Dr. Sisimizi(@Sisimizi3) 's Twitter Profileg
Dr. Sisimizi

@Sisimizi3

Sisimizi Mtu Mbadi / Shabiki wa Arsenal / Yanga

ID:1298551993527668737

calendar_today26-08-2020 09:25:12

52,1K Tweets

12,3K Followers

2,9K Following

Follow People
Kipanga(@Kipanga1986) 's Twitter Profile Photo

Mwaka jana CDM walipata ruzuku ya 2.7Bill, kumbukeni ni mwaka jana leo anakuja Maria Sarungi Tsehai na kuwataka watu wamchangie LISSU pesa ya kununulia gari, nynyi kaeni mdhani kwamba Maria anaweza fanya kazi ya bure, halafu CDM tuwaulize hamna chanzo cha mapato? michango kila siku

Mwaka jana CDM walipata ruzuku ya 2.7Bill, kumbukeni ni mwaka jana leo anakuja @MariaSTsehai na kuwataka watu wamchangie LISSU pesa ya kununulia gari, nynyi kaeni mdhani kwamba Maria anaweza fanya kazi ya bure, halafu CDM tuwaulize hamna chanzo cha mapato? michango kila siku
account_circle
Dr. Sisimizi(@Sisimizi3) 's Twitter Profile Photo

๐๐€๐–๐€๐‰๐”๐™๐€ : Mwenyekiti Freeman Mbowe alisusia kikao cha Kamati Kuu kwa dk 45 hadi LISSU atapoomba RADHI kwa kutuhumu rushwa, Lissu aliomba RADHI kwa sharti Watanzania wasiambiwe kuwa ameomba RADHI.

Ndiyo maana hadi leo hawajatoa taarifa ya kikao cha KAMATI KUU.

๐๐€๐–๐€๐‰๐”๐™๐€ : Mwenyekiti @freemanmbowetz alisusia kikao cha Kamati Kuu kwa dk 45 hadi LISSU atapoomba RADHI kwa kutuhumu rushwa, Lissu aliomba RADHI kwa sharti Watanzania wasiambiwe kuwa ameomba RADHI. Ndiyo maana hadi leo hawajatoa taarifa ya kikao cha KAMATI KUU.
account_circle
Dr. Sisimizi(@Sisimizi3) 's Twitter Profile Photo

๐”๐ฌ๐ฎ๐ฅ๐ฎ๐ก๐ข๐ฌ๐ก๐ข: ๐“๐ฎ๐ง๐๐ฎ ๐‹๐ข๐ฌ๐ฌ๐ฎ ๐š๐ฆ๐ญ๐จ๐š ๐Œ๐›๐จ๐ฐ๐ž ๐ฆ๐š๐œ๐ก๐จ๐ณ๐ข ๐ค๐ข๐ค๐š๐จ๐ง๐ข, ๐ง๐ ๐จ๐ฆ๐š ๐›๐š๐๐จ ๐ง๐ณ๐ข๐ญ๐จ ๐œ๐ก๐š๐๐ž๐ฆ๐š

Na Dr. SISIMIZI

Hatimaye Tundu Lissu na Freeman Mbowe wakubali yaishe na hivi karibuni watatoka nje kuja kuongea na wananchi kufuta

๐”๐ฌ๐ฎ๐ฅ๐ฎ๐ก๐ข๐ฌ๐ก๐ข: ๐“๐ฎ๐ง๐๐ฎ ๐‹๐ข๐ฌ๐ฌ๐ฎ ๐š๐ฆ๐ญ๐จ๐š ๐Œ๐›๐จ๐ฐ๐ž ๐ฆ๐š๐œ๐ก๐จ๐ณ๐ข ๐ค๐ข๐ค๐š๐จ๐ง๐ข, ๐ง๐ ๐จ๐ฆ๐š ๐›๐š๐๐จ ๐ง๐ณ๐ข๐ญ๐จ ๐œ๐ก๐š๐๐ž๐ฆ๐š Na Dr. SISIMIZI Hatimaye Tundu Lissu na Freeman Mbowe wakubali yaishe na hivi karibuni watatoka nje kuja kuongea na wananchi kufuta
account_circle
Dr. Sisimizi(@Sisimizi3) 's Twitter Profile Photo

Haka kadada kanaitwa JESSICA MSHAMA ni mtoto wa ASSUMPTA MSHAMA (RC wa zamani), ameitaka MEDIA imuombe radhi kwa imetumia picha yake na kumuita JESSICA MAGUFULI bila hivyo ATAISHTAKI.

