Kipanga (@kipanga1986) 's Twitter Profile
Kipanga

@kipanga1986

ID: 1470011542083100678

calendar_today12-12-2021 12:44:29

80,80K Tweet

5,5K Followers

1,1K Following

Nyamandenge Magufuli (@nellynyamandege) 's Twitter Profile Photo

sasa Mbowe ameombwa hesabu za Join the Chain kakimbilia mahakamani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Lissu aliomba Msigwa ajibiwe kimaandishi na chama. Chadema tupeni hesabu za Join the Chain.

sasa Mbowe ameombwa hesabu za Join the Chain kakimbilia mahakamani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Lissu aliomba Msigwa ajibiwe kimaandishi na chama. Chadema tupeni hesabu za Join the Chain.
Kipanga (@kipanga1986) 's Twitter Profile Photo

Hii Punda imekuja na makasiriko ya kifala na kutaka watu wakae kimywa ikidhani iko na akili sana, umeona wapi namba za saa zikiandikwa hivyo punda wewe, mwambie punda mwenzako alipaswa kuandika hivi 17:40 sio 1740

Mapung'o (@mapungo2020) 's Twitter Profile Photo

Tukitoka kwa magolikipa tutahamia kwa mabeki, viungo na mwisho tutabaki wenyewe na hatutaenda kokote. πŸšΆπŸšΆπŸ‘€

Tukitoka kwa magolikipa tutahamia kwa mabeki, viungo na mwisho tutabaki wenyewe na hatutaenda kokote. πŸšΆπŸšΆπŸ‘€
Adui Wa Yanga (@aduiwayanga) 's Twitter Profile Photo

πŸ“Kituo Cha Afya Kitama Mwenge wa Uhuru umezindua kituo cha Afya kata ya Kitama, Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara kilichojengwa kwa gharama ya sh. Mil. 469 kupitia mapato ya ndani ya halmashauri hiyo. #MamaAnafanikisha #TanzaniaYaSamia

πŸ“Kituo Cha Afya Kitama

Mwenge wa Uhuru umezindua kituo cha Afya kata ya Kitama, Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara kilichojengwa kwa gharama ya sh. Mil. 469 kupitia mapato ya ndani ya halmashauri hiyo.

#MamaAnafanikisha #TanzaniaYaSamia
Adui Wa Yanga (@aduiwayanga) 's Twitter Profile Photo

Samia Marathon hakika Simiyu imejipanga huku burudani huku kujiandikisha na kuboresha taarifa kwenye daftari la kudumu la mpiga kura.

KING WA DSM πŸ‘‘ (@dsm_wa) 's Twitter Profile Photo

Barabara ya Mpanda hadi Tabora yenye urefu wa KM 337.429, sehemu ya pili ni Komanga - Kasinde (Km 108), Barabara ya Kasinde - Mpanda (Km 105.389)

Barabara ya Mpanda hadi Tabora yenye urefu wa KM 337.429, sehemu ya pili ni Komanga - Kasinde (Km 108), Barabara ya Kasinde - Mpanda (Km 105.389)
Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

(✍🏻 na mwandishi wetu wa Dodoma) WAZIRI MKUU MHE. MAJALIWA ATOA MAELEKEZO UENDESHAJI MRADI WA SGR   WAZIRI MKUU MHE. Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi iendelee kulisimamia kwa karibu Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kuhakikisha huduma za treni ya SGR zinaboreshwa na

(✍🏻 na mwandishi wetu wa Dodoma)

WAZIRI MKUU MHE. MAJALIWA  ATOA MAELEKEZO UENDESHAJI MRADI WA SGR
Β
WAZIRI MKUU MHE. Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi iendelee kulisimamia kwa karibu Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kuhakikisha huduma za treni ya SGR zinaboreshwa na
KING WA DSM πŸ‘‘ (@dsm_wa) 's Twitter Profile Photo

RAIS SAMIA KIKAO KIMOJA NA WAWEKEZAJI CHINA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Wawekezaji na Viongozi wa Makampuni mbalimbali. #MguuKwaMguu2025 #MamaKazini

RAIS SAMIA KIKAO KIMOJA NA WAWEKEZAJI CHINA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Wawekezaji na Viongozi wa Makampuni mbalimbali.

#MguuKwaMguu2025
#MamaKazini
HB_CBE (@hb_cbe_2020) 's Twitter Profile Photo

Vitus Nkuna 1. Kumshtaki Peter Msigwa kwa Mambo ya kisiasa, it seems Freeman Mbowe ni dhaifu sanaaaa. Mwanzo alisema apuuzwe, now? 2. Rais Samia Suluhu angeamua kuwashtaki mngechomoka? Nanyi mnamshambulia yeye badala ya serikali CHADEMA MMECHOKA HAMNA HOJA, JIBUNI HOJA ZA Peter Msigwa

Vitus Nkuna 1. Kumshtaki Peter Msigwa kwa Mambo ya kisiasa, it seems Freeman Mbowe  ni dhaifu sanaaaa. Mwanzo alisema apuuzwe, now?
2. Rais Samia Suluhu angeamua kuwashtaki mngechomoka? Nanyi mnamshambulia yeye badala ya serikali

CHADEMA MMECHOKA HAMNA HOJA, JIBUNI HOJA ZA Peter Msigwa
𝑫𝒓.π‘―π’Šπ’π’‚π’“π’š π’˜π’‚ π’€π’‚π’π’ˆπ’‚π• (@daktariwayanga) 's Twitter Profile Photo

LISSU KUNYIMWA UFUNGUO IMEMUUMIZA SANAπŸ—žοΈπŸ—žοΈ Lissu alirudi ofisini kwa shauku, lakini akaambiwa ufunguo wake umepotea. Mbowe, akitabasamu kwa mbaali, alimwambia Lissu, "Nisamehe, inaonekana nyoka amemeza!" Lissu alikaa chini, akisononeka, huku akiwaza, "Hii sasa kali!" Lissu

LISSU KUNYIMWA UFUNGUO
IMEMUUMIZA SANAπŸ—žοΈπŸ—žοΈ

Lissu alirudi ofisini kwa shauku, lakini akaambiwa ufunguo wake umepotea. Mbowe, akitabasamu kwa mbaali, alimwambia Lissu, "Nisamehe, inaonekana nyoka amemeza!" Lissu alikaa chini, akisononeka, huku akiwaza, "Hii sasa kali!"
Lissu