Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profileg
Farhan Kihamu Jr

@FKihamu

VISIT MOROGORO 🇹🇿 | MKULIMA| Presenter @cloudsmedialive| Brand Ambassador @betwaytanzania

ID:4401120681

linkhttps://instagram.com/jr_farhanjr?igshid=YmMyMTA2M2Y= calendar_today07-12-2015 04:36:39

12,2K Tweets

391,7K Followers

976 Following

Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Sawa Neymar. Sina la kusema zaidi ya kukubali, maisha yanataka nini zaidi? Fedha unazo, mabeki hawakuwezi, mrembo unaye....dah poa bwana JR.

account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Iwapo Madrid watashinda taji la hispania (La Liga) hii ndio itakua mara ya kwanza kwa kisiki Toni Rudiger kubeba ndoo ya ligi tokea aanze kucheza soka la kulipwa. Dakika za jioniii sana unaambiwa!

Uwe Shabiki wa mpira, uwe Mwanahabari ama Mtu yoyote lazima tujenge utamaduni wa kutojadili MASLAHI ya Mtu mwingine kwa vile tunataka sisi, Wachezaji wanapaswa kujitambua kama hivi kwakuwa maisha ya mpira ni mafupi sana kuliko maisha ya nje ya mpira ambayo ni marefu zaidi.

Kama…

Uwe Shabiki wa mpira, uwe Mwanahabari ama Mtu yoyote lazima tujenge utamaduni wa kutojadili MASLAHI ya Mtu mwingine kwa vile tunataka sisi, Wachezaji wanapaswa kujitambua kama hivi kwakuwa maisha ya mpira ni mafupi sana kuliko maisha ya nje ya mpira ambayo ni marefu zaidi. Kama…
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Msimu uliopita aliikuta timu hii inapigania kusalia bundesliga akaiokoa. Wana mechi 47 bila kufungwa msimu huu. Kusalia kwake Bayer04 kama akiendelea na matokeo haya msimu ujao huenda jina lake litasikika kwa muda mrefu zaidi katika duru za soka Xabi Alonso tena akifundisha klabu…

Kiuchezaji Cole Palmer na Phil Foden nani anamzidi mwenzie nini? Nasoma comments za wanangu mnaojua soka! Tiririka hapo____👇

Siku moja simu ya Baba au Mama ambayo hutaki kuipokea utaikumbuka wakati ambao hayupo tena duniani, wapo waliotamani hata wasikie sauti zao ikashindikana, wapo wanaotamani Wazazi wazaliwe upya wawe na muda nao wa kutosha lakini haiwezekani.

Hizo texts za Mwanamke wako au…

Siku moja simu ya Baba au Mama ambayo hutaki kuipokea utaikumbuka wakati ambao hayupo tena duniani, wapo waliotamani hata wasikie sauti zao ikashindikana, wapo wanaotamani Wazazi wazaliwe upya wawe na muda nao wa kutosha lakini haiwezekani. Hizo texts za Mwanamke wako au…
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Pengine huyu fundi alipaswa kucheza timu kubwa zaidi ya alizocheza. Watu wa boli ilikua sahihi Payet kusepa West ham na kurudi Marseille? Au kuna sehemu tulipaswa kumuona zaidi____?

Nyumbani utapata Ndugu, mitaa itakupa Marafiki na Ofisini utapata Wafanyakazi wenzako tu, usisahau hiyo mistari cheza kwa tahadhari.

account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

🚨KIBU DENIS ana offer tatu kutoka klabu tatu ndani ya nchi ikiwemo SIMBA, kipaumbele chake ni Simba ila kuna maboresho ya kimkataba ambayo yanapaswa kufanyika ili asaini, yale ya msingi Simba wameyafikia ila kuna ya ziada ambayo wao hawajayafikia mpaka sasa, Kibu hana tatizo…

Kuna wakati tukubali Wanangu kuwa hawa Wanawake tunapaswa kuwahudumia ili wakubali kuja kutusalimia magetoni, kikawaida tu huwezi kula usichokilisha, yaani Ng’ombe humpi majani atatoaje maziwa Wanangu?😀

account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Ukiachana kero kadhaa ndani ya nchi, kero ya daladala, kero za upwiru, kero za bei za mafuta kupanda na kushuka, kero ya mvua basi ongeza na kero nyingine nayo ni YANGA AFRIKA, ni kero tu! Ligi Kuu wanaongoza, FA wanaitaka, Derby wametakata, ni kero tu, ukisema Pacome kafungiwa…

Tunaendelea na sehemu ya pili kuhusu uwekezaji na mpira kuhamia kwa Wafanyabiashara, Vijana, Matajiri na watu mashughuli duniani!

Swali la kwanza linasalia kwa nini YANGA kwenye mchakato wa mabadiliko walitumia model inayotumika nchini Hispania? Kila nchi Ulaya ina muundo wake…

Tunaendelea na sehemu ya pili kuhusu uwekezaji na mpira kuhamia kwa Wafanyabiashara, Vijana, Matajiri na watu mashughuli duniani! Swali la kwanza linasalia kwa nini YANGA kwenye mchakato wa mabadiliko walitumia model inayotumika nchini Hispania? Kila nchi Ulaya ina muundo wake…
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

Mashabiki wa Arsenal walimtambua Boss wao ama Mmiliki wa timu yao Bilionea Stan Kroenke kama Tajiri asiyejua mpira na walimpa jina la utani kama ‘Silent Stan’ wakiamini hana alijualo kwenye mpira, kutokana na umri Baba ilibidi akubali na baadae akampa Kijana wake Josh Kroenke,…

Toni anaufanya mpira uwe kazi rahisi sana😀

Rais wa Bayern Munich alimruhusu Kroos aondoke akidai sio Mchezaji mkubwa na hawezi kulipwa zaidi ya Euro Million 10 kwa mwaka, akasepa zake Madrid.

Ni Pep Guardiola peke yake ndani ya Bayern hakutaka Fundi aondoke ila Viongozi…

Toni anaufanya mpira uwe kazi rahisi sana😀 Rais wa Bayern Munich alimruhusu Kroos aondoke akidai sio Mchezaji mkubwa na hawezi kulipwa zaidi ya Euro Million 10 kwa mwaka, akasepa zake Madrid. Ni Pep Guardiola peke yake ndani ya Bayern hakutaka Fundi aondoke ila Viongozi…
account_circle