Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profileg
Martin Maranja Masese

@IAMartin_

MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |

ID:126657061

linkhttps://www.instagram.com/martinmaranjamasese?igsh=bTR1eWEzOTRqcGtj&utm_source=qr calendar_today26-03-2010 15:32:42

145,1K Tweets

503,8K Followers

1,5K Following

Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Boniface Jacob na Godlisten Malisa wamepata dhamana Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa masharti ya kila mdhamini kusaini bondi ya TZS milioni 2. Kesi itatajwa tena June 6, 2024.

NB; Tunawataka polisi mahakamani. Hakuna kuondoa kesi mahakamani. Kesi hii itaokoa sana umma. 🙏🏾

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Boniface Jacob na Godlisten Malisa wanashtakiwa kwa kuzusha taharuki na uchochezi. Kwa kuwa mashtaka yana dhamana, masharti ni;

1. Wadhamini wawili kila mshtakiwa
2. Kitambulisho cha kazi (mtumishi)
3. Kitambulisho cha Taifa (NIDA)
4. Barua ya utambulisho

Nani yupo tayari?

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Mawakili wa Boniface Jacob na Godlisten Malisa ni Adv. Peter Kibatala na Adv. Hekima Mwaisipu na Adv. Dickson Matata. Washtakiwa wapo Kisutu wakisubiri kupandishwa kizimbani kusomewa mashtaka yao. Tunawashukuru polisi kupeleka hii kesi mahakamani. Tunaomba sana, wasikimbie.

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Boniface Jacob na Godlisten Malisa wanapelekwa mahakama ya hakimu mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Walifika leo kituo kikuu cha polisi kati - DSM (central police) kuripoti kama walivyoelekezwa. Walalamikaji ni polisi, wakiwatuhumu kuzusha taharuki katika jamii na uchochezi.

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Kitu pekee CCM wanaweza kuwafanyia watu wao kwa ufasaha, na watu wao wakashangilia kwa nderemo na vifijo ni kuwasindikiza kaburini kwenda kuwazika. Dodoma Mjini, mbunge wao, Anthony Mavunde aliwazawadia ‘gari la mazishi’. Tazama kada anavyokula viduku kusherekea gari la mazishi😢

Hata siyo uongo. Kinana hajakosea. CHADEMA ni chama cha siasa. Lengo letu kubwa zaidi ni kupata ridhaa ya wananchi (KUCHAGULIWA) na kuongoza DOLA. Ni kweli, CHADEMA tunadai KATIBA MPYA.

Tunataka KATIBA MPYA; Mosi, ili tushinde uchaguzi, pili, ili tukamate DOLA, tatu, turekebishe…

Hata siyo uongo. Kinana hajakosea. CHADEMA ni chama cha siasa. Lengo letu kubwa zaidi ni kupata ridhaa ya wananchi (KUCHAGULIWA) na kuongoza DOLA. Ni kweli, CHADEMA tunadai KATIBA MPYA. Tunataka KATIBA MPYA; Mosi, ili tushinde uchaguzi, pili, ili tukamate DOLA, tatu, turekebishe…
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Benjamin William Mkapa katika kitabu chake cha “MY LIFE, MY PURPOSE” anatueleza kwamba wahuni ndani ya CCM na serikali walitumia uaminifu wake kwa CCM kumshawishi akubali kutumia TZS 113 bilioni kutoka akaunti ya madeni ya nje (EPA).

Benjamin Mkapa anasema kwamba, wahuni hao…

Benjamin William Mkapa katika kitabu chake cha “MY LIFE, MY PURPOSE” anatueleza kwamba wahuni ndani ya CCM na serikali walitumia uaminifu wake kwa CCM kumshawishi akubali kutumia TZS 113 bilioni kutoka akaunti ya madeni ya nje (EPA). Benjamin Mkapa anasema kwamba, wahuni hao…
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Bashite anawaapisha ‘wadudu’ mchanganyiko na walimu. Aliyevaa sweta ni Mwl, Katumbi kutoka She ya Sekondari Muungano - Usa River. Pia aliyevaa koti. Napata shida sana na aina hii ya walimu wetu wa sasa hivi… Julius K. Nyerere alikuwa ni ‘mwalimu’ Pugu Sekondari. Hakuwa bwege.

Leo asubuhi natoka maskani, nakwenda Oysterbay kumsindikiza mwanangu Boni Yai kituo cha polisi, nikapita kwa wakala kuweka muamala kabatini.

