(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profileg
(---) Onesmo Mushi

@EduTalkTz

EDUCATION | Social Justice | #SDGs 4 & 8 | Decolonizing | The People

ID:1388257473036005378

calendar_today30-04-2021 22:22:48

34,7K Tweets

20,7K Followers

1,0K Following

Follow People
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA; Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam bado linaendelea kuwashikilia Boniface Jacob na Godlisten Malisa. Wanatuhumiwa kwa makosa ya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii.

Polisi wameondoka na Godlisten Malisa kwenda naye Moshi, Kilimanjaro usiku huu ili

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA; Polisi waliokwenda na Boniface Jacob katika makazi yake ya Msakuzi-Mbezi wamefika nyumbani hapo saa 22:20 usiku huu. Wanaendelea na upekuzi kutafuta vifaa vya uchochezi na taharuki. Godlisten Malisa hatujapata taarifa zake za sasa, tukizipata tutawajulisha kwa haraka.

account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Hali ilivyo baada ya lisaa kwa kwanza la kupiga kura, bado tuna masaa 23 ya kukamilisha poll⬇️

x.com/edutalktz/stat…

Hali ilivyo baada ya lisaa kwa kwanza la kupiga kura, bado tuna masaa 23 ya kukamilisha poll⬇️ x.com/edutalktz/stat…
account_circle
Tito Magoti, PG(@TitoMagoti) 's Twitter Profile Photo

Nimefahamishwa na Wakili Mwasipu:

Polisi wanakwenda kupekua nyumbani kwa Boniface Jacob na Kilimanjaro kwa MalisaGJ.

Kwamba hawatapewa dhamana hadi simu zao zipatikane.

Wanashikiliwa Central DSM kwa 'kosa' la uchochezi na taharuki.

Hawa ndio polisi wetu. Lakini tutashinda.

account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Wengine nao watashangaa atakapochaguliwa Mkapa na kusema “ina maana watanzania hawaelewi umuhimu wa sera za Mwinyi katika kubadilisha uchumi wa Tz na wanaona Mkapa ndio Hero?”😎

account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Maneno yako hayana tabu, nazungumzia pale kila mmoja wetu anapoyatafakari kisha kujiuliza kulikoni? Kwa nini mambo yanaonekana kuwa rahisi hivi lakini bado watu wanaishi kwenye umaskini mkubwa hivi?

account_circle
DEUSDEDITH SOKA(@DEUSDEDITHSOKA) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wamepiga kura na kumpa Magufur 59% sasa Chawa wameleta upambe Sababu Samia kapata 17%
Then The Citizen wanaomba radhi kwa kura za Wananchi.
Demokrasia Iko wapi ? Itakuaje kwenye uchaguz mkuu kama vitu vidogo tu! Mnashindwa kujishikilia ?

Wananchi wamepiga kura na kumpa Magufur 59% sasa Chawa wameleta upambe Sababu Samia kapata 17% Then The Citizen wanaomba radhi kwa kura za Wananchi. Demokrasia Iko wapi ? Itakuaje kwenye uchaguz mkuu kama vitu vidogo tu! Mnashindwa kujishikilia ?
account_circle
Boniface Mwabukusi(@Mwabuk2Boniface) 's Twitter Profile Photo

Kesho nitakuwa Manyara kumwaga upendo wa Kitanganyika.Kama Zanzibar ni Nchi na Inamipaka jiulize je Tanganyika ni Nini?.Dai Katiba Mpya,Tume Huru na Haki ya Wazawa kuishi katika Maeneo yao ya Asili. Kikokotoo ni Ujambazi wa kutumia Madaraka unaokomeshwa na Katiba mpya.

Kesho nitakuwa Manyara kumwaga upendo wa Kitanganyika.Kama Zanzibar ni Nchi na Inamipaka jiulize je Tanganyika ni Nini?.Dai Katiba Mpya,Tume Huru na Haki ya Wazawa kuishi katika Maeneo yao ya Asili. Kikokotoo ni Ujambazi wa kutumia Madaraka unaokomeshwa na Katiba mpya.
account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Ukisoma maelezo kama haya unaweza kufikiri watanzania milioni 30 wanaoishi chini ya mstari wa Dunia wa umaskini ni wapumbavu wasiojitambua. 😎

account_circle
Sammy Awami(@awamisammy) 's Twitter Profile Photo

😂🤣😂

Daktari, sina shaka kwamba nia yako ni njema katika kutoa ushauri huu, Ila hii hesabu uliyoweka hapa is pretty flawed!

- Ina assume kwamba huyu ana shamba, la ukubwa wa kutosha, lenye rutuba ya kutosha kuotosha vitu vyote hivyo

- Ina assume kwamba shamba lipo eneo lenye

account_circle