Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi
@ukaguzitanzania
ISO 9001:2015 Certified. Karibu katika Akaunti Rasmi ya Twitter ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.
ID: 1311388466631106561
https://www.nao.go.tz/ 30-09-2020 19:38:54
534 Tweet
1,1K Followers
379 Following
Kaimu CAG, Bi. Wendy Massoy akifungua mafunzo kwa Maofisa wa Udhibiti Ubora, Mawasiliano na Uhusiano wa Bunge kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Uganda na Rwanda. Mafunzo hayo yanafanyika kuanzia Mei 20, 2024 jijini Arusha. Riksrevisionen Office of the Auditor General Uganda OAGRwanda Auditor-General Kenya
Acting CAG, Ms. Wendy Massoy (seated in the center), poses with participants of the Workshop on Quality Control, Government Communication, and Parliamentary Liaison Officers. The workshop was officially opened on May 20, 2024, in Arusha. Riksrevisionen Auditor-General Kenya OAGRwanda
Karibu Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi: Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Juni 16-23, 2024 ikiwa ni moja ya matukio katika kalenda ya Umoja wa Afrika (AU) ambapo nchi Wanachama huadhimisha kila mwaka kuanzia tarehe 16 hadi 23 Juni. Ofisi ya Rais - Utumishi
CAG Mr. Charles E. Kichere met with The Gambia's AG Mr. Modou Ceesay and his delegation in Dodoma on July 8, 2024. They exchanged auditing experiences and strengthened ties between Tanzania and Gambia's Supreme Audit Institutions. National Audit Office, The Gambia Afrosai E #Audit #Tanzania #Gambia
National Audit Office of Tanzania, conducted special training for Rukwa Press Club on Audit Reports on July 22, 2024. The goal is to enhance journalists' skills in writing articles and preparing public education programs. Afrosai E Riksrevisionen Tanzania Editors Forum (TEF) INTOSAI Development Initiative
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi imeendesha mafunzo maalumu kwa Njombe Press Club kuhusu Ripoti za Ukaguzi. Mafunzo haya yamelenga kuwajengea uwezo waandishi ili waandike na kuandaa vipindi vya elimu kwa umma kuhusu Ripoti za Ukaguzi kwa ufanisi zaidi. Tanzania Editors Forum (TEF)
CAG, Mr. Charles E. Kichere has opened a 5-day Quality Monitoring Workshop in Dodoma. Participants are Auditors from Tanzania, Uganda, Malawi and Liberia. The workshop, organized by AFROSAI-E, aims to boost audit quality and efficiency. Afrosai E Office of the Auditor General Uganda GAC Liberia
CAG, Bw. Charles E. Kichere, akiwa na Mkurugenzi wa NBAA, CPA Pius Maneno, Naibu Mkaguzi Mkuu-DAG, Bi. Kubela Mwakatundu, na Wakaguzi wa NAOT kwenye mafunzo yaliyoandaliwa na NBAA kwa kushirikiana na NAOT. Mafunzo hayo yamefunguliwa na CAG, Agosti 26, 2024, Dodoma. The National Board of Accountants and Auditors