature democracy in Tanzania.

calendar_today15-03-2019 13:19:41

2,3K Tweets

8,2K Followers

617 Following

Tanzania Editors Forum (TEF)(@EditorsForums) 's Twitter Profile Photo

Wajumbe 19 wa Baraza la Kuu la Chama cha Wananchi (CUF), wamepewa barua ya kujieleza kwanini wasichukuliwe hatua baada ya wajumbe hao kudai demokrasia ilisiginwa wakati wa kuteua majina ya wagombea Ubunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (Eala).

account_circle