Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profileg
Martin Maranja Masese

@IAMartin_

MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum | GGMU | CDM |

ID:126657061

linkhttps://www.instagram.com/martinmaranjamasese calendar_today26-03-2010 15:32:42

134,2K Tweet

360,6K Takipçi

1,8K Takip Edilen

Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Bei ya EWURA lita ya petroli, Nov siyo tofauti na Oktoba. Soko la Dunia, Sept, Pipa 159lt limeuzwa Sh219,175. Lita 1 soko la Dunia Sh1,399. Uagizaji ni Sh89/lita. Bandari ya DSM lita 1 inafika kwa Sh1,488. Kwanini Sengerema wauziwe 1lt kwa Sh3,069? (ongezeko la Sh1,581). UJAMBAZI

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea jumbe nyingi za wanafunzi wa vyuo vikuu wakilalamika kuhusu mabadiliko fedha za mikopo kutoka HESLB, nimewasikitikia hawa wanafunzi. Wamekubaliana na hali halafu wanataka wengine tuwapazie sauti. Wameshindwa kuita waandishi wa habari wapaze sauti au hata kuitisha mgomo?

account_circle
Fortunatus Buyobe(@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Binasfi naona kama Waziri wa Nishati akifanya kazi za wizara ya Mazingira. Aliyepaswa hasa kuandaa hili kongamano alipaswa awe waziri wa Mazingira na leo Makamba angekuwa anatafutia ufumbuzi katizo la umeme lililopo as I am writing.

Au presentation ilikuwa kwenye flash way back

account_circle
Big 007❄️(@Big0047) 's Twitter Profile Photo

Unalipwa 20k kwa Tweet au 100k kwa kupush hashtag za kiwaki haibadilishi maana ya kununuliwa, mmoja kanunuliwa bei chee mwengine bei juu, ila wote mumenunuliwa 😂

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

KIPARA unasema matumizi ya kuni ni hatari kwa afya zetu, umetafuta pesa, kuandaa makongamano umeyaita nishati safi ya kupikia, umeshindwa kupambana tupate nishati ya uhakika ya umeme, tutumie kupikia, unahangaika na michongo ya kifisadi ya clean cooking initiative. Acha ulaghai!

account_circle