Nikampa 500K, mrembo akahesabu kwa mashine, kweli jiwe 500, noti za buku dasi 100. Nikaandika namba na jina, akaweka, nikasepa na haraka…

Leo asubuhi natoka maskani, nakwenda Oysterbay kumsindikiza mwanangu Boni Yai kituo cha polisi, nikapita kwa wakala kuweka muamala kabatini. Nikampa 500K, mrembo akahesabu kwa mashine, kweli jiwe 500, noti za buku dasi 100. Nikaandika namba na jina, akaweka, nikasepa na haraka…
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

VODACOM - SONGESHA & M-PAWA | TIGO - NIVUSHE PLUS | AIRTEL - TIMIZA | baadhi ya huduma za kifedha katika mitandao ya simu Tanzania.

Huduma hizi za mikopo ya kifedha kutoka kampuni za simu, Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba anasema hakuna kampuni yenye leseni ya kukopesha.

Twende…

VODACOM - SONGESHA & M-PAWA | TIGO - NIVUSHE PLUS | AIRTEL - TIMIZA | baadhi ya huduma za kifedha katika mitandao ya simu Tanzania. Huduma hizi za mikopo ya kifedha kutoka kampuni za simu, Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba anasema hakuna kampuni yenye leseni ya kukopesha. Twende…
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

VODACOM - SONGESHA & M-PAWA | TIGO - NIVUSHE PLUS | AIRTEL - TIMIZA | baadhi ya huduma za kifedha katika mitandao ya simu Tanzania.

Huduma hizi za mikopo ya kifedha kutoka kampuni za simu, Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba anasema hakuna kampuni yenye leseni ya kukopesha.

Kwa…

VODACOM - SONGESHA & M-PAWA | TIGO - NIVUSHE PLUS | AIRTEL - TIMIZA | baadhi ya huduma za kifedha katika mitandao ya simu Tanzania. Huduma hizi za mikopo ya kifedha kutoka kampuni za simu, Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba anasema hakuna kampuni yenye leseni ya kukopesha. Kwa…
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Msisahau ‘kuchaji’ simu zenu, au kununua power banks, nafikiri mnajua miundombinu ya nchi yetu. Watoto wenu wachukue tahadhari. Kimbunga HIDAYA kinaendelea kusogea kwenye pwani ya Tanzania. Pia msisahau kuweka mahitaji muhimu ndani, kimbunga HIDAYA kitakuwepo hadi Mei 6, 2024.

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

. TANESCO nani yupo zamu ya kuzima na kuwasha umeme? Hii ni mara ya 28 tangu saa 12 asubuhi mnazima na kuwasha. Mtaunguza vifaa vyetu bladifakeni. Hivi ni nani alisema umeme sasa umejaa teleee hadi mmezima mitambo mingine?

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Bi. Fatma Karume,

Huwezi kumkaanga John Pombe Magufuli kwa kuhusisha ushamba wake na matendo yake na nyumbani kwao (Chato) au kabila lake (msukuma) halafu ukatae Samia Suluhu Hassan asihusishwe kwa matendo yake na Uzanzibari wake. Mtu wa hivyo atakuwa mwendawazimu tu.

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Fatma, hilo naelewa, Rais wa Zanzibar hadhi yake ni sawa na hadhi ya waziri wa kawaida tu katika serikali ya Tanzania. Mtu mdogo. Kifungu cha 54 (1) cha Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 kinasema:

“Kutakuwa na baraza la mawaziri ambalo wajumbe wake watakuwa ni makamu wa rais,…

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Fatma Karume, habari yako!

Baba yako mzazi, Amani Abeid Karume, mikono yake imejaa damu za wazanzibari. Utawala wake umewaua wazanzibari na wengine ni wakimbizi hadi sasa.

Katika kampeni za uchaguzi wa 2000 hakuna waangalizi wa kimataifa walioruhusiwa kushuhudia usajili wa…

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Unaita sehemu nchi, lakini hata kombe la kusherekea uhuru wako, ukiandaa lazima ualike timu za nchi jirani ili kuleta amsha-amsha.. lasivyo utajikuta uwanjani na marefa tu… Zanzibar kupewa hadhi ya nchi hapana kwa kweli. Waitwe “wilaya ya Zanzibar”.😁

account_circle