Queen Melanin 🀎✨ (@queen_melanin88) 's Twitter Profile
Queen Melanin 🀎✨

@queen_melanin88

PLAY FOR GODπŸ™|| I’ve always been a very humble & blessed girl, God NEVER played about meπŸ’•πŸ‘ΈπŸ½ || Melanin ||

ID: 1532689946103906304

calendar_today03-06-2022 11:45:58

52,52K Tweet

13,13K Followers

4,4K Following

Queen Melanin 🀎✨ (@queen_melanin88) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Mtyangimbole, Madaba mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024. #ZiaraYaMamaRuvuma #MamaYukoKazini

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Mtyangimbole, Madaba mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.
#ZiaraYaMamaRuvuma 
#MamaYukoKazini
Queen Melanin 🀎✨ (@queen_melanin88) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua moja ya Madarasa ya Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu, mara baada ya ufunguzi mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024. #TanzaniaYaSamia #MamaAnafanikisha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua moja ya Madarasa ya Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu, mara baada ya ufunguzi mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024. 
#TanzaniaYaSamia #MamaAnafanikisha
🦁𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 𝐎 β„’ (@charliebihemo) 's Twitter Profile Photo

Karibun Sana suit_mseleleko Tuna Mzigo wa Moto Suit Quality, Kitambaa Safi Utajipatia Mzigo huu kwa 170,000/= Koti na Suruali πŸ“Msimbazi kariakoo , Mtaa wa Mchikichi na Manyema (Nyuma ya jengo la club ya simba) Tupigie πŸ“ž 0762617089 Karibuni Sana Tunafanya Delivery popote

Karibun Sana <a href="/suitmseleleko/">suit_mseleleko</a> 
Tuna Mzigo wa Moto Suit Quality, Kitambaa Safi 

Utajipatia Mzigo huu kwa 170,000/= Koti na Suruali 

πŸ“Msimbazi kariakoo , Mtaa wa Mchikichi na Manyema (Nyuma ya jengo la club ya simba)

Tupigie πŸ“ž 0762617089 
Karibuni Sana

Tunafanya Delivery popote
#NIPENI_MAUA_YANGUπŸ’ (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Habari!! Nakuja tena kwenu. Asanteni sana kwa muitikio wenu mkubwa kuhusu wazo langu la jana la kufanya #Fundraising kwa Msanii Nay wa Mitego. #Naythetrueboy Naomba tumchangie chochote kile iwe kama ishara ya kum-support, kumfuta jasho, na zaidi kumtia moyo kwa kazi kubwa

Habari!! Nakuja tena kwenu.

Asanteni sana kwa muitikio wenu mkubwa kuhusu wazo langu la jana la kufanya #Fundraising kwa Msanii  Nay wa Mitego.  
<a href="/naythetrueboy/">#Naythetrueboy</a> 

Naomba tumchangie chochote kile iwe kama ishara ya kum-support, kumfuta jasho, na zaidi kumtia moyo kwa kazi kubwa
Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

#ZiaraYaMamaRuvuma Rais Samia Suluhu ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa maghala 28 ya kuhifadhi nafaka katika eneo la ghala la Luhimba mkoani Ruvuma. Maghala hayo yanayojengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 14.7 yakikamilika yatakuwa na uwezo wa kuhifadhi tani 28,000.

#ZiaraYaMamaRuvuma 

Rais Samia Suluhu ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa maghala 28 ya kuhifadhi nafaka katika eneo la ghala la Luhimba mkoani Ruvuma.

Maghala hayo yanayojengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 14.7 yakikamilika yatakuwa na uwezo wa kuhifadhi tani 28,000.
Tanzania Ya Samia (@tanzaniayamama) 's Twitter Profile Photo

🌁 Madaraja 62 nchini yamejengwa kwa kutumia mawe kwa gharama ya Tsh bilioni 10. Hatua hii imewezesha Serikali kuokoa zaidi ya Tsh Bilioni 21.6. Ubora kwa gharama nafuu zaidi. #TanzaniaYaSamia

🌁 Madaraja 62 nchini yamejengwa kwa kutumia mawe kwa gharama ya Tsh bilioni 10.

