Dr. Sisimizi (@sisimizi3) 's Twitter Profile
Dr. Sisimizi

@sisimizi3

Sisimizi Mtu Mbadi / Shabiki wa Arsenal / Yanga

ID: 1298551993527668737

calendar_today26-08-2020 09:25:12

56,56K Tweet

13,13K Followers

2,2K Following

KING WA DSM 👑 (@dsm_wa) 's Twitter Profile Photo

RAIS SAMIA KUTIMIZA NDOTO ZA WATOTO WA KIKE KATAVI Wanafunzi wa kike shule ya Katavi sekondari iliyopo wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi wametoa shukrani zao za dhati kwa Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuwajengea shule maalum ya wasichana na kuwapatia walimu bora

Kipanga (@kipanga1986) 's Twitter Profile Photo

Watu wengi wanamchukua TID poa ila huyu mwamba alikua mwamba kweli kweli, watoto wa 2,000 hawaoni ndani hapo🙂🙂 TID ft WYRE

NGUCHIRO🇹🇿 (@nguchiro47) 's Twitter Profile Photo

INA UKUBWA WA KILOMETA ZA MRABA 325 HIVI, HIFADHI HIYO IKO KATIKA MKOA WA ARUSHA NA MKOA WA MANYARA, JINA LA HIFADHI HII LIMETOKANA NA MMEA WA MNYAA AMBAO KATIKA LUGHA YA KIMASAI HUJULIKANA KAMA ELMANYARAI NA SEHEMU KUBWA YA HIFADHI HII NI ZIWA MANYARA

Dr. Sisimizi (@sisimizi3) 's Twitter Profile Photo

Watu wanaojitokeza kwenye mikutano ya Rais Samia ni wengi mpaka wanamwagika. Hawa ni wananchi wa Kijiji cha iyonga wilayani mlele Katavi

Watu wanaojitokeza kwenye mikutano ya Rais Samia ni wengi mpaka wanamwagika.

Hawa ni wananchi wa Kijiji cha iyonga wilayani mlele Katavi
NGUCHIRO🇹🇿 (@nguchiro47) 's Twitter Profile Photo

50.MTO NADARE 51.MTO NAITIMITIM 52.MTO NAYABAT 53.MTO NGAMURIAGI 54.MTO OLOIBOR SENYE 55.MTO OLTUKAI 56.MTO PANGANI 57.MTO ROBUNK 58.MTO SELIKOD 60.MTO SETCHET 61.MTO SIDIOGI 62.MTO SIU 63.MTO SIVOLA 64.MTO SOKOTA 65.MTO TANGERI 66.MTO UFANA 67.MTO YAEDA

50.MTO NADARE
51.MTO NAITIMITIM
52.MTO NAYABAT
53.MTO NGAMURIAGI
54.MTO OLOIBOR SENYE
55.MTO OLTUKAI
56.MTO PANGANI
57.MTO ROBUNK
58.MTO SELIKOD
60.MTO SETCHET
61.MTO SIDIOGI
62.MTO SIU
63.MTO SIVOLA
64.MTO SOKOTA
65.MTO TANGERI
66.MTO UFANA
67.MTO YAEDA
Paschal sam (@paschalsam1) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye kilele cha wiki ya Wazazi CCM Kitaifa viwanja vya Azimio Mpanda, Katavi leo Julai 13,2024. #MamaYukoKazini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye kilele cha wiki ya Wazazi CCM Kitaifa viwanja vya Azimio Mpanda, Katavi leo Julai 13,2024.

#MamaYukoKazini
Kipanga (@kipanga1986) 's Twitter Profile Photo

Halafu kuna watu wa kikundi flani wanajidanganya sana na kusema eti kiongozi wao anaweza simama na mama Samia kwenye uchaguzi 2025, tena wakiwa na imani ya dhati kwamba kiongozi wa kikundi chao anaweza shinda uchaguzi, nyie watu kikundi chenu bado mnoo🙂🙂

Nicholaus Ngassa (@ngassanicholaus) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa Ameongoza Kikao cha Kamati ya Mashindano ya NGASSA CUP 2024 Kilichofanyika Leo tarehe 13 Julai, 2024 kwenye ukumbi wa Mikutano wa Chama cha Mapinduzi (CCM).

Gift Kimaro (@giftkimaro7) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye kilele cha wiki ya Wazazi CCM Kitaifa viwanja vya Azimio Mpanda, Katavi leo Julai 13,2024. #MamaYukoKazini #TanzaniaYaSamia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye kilele cha wiki ya Wazazi CCM Kitaifa viwanja vya Azimio Mpanda, Katavi leo Julai 13,2024.

#MamaYukoKazini 
#TanzaniaYaSamia
Paschal sam (@paschalsam1) 's Twitter Profile Photo

Mwonekano wa juu wa barabara ya Malagarasi - Ilunde - Uvinza (km 51.1) inayojengwa kwa kiwango cha lami ambao utekelezaji wake umefikia 54%, mkoani Kigoma. #MamaAnafanikisha #TanzaniaYaSamia

Mwonekano wa juu wa barabara ya Malagarasi - Ilunde - Uvinza (km 51.1) inayojengwa kwa kiwango cha lami ambao utekelezaji wake umefikia 54%, mkoani Kigoma.

#MamaAnafanikisha
#TanzaniaYaSamia
Kipanga (@kipanga1986) 's Twitter Profile Photo

"Tuwe na makini sana na busara tunazoziamini tunazo busara ya jana yaweza kua ujinga leo, sikila lile uliloliona la akili juzi na jana laweza kufaa na leo" Muwe na usiku mwema🙏🙏

"Tuwe na makini sana na busara tunazoziamini tunazo busara ya jana yaweza kua ujinga leo, sikila lile uliloliona  la akili juzi na jana laweza kufaa na leo"

Muwe na usiku mwema🙏🙏