TimesMajira(@TimesMajira) 's Twitter Profileg
TimesMajira

@TimesMajira

Ukurasa Rasmi wa Gazeti la Majira

ID:1040563204739485696

calendar_today14-09-2018 11:29:35

13,8K Tweets

746 Followers

280 Following

Follow People
TimesMajira(@TimesMajira) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mkuu TCAA Bw. Hamza Johari akiwa na watoto wanaoandaliwa kuwa wanaanga wa baadae alipotembelea Makumbusho ya Anga mjini Beijing anakohudhuria Kongamano la Ushirikiano wa Afrika na China katika mambo ya Anga mjini Beijing.

Mkurugenzi Mkuu TCAA Bw. Hamza Johari akiwa na watoto wanaoandaliwa kuwa wanaanga wa baadae alipotembelea Makumbusho ya Anga mjini Beijing anakohudhuria Kongamano la Ushirikiano wa Afrika na China katika mambo ya Anga mjini Beijing. #TimesMajiraUpdates
account_circle