Radio Citizen
@RadioCitizenFM
The Home of Kenya's most Popular Radio Personalities, Reliable News/Information and wholesome Entertainment. #RadioNumberOne #ChemChemiYaUkweli
ID:632859279
https://linktr.ee/radiocitizenfm 11-07-2012 10:24:46
619,2K Tweet
619,4K Takipçi
357 Takip Edilen
Follow People
#NP Nibusu yake Barnaba Classic ndani ya #MamboMseto ukiwa na Mzazi Willy M. Tuva na DJ Flash Kenya
#MamboMseto
#RadioNumberOne
Karibu ndani ya #MamboMseto fresh Furahidei na leo hii tunapiga hits zote zinazotesa anga huku tukiangazia maswala yote yaliyo tukia katika ulingo wa sanaa. Je, unatupata ukiwa wapi?
Mzazi Willy M. Tuva DJ Flash Kenya weezdom
#MamboMseto
#RadioNumberOne
Mgeni wetu leo hii ndani ya #MamboMseto ni Dan Mogore Msani wa nyimbo za injili. Tune in live kwa Show upate kumjua Msani wetu wa leo #MamboMseto
Grace Mwaura ndio pilot wa this week 👩🏾✈️
Alijiamini, akapandisha ndege to THE HIGHEST MULTIPLIER na sasa Ksh.210,000 iko kwa account yake 🤑
Cheza Aviator saa hii on bit.ly/49IOK32 na ujiomoshe pia wewe 💸💸
#ShabikiAviator
#JiomosheNaShabiki
#ShabikiItakusort
Kwenye #WaksTikiTaka leo tunapiga story na Badscar. Uko ndakas? Unakemba show ukiwa wapi?
#WaksTikiTaka / Ann Q-tee Benson K Dj Ronixx The Don
#RadioNumberOne
Sifaeli azungumzia alivyokutana na aliyekuwa Rais Wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli
#JamboKenya
Sifaeli Mwabuka asimulia jinsi wimbo wake 'Nivushe' ulivyombariki na kumponya mwanamke aliyekuwa amelazwa hospitalini.
#JamboKenya
Rais Ruto alikutana na aliyekuwa Rais wa Marekani, Barack Obama, Blair House, Washington katika ziara yake Marekani.
#JamboKenya
Friday ya Burudani! Tunapiga story na Sifaeli Mwabuka. Tayari?
#JamboKenya / MelodySinzore1 Vincent Ateya
Uchambuzi wa Magazeti
> Mwili wa Cheruiyot Kirui wapatikana mlima Everest
> Manufaa ya bima mpya kwa wanawake wajawazito
#JamboKenya / MelodySinzore1 Vincent Ateya
Kapu la ahadi kutoka kwa serikali ya Marekani kwa taifa la Kenya.
#JamboKenya / MelodySinzore1 Vincent Ateya