ford Kimungui(@fordKimungui4) 's Twitter Profileg
ford Kimungui

@fordKimungui4

ID:1110906321208070144

calendar_today27-03-2019 14:08:01

32,3K Tweets

5,8K Followers

2,7K Following

KBC Radio Taifa(@RadioTaifaFM) 's Twitter Profile Photo

Wanasiasa wanapenda kuongea LUGHA ya Siasa lakini sisi ni WANGWANA, Ningependa kuambia wakenya kwamba Interns wamekuwa wakilipwa hiyo pesa 206K kutoka kitambo , Hii ni pesa ambayo SRC walikuja nayo, na serikali imekuwa ikilipa Interns hiyo pesa hata huu mwaka - Miskellah

Wanasiasa wanapenda kuongea LUGHA ya Siasa lakini sisi ni WANGWANA, Ningependa kuambia wakenya kwamba Interns wamekuwa wakilipwa hiyo pesa 206K kutoka kitambo , Hii ni pesa ambayo SRC walikuja nayo, na serikali imekuwa ikilipa Interns hiyo pesa hata huu mwaka - Miskellah #Zinga
account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

State of the nation:

Bramwell Simiyu – Chief Officer, Disaster Management & Coordination: These floods are occurring because of bursting of river banks and not poor drainage Trevor Ombija, HSC

account_circle
Radio Citizen(@RadioCitizenFM) 's Twitter Profile Photo

CEO ,NG-CDF Mr. Yussuf Mbuno: Japo kuna changamoto kidogo lakini kwa kiwango kikubwa NG-CDF imefanikisha miradi mingi ya maendeleo.


account_circle
InooroKe(@inooroke) 's Twitter Profile Photo

Magathìti: Ikamba-inì nì kùmwe gwa kùrìa ikuù na wanangìki mùnene ùcùngìrìirio nì mìiyùro ya maaì

account_circle
KBC Radio Taifa(@RadioTaifaFM) 's Twitter Profile Photo

Kwenye Gumzo Pevu tutaangazia swala la Hali ya Afya humu Nchini .... Serikali inasema madaktari warudi kazini , madaktari wameshikilia kwamba matakwa yao yatimizwe yote kwanza ......je, Mwelekeo ni upi ..?

Tunaye Dennis Miskellah , deputy SG KMPDU.

Kwenye Gumzo Pevu tutaangazia swala la Hali ya Afya humu Nchini .... Serikali inasema madaktari warudi kazini , madaktari wameshikilia kwamba matakwa yao yatimizwe yote kwanza ......je, Mwelekeo ni upi ..? Tunaye Dennis Miskellah , deputy SG KMPDU. #zinga
account_circle
KBC Radio Taifa(@RadioTaifaFM) 's Twitter Profile Photo

: Mama watoto Analalamika kwamba Kila time Bwanake anaposafiri lazima amlete dada yake akae naye Kwa nyumba ....Je, hili ni penzi ama limepitiliza kiasi Cha Haja, au huyu Bwana amwamini Mke wake .... Mshauri anafuatilia kipindi hiki
^FN

account_circle