John Kabambala(@KabambalaJohn) 's Twitter Profileg
John Kabambala

@KabambalaJohn

Freelancer Journalist & Children's Content Creator, Projects Media Consultancy &
Founder of TKT. UN News Kiswahili - Partner, https://t.co/YkVLsDFC0s

ID:1467209473370509320

linkhttps://www.tanzaniakidstime.org/ calendar_today04-12-2021 19:10:52

147 Tweets

68 Followers

162 Following

Climate 4 Children tz(@climate4childtz) 's Twitter Profile Photo

In light of the disproportionate impact of Climate Change on people and the planet, children are more vulnerable to climate and environmental shocks than adults for several reasons, including physical and physiological vulnerability.UNICEF Tanzania,ActionAid Tanzania UN Environment Programme in Africa

account_circle
UNICEF Tanzania(@UNICEFTanzania) 's Twitter Profile Photo

🔔Habari Njema! Kwa kushirikiana na mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, tunayofuraha kutangaza uzinduzi wa kampeni ya kupunguza mkoani .
Endelea kutufualitlia ili uwe sehemu ya harakati za kuleta mabadiliko ya kweli

🔔Habari Njema! Kwa kushirikiana na mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, tunayofuraha kutangaza uzinduzi wa kampeni ya kupunguza #udumavu mkoani #Njombe. Endelea kutufualitlia ili uwe sehemu ya harakati za kuleta mabadiliko ya kweli #KwaKilaMtoto
account_circle
UNICEF Tanzania(@UNICEFTanzania) 's Twitter Profile Photo

On this World 📖 let's commit to providing access to quality education for every child, ensuring they have the knowledge to shape their own destiny. Together, we can create a world where has access to quality learning opportunities💙
Airtel Tanzania

On this World #EducationDay 📖 let's commit to providing access to quality education for every child, ensuring they have the knowledge to shape their own destiny. Together, we can create a world where #EveryChild has access to quality learning opportunities💙 @airtel_tanzania
account_circle
John Kabambala(@KabambalaJohn) 's Twitter Profile Photo

Mwanamke shujaa, mwenye macho yenye ndoto na mikono iliyoshiba ardhi, alijulikana kwa jina la Hadija Alisido mama wa familia na mkulima wa kawaida katika kijiji chake.>>>tanzaniakidstime.org/2023/10/mwanam…, uhakika wakupata chakula

Mwanamke shujaa, mwenye macho yenye ndoto na mikono iliyoshiba ardhi, alijulikana kwa jina la Hadija Alisido mama wa familia na mkulima wa kawaida katika kijiji chake.>>>tanzaniakidstime.org/2023/10/mwanam…, uhakika wakupata chakula #Lishe #KJP
account_circle
John Kabambala(@KabambalaJohn) 's Twitter Profile Photo

Historia ya msichana huyu ilianza tangu mwaka 2011, @Camfedtanzania Nimiongoni kati ya vijana wadogo walio tunukiwa uongozi nyakati za umri mdogo kijana anaeaminiwa katika kuleta suluhisho na utulivu wa myoyo ya wana nchi, je ni nani huyu? >>tanzaniakidstime.org/2023/10/msicha…

#watotowakike Historia ya msichana huyu ilianza tangu mwaka 2011, @Camfedtanzania Nimiongoni kati ya vijana wadogo walio tunukiwa uongozi nyakati za umri mdogo kijana anaeaminiwa katika kuleta suluhisho na utulivu wa myoyo ya wana nchi, je ni nani huyu? >>tanzaniakidstime.org/2023/10/msicha…
account_circle
John Kabambala(@KabambalaJohn) 's Twitter Profile Photo

za utotoni ni suala la kijamii na afya linaloathiri wasichana duniani kote, ikiwa ni pamoja na Tanzania. Msichana Initiative, Mimba za utotoni ni suala linalosababisha wasichana kukatisha masomo yao na kuathiri maendeleo yao ya kielimu na kijamii,>>tanzaniakidstime.org/2023/10/elimu-…

