Moker👁(@mokertz__) 's Twitter Profileg
Moker👁

@mokertz__

@ChelseaFC| Archive 👁. 👁️ | VIDEO CHINI |👁️

ID:1521603169461186560

calendar_today03-05-2022 21:31:08

90,1K Tweets

42,0K Followers

1,4K Following

KUBWA LA MAADUI(@ATizulwa_) 's Twitter Profile Photo

Huyu ni raisi wa wote, ni heshima kubwa sana hii kwa tasnia ya burudani, hakika mama ni mtu wa watu na anaupiga mwingi

Huyu ni raisi wa wote, ni heshima kubwa sana hii kwa tasnia ya burudani, hakika mama ni mtu wa watu na anaupiga mwingi
account_circle
cousin 420(@420Cousin) 's Twitter Profile Photo

What a time!!!!!!

Mama anapiga International mchana alafu akamaliza local usiku event zote zikiwa na hadhi tumejadilia masuala ya Usalama barani Africa then tukaburudika na vijana juu ya sanaa nzuri ya Tanzania.

Ni mara chache sana kumpata Rais aina ya Samia Suluhu Hassan.

What a time!!!!!! Mama anapiga International mchana alafu akamaliza local usiku event zote zikiwa na hadhi tumejadilia masuala ya Usalama barani Africa then tukaburudika na vijana juu ya sanaa nzuri ya Tanzania. Ni mara chache sana kumpata Rais aina ya Samia Suluhu Hassan.
account_circle
Headboy wa mtaa(@Sirajitz1) 's Twitter Profile Photo

Huyu ni raisi wa wote, ni heshima kubwa sana hii kwa tasnia ya burudani, hakika mama ni mtu wa watu na anaupiga mwingi

Huyu ni raisi wa wote, ni heshima kubwa sana hii kwa tasnia ya burudani, hakika mama ni mtu wa watu na anaupiga mwingi
account_circle
cousin 420(@420Cousin) 's Twitter Profile Photo

Real Nations respect 🫡 people when they’re alive!

Rais Samia Suluhu Hassan ni wetu, We will stand with her, sapoti yetu kwake ni ya kudumu we will support her daima no matter what.!

Ametupa heshima tuliyoipoteza, ameunyanyua uchumi ulioanguka amefungua milango mingi ya fursa

Real Nations respect 🫡 people when they’re alive! Rais Samia Suluhu Hassan ni wetu, We will stand with her, sapoti yetu kwake ni ya kudumu we will support her daima no matter what.! Ametupa heshima tuliyoipoteza, ameunyanyua uchumi ulioanguka amefungua milango mingi ya fursa
account_circle
KUBWA LA MAADUI(@ATizulwa_) 's Twitter Profile Photo

Historia ya mafanikio yetu katika
harakati za ukombozi wa Bara la
Afrika, lazima itupe hamasa
katika jitihada zetu za sasa za
kulinda amani, kujiletea
maendeleo na kuhakikisha
ustawi wa watu wetu.

Historia ya mafanikio yetu katika harakati za ukombozi wa Bara la Afrika, lazima itupe hamasa katika jitihada zetu za sasa za kulinda amani, kujiletea maendeleo na kuhakikisha ustawi wa watu wetu.
account_circle
Dullah_theKing🇹🇿(@DullahTheking2) 's Twitter Profile Photo

👉🏽Mwishoni mwa Video ya 'PRESS ME'🎶 ya mwanetu 'CHRIS BROWN' inakutaarifu ujio wa video nyingine bila kutumia nguvu kabisa 😅...na utalitambua hili kama ukiuzingatia mwanzo wa Video.

Hii ndio tofauti kubwa kati yao na sisi aisee, Wanetu hawafanyi kazi kimazoea kabisa, wao kila

👉🏽Mwishoni mwa Video ya 'PRESS ME'🎶 ya mwanetu 'CHRIS BROWN' inakutaarifu ujio wa video nyingine bila kutumia nguvu kabisa 😅...na utalitambua hili kama ukiuzingatia mwanzo wa Video. Hii ndio tofauti kubwa kati yao na sisi aisee, Wanetu hawafanyi kazi kimazoea kabisa, wao kila
account_circle
cousin 420(@420Cousin) 's Twitter Profile Photo

Asante Afrika, Afrika ipo Salama chini ya Mama.

Ushindi kila siku kwa Simba wa Vita Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tumekabidhiwa kijiti cha usimamizi wa Baraza la Amani na Usalama Afrika.

Asante Afrika, Afrika ipo Salama chini ya Mama. Ushindi kila siku kwa Simba wa Vita Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tumekabidhiwa kijiti cha usimamizi wa Baraza la Amani na Usalama Afrika.
account_circle
DanielHK🍁(@rasoulHK) 's Twitter Profile Photo

📍Tujifunze Kitu Hapa.

Miaka kadhaa nyuma, nilikuwa ni miongoni mwa wakosoaji wakubwa juu ya Wahitimu wengi kukosa ajira, nikihoji kuwa ni WAZEMBE.

Fikra zangu zilichajiwa na maono na msaada mkubwa niliokuwa nikipatiwa ningali nipo Chuoni.

Kiufupi, niliiona dunia ya fursa kede

📍Tujifunze Kitu Hapa. Miaka kadhaa nyuma, nilikuwa ni miongoni mwa wakosoaji wakubwa juu ya Wahitimu wengi kukosa ajira, nikihoji kuwa ni WAZEMBE. Fikra zangu zilichajiwa na maono na msaada mkubwa niliokuwa nikipatiwa ningali nipo Chuoni. Kiufupi, niliiona dunia ya fursa kede
account_circle
HUNCHO(@hunchosmile) 's Twitter Profile Photo

😂mkiwa mnaleta wazazi weny dar hakikisheni mnandinga sio mnawatesa kwenye mwendokasi….

huyu bibi ake nani kabanwa kwenye mwendokas za kimara analia kama mtoto…😂😆💔

account_circle