Tanzania Editors Forum (TEF)
@EditorsForums
We defend freedom of expression and promote editorial excellence as keystone to realization of mature democracy in Tanzania.
ID:1106545504333283328
http://tanzaniaeditorsforum.com 15-03-2019 13:19:41
3,0K Tweets
3,4K Followers
691 Following
Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACTwazalendo amesema, ripoti ya kikosi kazi kilichoratibu maoni ya wadau kuhusu demokrais ya vyama vingi, haina mambo waliyotaka kwa 100%.
“…lakini ni hatua moja mbele,” amesema.
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema yeye na wabunge wenzake watashiriki vyema katika mchakato wa kulipatia taifa sheria za habari zilizo bora na zitazodumu kwa muda mrefu.
#TimesMajiraUpdates
Bodi ya Korosho (CBT) ilitakiwa kueleza mwenendo wa bei ya korosho duniani kabla ya wakulima kususa kuuza korosho zao badala ya kusubiri mgomo katika minada ya awali - Mtutura Abdallah Mtutura, Msemaji Idara ya Kilimo ACTwazalendo Wazalendo.