Hatua hii imewezesha Serikali kuokoa zaidi ya Tsh Bilioni 21.6.

Ubora kwa gharama nafuu zaidi.

#TanzaniaYaSamia
Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

#ZiaraYaMamaRuvuma Serikali ya awamu ya sita inahakikisha Tanzania inabaki salama, ina utulivu wa kisiasa na wananchi wanaishi kwa amani. #MamaAnafanikisha

Tanzania Ya Samia (@tanzaniayamama) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Rais Samia Suluhu amezindua Jengo la Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Mbinga Mkoani Ruvuma. Sasa huduma zinapatikana sehemu moja karibu zaidi na wananchi. #TanzaniaYaSamia #ZiaraYaMamaRuvuma

Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

#ZiaraYaMamaRuvuma Rais Samia Suluhu amezindua rasmi Jengo la Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma. Uwepo wa jengo hilo unatimiza azma ya serikali ya kuboresha mazingira ya kufanya kazi kwa watumishi na kuongeza ufanisi katika

#ZiaraYaMamaRuvuma 

Rais Samia Suluhu amezindua rasmi Jengo la Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma.

Uwepo wa jengo hilo unatimiza azma ya serikali ya kuboresha mazingira ya kufanya kazi kwa watumishi na kuongeza ufanisi katika
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

πŒπ€π’π‹π€π‡πˆ π˜π€ π–π€ππ€ππ‚π‡πˆ πŠπ–π€ππ™π€. #MamaYukoKazini #ZiaraYaMamaRuvuma

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

π”π’π€π‹π€πŒπ€ 𝐖𝐀 π‚π‡π€πŠπ”π‹π€ 𝐍𝐈 𝐔𝐇𝐔𝐑𝐔. #MamaYukoKazini #ZiaraYaMamaRuvuma

MR BEN (@eric__bernard) 's Twitter Profile Photo

Muonekano wa Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga lililozinduliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Jengo hilo limegharimu jumla ya shilingi Bili. 3.2 likiwa na jumla ya vyumba vya Ofisi 72 na kumbi 2 za Mikutano. OFISI YA RAIS TAMISEMI

Muonekano wa Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga  lililozinduliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Jengo hilo limegharimu jumla ya shilingi Bili. 3.2 likiwa na jumla ya vyumba vya Ofisi 72 na kumbi 2 za Mikutano. <a href="/ortamisemitz/">OFISI YA RAIS TAMISEMI</a>
Queen Melanin 🀎✨ (@queen_melanin88) 's Twitter Profile Photo

RAIS AZINDUA JENGO LA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBINGA RUVUMA. Mhe Rais Dkt,Samia Suluhu leo Sept 25,2024 amezindua Jengo la Gorofa Moja la Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Ruvuma lililogharimu Shilingi Bilioni 3.55 #MamaYukoKazini

RAIS AZINDUA JENGO LA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBINGA RUVUMA.

 Mhe Rais Dkt,Samia Suluhu leo Sept 25,2024 amezindua Jengo la Gorofa Moja la Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Ruvuma lililogharimu Shilingi Bilioni 3.55
#MamaYukoKazini
Queen Melanin 🀎✨ (@queen_melanin88) 's Twitter Profile Photo

Maelfu ya Wananchi wa Kata ya Nyoni Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma waliosimama Barabarani kumlaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan wakati wa Ziara yake Mkoani humo leo Septemba 25,2024. #TanzaniaYaSamia #ZiaraYaMamaRuvuma

Maelfu ya Wananchi wa Kata ya Nyoni Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma waliosimama Barabarani kumlaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan wakati wa Ziara yake Mkoani humo leo Septemba 25,2024. 

#TanzaniaYaSamia #ZiaraYaMamaRuvuma