Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (@ukaguzitanzania) 's Twitter Profile
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi

@ukaguzitanzania

ISO 9001:2015 Certified. Karibu katika Akaunti Rasmi ya Twitter ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.

ID: 1311388466631106561

linkhttps://www.nao.go.tz/ calendar_today30-09-2020 19:38:54

534 Tweet

1,1K Takipçi

379 Takip Edilen

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (@ukaguzitanzania) 's Twitter Profile Photo

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi imeendesha mafunzo maalumu kwa Njombe Press Club kuhusu Ripoti za Ukaguzi. Mafunzo haya yamelenga kuwajengea uwezo waandishi ili waandike na kuandaa vipindi vya elimu kwa umma kuhusu Ripoti za Ukaguzi kwa ufanisi zaidi. Tanzania Editors Forum (TEF)

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi imeendesha mafunzo maalumu kwa Njombe Press Club kuhusu Ripoti za Ukaguzi. Mafunzo haya yamelenga kuwajengea uwezo waandishi ili waandike na kuandaa vipindi vya elimu kwa umma kuhusu Ripoti za Ukaguzi kwa ufanisi zaidi. <a href="/EditorsForums/">Tanzania Editors Forum (TEF)</a>