Adventure-360 👨‍⚖️(@Adventure_36) 's Twitter Profileg
Adventure-360 👨‍⚖️

@Adventure_36

Lawyer in making, Human Rights Activists, Competent in Politics,Music,
@simbasportsclub @Manchester United fan, Buses Fun, Buses Reporter 🚌

ID:1230927069284048898

calendar_today21-02-2020 18:48:12

238,6K Tweet

101,9K Takipçi

813 Takip Edilen

Adventure-360 👨‍⚖️(@Adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Boss Achimwene tuletee hii Dar to Mbeya nauli iwe laki tano ambaye hataki akae mbali na mlango wa basi asije kuiba simu za abiria.

Boss Achimwene tuletee hii Dar to Mbeya nauli iwe laki tano ambaye hataki akae mbali na mlango wa basi asije kuiba simu za abiria.
account_circle
winharder_(@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Introducing can help the students to reduce stress and anxiety related to academic pressures, leading to better academic performance and a more positive school experience.
MindyourMind

account_circle
Adventure-360 👨‍⚖️(@Adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Nimeishi sehem nyingi sana Kigamboni maeneo ya majumba 10 pale, kilindoni, kichangachui, utende

Marimbani, kitomondo na chunguruma.

Pia nimefika visiwa vya Bwejuu, jibondo na Shungi mbili.

Nimeenda sana Bweni na Bweni ya leo miaka hiyo 😃

account_circle
Adventure-360 👨‍⚖️(@Adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Nimeishi sehem nyingi sana Kigamboni maeneo ya majumba 10 pale, kilindoni, kichangachui, utende

Marimbani, kitomondo na chunguruma.

Pia nimefika visiwa vya Bwejuu, jibondo na Shungi mbili.

Nimeenda sana Bweni na Bweni ya leo miaka hiyo 😃

account_circle
Sylah arts(@Pichanzurii) 's Twitter Profile Photo

Chagua picha yake kali nzuri anayoipenda, nitumie whatsapp au Dm nikutolee pichambao 🌸

A3 size
Tsh 15,000/

Kazi inachukua dakika 45 kukamilika tu. Wasiliana nasi upate .

📍Sinza kumekucha
☎️ 0786445451

Delivery tunafanya hadi ulipo

Chagua picha yake kali nzuri anayoipenda, nitumie whatsapp au Dm nikutolee pichambao 🌸 A3 size Tsh 15,000/ Kazi inachukua dakika 45 kukamilika tu. Wasiliana nasi upate #pichambao . 📍Sinza kumekucha ☎️ 0786445451 Delivery tunafanya hadi ulipo
account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

TIC yafanya mkutano na wajumbe 15 kutoka makampuni mbalimbali kutoka Uturuki

Lengo ni kuyakaribisha kufanya ubia na kampuni za ndani pia kuwekeza ili kuchochea uchumi wa nchi

TIC yafanya mkutano na wajumbe 15 kutoka makampuni mbalimbali kutoka Uturuki Lengo ni kuyakaribisha kufanya ubia na kampuni za ndani pia kuwekeza ili kuchochea uchumi wa nchi #WekezaTanzania #MamaYukoKazini
account_circle
Fred Kavishe(@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

Watumishi umekwama kumalizia nyumba yako sasa 𝐌𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐲𝐚𝐧𝐚𝐣𝐢𝐩𝐚 𝐧𝐝𝐚𝐧𝐢 𝐬𝐚𝐚 𝟐𝟒.

Pata mkopo wa hadi Tsh Milioni 2️⃣0️⃣0️⃣ ndani ya saa 24 Pita: ess.utumishi.go.tz kisha chagua CRDB Bank kupata pesa Leo.

account_circle
DOCHA (@ALugandu) 's Twitter Profile Photo

Mkopo Uende Kufanya Mambo ya Msingi Kama Kujenga Barabara, kuboresha Huduma Za Afya na Sio Kuishia Kuliwa na Baadhi ya Watu.

account_circle