#Mimba za utotoni ni suala la kijamii na afya linaloathiri wasichana duniani kote, ikiwa ni pamoja na Tanzania. @MsichanaUwezo, Mimba za utotoni ni suala linalosababisha wasichana kukatisha masomo yao na kuathiri maendeleo yao ya kielimu na kijamii,>>tanzaniakidstime.org/2023/10/elimu-…
account_circle
John Kabambala(@KabambalaJohn) 's Twitter Profile Photo

Tangu utoto wake, alikuwa na ndoto ya kuwa muuguzi na kuwasaidia watoto wadogo kuanza maisha yao vizuri. Sasa, akiwa na uzoefu wa miaka kadhaa, alikumbushwa kila siku kuhusu ndoto yake alipoona watoto wakipambana na changamoto za maisha.>>tanzaniakidstime.org/2023/10/muuguz…

#Muuguzi Tangu utoto wake, alikuwa na ndoto ya kuwa muuguzi na kuwasaidia watoto wadogo kuanza maisha yao vizuri. Sasa, akiwa na uzoefu wa miaka kadhaa, alikumbushwa kila siku kuhusu ndoto yake alipoona watoto #njiti wakipambana na changamoto za maisha.>>tanzaniakidstime.org/2023/10/muuguz…
account_circle
John Kabambala(@KabambalaJohn) 's Twitter Profile Photo

Marrystella Kagambi alipata maambukizi ya virusi vya miaka 30 iliyopita wakati alipokuwa mdogo. Wakati huo, elimu kuhusu virusi ilikuwa ndogo, na watu wengi walikuwa na hofu na unyanyapaa kuhusu wagonjwa wenye . tanzaniakidstime.org/2023/10/marrys…

Marrystella Kagambi alipata maambukizi ya virusi vya #UKIMWI miaka 30 iliyopita wakati alipokuwa mdogo. Wakati huo, elimu kuhusu virusi #HIV ilikuwa ndogo, na watu wengi walikuwa na hofu na unyanyapaa kuhusu wagonjwa wenye #VVU. tanzaniakidstime.org/2023/10/marrys…
account_circle
John Kabambala(@KabambalaJohn) 's Twitter Profile Photo

:Stadi za maisha hufundisha wanafunzi jinsi ya kutatua matatizo, kuwa wabunifu, na kuwa na uwezo wa kubadilika katika mazingira mbalimbali.>> tanzaniakidstime.org/2023/10/elimu-…, Wizara ya Elimu Tanzania, WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII

#Tanzania:Stadi za maisha hufundisha wanafunzi jinsi ya kutatua matatizo, kuwa wabunifu, na kuwa na uwezo wa kubadilika katika mazingira mbalimbali.>> tanzaniakidstime.org/2023/10/elimu-…, @wizara_elimuTz, @maendeleoyajami
account_circle
John Kabambala(@KabambalaJohn) 's Twitter Profile Photo

Tukio la mwezi Julai mwaka 1996 lililo tokea Mkoani Mtwara>> tanzaniakidstime.org/2023/09/polio-… halitasahaulika, lilikuwa la mwisho na likaiweka Tanzania kwenye nafasi ya kufunga ukrasa wa kuwa na wagonjwa wa Polio, hali hii iliifanya nchi kupeperusha bendera ya hakuna Tanzania.

Tukio la mwezi Julai mwaka 1996 lililo tokea Mkoani Mtwara>> tanzaniakidstime.org/2023/09/polio-… halitasahaulika, lilikuwa la mwisho na likaiweka Tanzania kwenye nafasi ya kufunga ukrasa wa kuwa na wagonjwa wa Polio, hali hii iliifanya nchi kupeperusha bendera ya hakuna #POLIO Tanzania.
account_circle
John Kabambala(@KabambalaJohn) 's Twitter Profile Photo

Maoni ya wataalamu kuhusu Likizo ya Uzazi kwa kina Mama wanaojifungua soma zaidi... tanzaniakidstime.org/2023/08/likizo…

Maoni ya wataalamu kuhusu Likizo ya Uzazi kwa kina Mama wanaojifungua #watotonjiti soma zaidi... tanzaniakidstime.org/2023/08/likizo…
account_circle