Queen Melanin ๐คโจ
@queen_melanin88
PLAY FOR GOD๐|| Iโve always been a very humble & blessed girl, God NEVER played about me๐๐ธ๐ฝ || Melanin ||
ID: 1532689946103906304
03-06-2022 11:45:58
52,52K Tweet
13,13K Takipรงi
4,4K Takip Edilen
Karibun Sana suit_mseleleko Tuna Mzigo wa Moto Suit Quality, Kitambaa Safi Utajipatia Mzigo huu kwa 170,000/= Koti na Suruali ๐Msimbazi kariakoo , Mtaa wa Mchikichi na Manyema (Nyuma ya jengo la club ya simba) Tupigie ๐ 0762617089 Karibuni Sana Tunafanya Delivery popote
Habari!! Nakuja tena kwenu. Asanteni sana kwa muitikio wenu mkubwa kuhusu wazo langu la jana la kufanya #Fundraising kwa Msanii Nay wa Mitego. #Naythetrueboy Naomba tumchangie chochote kile iwe kama ishara ya kum-support, kumfuta jasho, na zaidi kumtia moyo kwa kazi kubwa
Muonekano wa Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga lililozinduliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Jengo hilo limegharimu jumla ya shilingi Bili. 3.2 likiwa na jumla ya vyumba vya Ofisi 72 na kumbi 2 za Mikutano. OFISI YA RAIS TAMISEMI