Nimejiuliza JPM angekuwepo angekataa kufananishwa na Jessica

Vijana tusirithi ADUI, TUPENDANE

Haka kadada kanaitwa JESSICA MSHAMA ni mtoto wa ASSUMPTA MSHAMA (RC wa zamani), ameitaka MEDIA imuombe radhi kwa imetumia picha yake na kumuita JESSICA MAGUFULI bila hivyo ATAISHTAKI. Nimejiuliza JPM angekuwepo angekataa kufananishwa na Jessica Vijana tusirithi ADUI, TUPENDANE
account_circle
jaguar ๐Ÿ˜บ(@Jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha bajeti za kujinunulia magari ya kifahari na viongozi wa CHADEMA hakuna. Kama viongozi wa CHADEMA nao wanawawaza V8 VXR, LC300 na magari mengine ya kifahari kunakuwa na tofauti gani na CCM wanaowalaumu kila siku? Inakera sana.
Pumbavu zenu.๐Ÿ˜Š

Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha bajeti za kujinunulia magari ya kifahari na viongozi wa CHADEMA hakuna. Kama viongozi wa CHADEMA nao wanawawaza V8 VXR, LC300 na magari mengine ya kifahari kunakuwa na tofauti gani na CCM wanaowalaumu kila siku? Inakera sana. Pumbavu zenu.๐Ÿ˜Š
account_circle
January Makamba(@JMakamba) 's Twitter Profile Photo

Second Day of Visit to China. Impactful engagements with:- President of China EXIM Bank, Chairman of China International Development Cooperation Agency, Foreign Minister, and President of the Central Party School. Weโ€™re grateful for the warmth and hospitality of our hosts.

account_circle
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@__abdulazack) 's Twitter Profile Photo

๐”๐ฌ๐ฎ๐ฅ๐ฎ๐ก๐ข๐ฌ๐ก๐ข: ๐“๐ฎ๐ง๐๐ฎ ๐‹๐ข๐ฌ๐ฌ๐ฎ ๐š๐ฆ๐ญ๐จ๐š ๐Œ๐›๐จ๐ฐ๐ž ๐ฆ๐š๐œ๐ก๐จ๐ณ๐ข ๐ค๐ข๐ค๐š๐จ๐ง๐ข, ๐ง๐ ๐จ๐ฆ๐š ๐›๐š๐๐จ ๐ง๐ณ๐ข๐ญ๐จ ๐œ๐ก๐š๐๐ž๐ฆ๐š

Na Nulphin Charles Heche,

Hatimaye Tundu Lissu na Freeman Mbowe wakubali yaishe na hivi karibuni watatoka nje kuja kuongea na wananchi

๐”๐ฌ๐ฎ๐ฅ๐ฎ๐ก๐ข๐ฌ๐ก๐ข: ๐“๐ฎ๐ง๐๐ฎ ๐‹๐ข๐ฌ๐ฌ๐ฎ ๐š๐ฆ๐ญ๐จ๐š ๐Œ๐›๐จ๐ฐ๐ž ๐ฆ๐š๐œ๐ก๐จ๐ณ๐ข ๐ค๐ข๐ค๐š๐จ๐ง๐ข, ๐ง๐ ๐จ๐ฆ๐š ๐›๐š๐๐จ ๐ง๐ณ๐ข๐ญ๐จ ๐œ๐ก๐š๐๐ž๐ฆ๐š Na Nulphin Charles Heche, Hatimaye Tundu Lissu na Freeman Mbowe wakubali yaishe na hivi karibuni watatoka nje kuja kuongea na wananchi
account_circle
Monalisandala(@Monalisandala1) 's Twitter Profile Photo

Chadema kiukweli mnatia aibu sana, Chama kinazaidi ya miaka 20 eti kinachangisha pesa ya gari tena ya Makamo Mwenyekiti!! Baada ya Maandamano kugoma sasa mnarudi kwa wanaNchi kuchukua hata kidogo chao kwenye mambo yenu ya anasa na starehe? Afu ndio mnataka mpewe Nchi Mnaota nyiee

Chadema kiukweli mnatia aibu sana, Chama kinazaidi ya miaka 20 eti kinachangisha pesa ya gari tena ya Makamo Mwenyekiti!! Baada ya Maandamano kugoma sasa mnarudi kwa wanaNchi kuchukua hata kidogo chao kwenye mambo yenu ya anasa na starehe? Afu ndio mnataka mpewe Nchi Mnaota nyiee
account_circle
Kipanga(@Kipanga1986) 's Twitter Profile Photo

Halafu hii michango kumbe inaingia kwenye account ya mtu binafsi, kwa nini isiingie kwenye acc ya chama, baada ya michango chama kikaleta report ni sh.ngapi imepatikana na gari aina gani imenunuliwa, au shangazi yenu Maria ndio kaamua hivi na yeye apate fungu lake