John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile
John Pambalu

@john_pambalu

BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.

ID: 980521402678874113

linkhttps://twitter.com/Dream_Agritech?s=09 calendar_today01-04-2018 19:04:54

24,24K Tweet

290,290K Followers

1,1K Following

MandelaWshFellowship (@washfellowship) 's Twitter Profile Photo

Congratulations to #YALI2023 #MandelaFellow Terese Akpem being named a Top Agri-Found Pioneer! Terese founded Vet Konect LTD, advancing veterinary services and animal health in Nigeria. Learn more about his work here: buff.ly/3B9dV1R Educational & Cultural Affairs—U.S. Dept. of State YALI Network @usinnigeria

Mdude Chadema (@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu ni kweli kwamba unaandaa propaganda kwamba CHADEMA ndio wanaohusika na utekaji? Kwamba mmewalipa mpaka influencers kutoka Kenya ili wafanye kazi hiyo? Kwa hiyo CHADEMA wanamiliki bunduki za vita na pingu? Hivi Samia anashauriwa na akina nani vilaza namna hii?

Rais <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> ni kweli kwamba unaandaa propaganda kwamba CHADEMA ndio wanaohusika na utekaji? Kwamba mmewalipa mpaka influencers kutoka Kenya ili wafanye kazi hiyo? Kwa hiyo CHADEMA wanamiliki bunduki za vita na pingu? Hivi Samia anashauriwa na akina nani vilaza namna hii?
Mdude Chadema (@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Huyu sio CHADEMA wala mwanaharakati lakini ametekwa na kuuawa huko Arusha. Polisi wanakana kuhusika lakini pikipiki ya marehemu imekutwa polisi Arusha na polisi wameshindwa kutoa maelezo yaliyonyoka. Maandamano ya CHADEMA tarehe 23/09/2024 yawe ya maamuzi magumu kuelekea ikulu.

Huyu sio CHADEMA wala mwanaharakati lakini ametekwa na kuuawa huko Arusha. Polisi wanakana kuhusika lakini pikipiki ya marehemu imekutwa polisi Arusha na polisi wameshindwa kutoa maelezo yaliyonyoka. Maandamano ya CHADEMA tarehe 23/09/2024 yawe ya maamuzi magumu kuelekea ikulu.
John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

"Polisi wanaye soka ndio maana hawajahangaika kumtafuta yeye na wenzake aliyempigia soka simu kuwa aendee kuchukua pikipiki yake chang'ombe polisi iliyokuwa imepotea. Polisi wanajua kila kitu” Naibu katibu mkuu wa CHADEMA bara Mhe. Benson Kigaila

Vitus Nkuna (@vitusnkuna) 's Twitter Profile Photo

Baada ya Kijana mwenzetu SATIVA17 kutekwa Bavicha tuliwataka Waziri Masauni, IGP, Mkuu kito cha Oysterbay wajiuzulu, Rais akatujibu ni DRAMA matokeo yake Mzee Ally Kombo ameuawa ; John Pambalu M/Kiti wa BAVICHA Taifa.

Shekh Ponda Issa Ponda (@sheikhponda) 's Twitter Profile Photo

UTEKAJI: Jana nimetumiwa taarifa ya kutekwa Mwalimu wa Madrsa Saad Shaaban Mnubi. Yeye alitekwa TRH 2/2/2023, saa 6 usiku nyumbani kwake Nyamanoro Mwanza. Watekaji walijitambulisha ni Usalama. Hili ni Janga lililoenea nchi nzima, tuungane kukemea na kushinikiza uchunguzi wa UN.

UTEKAJI: Jana nimetumiwa taarifa ya kutekwa Mwalimu wa Madrsa Saad Shaaban Mnubi. 
Yeye alitekwa TRH 2/2/2023, saa 6 usiku nyumbani kwake Nyamanoro Mwanza. Watekaji walijitambulisha ni Usalama. Hili ni Janga lililoenea nchi nzima, tuungane kukemea na kushinikiza uchunguzi wa UN.
(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Ilikuwaje tukaruhusu polisi wawe na power ya kuondoa uhai wa raia kirahisi rahisi hivi? Yani options za dispersion kama teargas, pepper spray, rubber bullets, au hata kupiga risasi miguuni kwa lengo la kujeruhi huwa hazipo mpaka unaamua kushoot watu vifuani, vijana watoto wadogo

MNYIKA John John (@jjmnyika) 's Twitter Profile Photo

Mwananchi Newspapers nimesoma kwenye habari yenu kuwa mmenipigia sikupokea. Fahamuni tu kuwa wakati mnapiga nilikuwa naendesha mafunzo ya Viongozi wa Chadema Kanda ya Magharibi CHADEMA Kanda Magharibi Mkoani Tabora. Ingekuwa vyema kwa jitihada zenu hizo hizo mkawauliza Police Force TZ kwanini hawajatoa

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Tamko la wanasiasa linajibiwa na jeshi. Kwamba Mhe. Samia Suluhu hana uwezo wa kujibu hoja za Mwenyekiti mwenzake wa chaka cha siasa isipokuwa kuagiza jeshi la polisi (Serious desperate situation). Mtuhumiwa anataka kutisha wanaopiga mwano akanatwe. #SamiaMusGo

Tamko la wanasiasa linajibiwa na jeshi. Kwamba Mhe. <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> hana uwezo wa kujibu hoja za Mwenyekiti mwenzake wa chaka cha siasa isipokuwa kuagiza jeshi la polisi (Serious desperate situation). Mtuhumiwa anataka kutisha wanaopiga mwano akanatwe.

#SamiaMusGo
John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

"Chadema wanataka kuwatoa kwenye reli ya uchunguzi". Uchunguzi upi wakati nyinyi ndiyo watuhumiwa namba moja?. Acheni kutusanifu, yote kwa yote maandamano yanayoingiliwa kwa hila na polisi ndiyo hutoa matokeo mazuri. Njooni tuandamane sote. #Samia_Must_Go

"Chadema wanataka kuwatoa kwenye reli  ya uchunguzi". Uchunguzi upi wakati nyinyi ndiyo watuhumiwa namba moja?. Acheni kutusanifu, yote kwa yote maandamano yanayoingiliwa kwa hila na polisi ndiyo hutoa matokeo mazuri. Njooni tuandamane sote.

#Samia_Must_Go
John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Ninamsikiliza Katibu mkuu wa CCM Emmanuel Nchimbi akizungumza. Ukimsikiliźa Nchimbi, Polisi, Masauni na Musiba. Unagunda Dola na CCM wameamua kufanya Confusion na Deception. Kwa kauli hii inanipa mashaka kama wakina soka watapatikana kabala ya tarehe 21.09.2024. #Samia_Must_Go

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO SAMIA MUST GO