Sokoine University of Agriculture (SUA) (@sokoineu) 's Twitter Profile
Sokoine University of Agriculture (SUA)

@sokoineu

A leading university in the provision of quality #knowledge and #skills in #Agriculture, #Veterinary, #Forestry, #Food, #Wildlife, #Animal Sciences and more

ID: 1388879300

linkhttps://www.sua.ac.tz calendar_today29-04-2013 07:14:14

1,1K Tweet

12,12K Followers

130 Following

Sokoine University of Agriculture (SUA) (@sokoineu) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya Wakurugenzi, Wakuu wa Idara na Vitengo vya Chuo Kikuu cha Sokoine wakichangia mada mbalimbali wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko yanayoendelea Ukumbi wa ICE 27-28, 2024.

Watumishi wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wakiwa katika siku ya pili ya mafunzo ya kujengewa uwezo wa namna ya kuboresha utendaji kazi katika masuala ya mitandao ya kijamii, maadili katika utumishi wa umma na maudhui ya utangazaji yanayofanyika Ukumbi wa ICE, 28.08.2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma kwa mwaka 2024, leo Agosti 28, 2024 katika Kituo cha Mikutano cha Kimaitaifa cha Arusha (AICC), jijini Arusha. #ArdhiniHazina

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma kwa mwaka 2024, leo Agosti 28, 2024 katika Kituo cha Mikutano cha Kimaitaifa cha Arusha (AICC), jijini Arusha.
#ArdhiniHazina
Sokoine University of Agriculture (SUA) (@sokoineu) 's Twitter Profile Photo

Watafiti SUA wabaini Bioanuai 3935 kwenye hifadhi tatu za misitu ya asili iliyopo kwenye safu za milima ya tao la Mashariki instagram.com/p/C_Q77TStzvm/…

Watafiti SUA wabaini Bioanuai 3935 kwenye hifadhi tatu za misitu ya asili iliyopo kwenye safu za milima ya tao la Mashariki 

instagram.com/p/C_Q77TStzvm/…
Sokoine University of Agriculture (SUA) (@sokoineu) 's Twitter Profile Photo

After the Postgraduate Studies (PGS) Coordination meeting, we had a photo session that was graced by Prof. J. Kashaigili, the Director of Postgraduate Studies, Research, Technology Transfer, and Consultancy (DPRTC) πŸ“ΈπŸ˜Ž

Wanafunzi takribani 260 wa Shule ya Sekondari Beroya (Bagamoyo) wametembela Kituo Atamizi katika Ndaki ya Uchumi na Stadi za Biashara kujifunza namna ambavyo kilimo biashara kinafundishwa na kufanyika kwa vitendo Septemba 05, 2024.

Mabadiliko ya mitaala yanayoendelea kufanyika SUA yameelezwa kuwa yatakuwa na tija kwa wanafunzi hasa katika kumuandaa mwanafunzi kujitegemea kupitia elimu ya vitendo ambayo itamfanya kuwa na uwezo wa kujiajiri na kuajirika. instagram.com/p/C_ufLdGtRzi/…

Mabadiliko ya mitaala yanayoendelea kufanyika SUA yameelezwa kuwa yatakuwa na tija kwa wanafunzi hasa katika kumuandaa mwanafunzi kujitegemea kupitia elimu ya vitendo ambayo itamfanya kuwa na uwezo wa kujiajiri na kuajirika.

instagram.com/p/C_ufLdGtRzi/…
Sokoine University of Agriculture (SUA) (@sokoineu) 's Twitter Profile Photo

SUA has acquired a well drilling rig. This initiative, facilitated by the Higher Education for Economic Transformation (HEET) project, aims not only to tackle water shortages but also to provide practical training for students pursuing degrees related to irrigation engineering.

Matukio katika picha kabla ya kupokea mtambo wa kuchimbia visima uliofanyika Kampasi ya Edward Moringe, na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Mipango, Fedha na Utawala Prof. Amandus Muhairwa kwa ufadhili wa Mradi wa (HEET). #ArdhiniHazina

Matukio katika picha kabla ya kupokea mtambo wa kuchimbia visima uliofanyika Kampasi ya Edward Moringe, na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Mipango, Fedha na Utawala Prof. Amandus Muhairwa kwa ufadhili wa Mradi wa (HEET).

#ArdhiniHazina