๐Ÿฆ ๐ ๐ˆ ๐‡ ๐„ ๐Œ ๐Žโ„ข(@CharlieBihemo) 's Twitter Profileg
๐Ÿฆ ๐ ๐ˆ ๐‡ ๐„ ๐Œ ๐Žโ„ข

@CharlieBihemo

|| ฮ—ฮฃฮŸฮฅฮฃ ||Social Media Manager || Mchumi || Ngosha || Manager Leo || Baba Cheupe ||

ID:3206850970

linkhttps://twitter.com/CharlieBihemo/status/1445637391755010051?t=Q0E7EJTiq6-VsAw5vFb1yg&s=19 calendar_today25-04-2015 17:06:54

335,4K Tweet

78,7K Takipรงi

962 Takip Edilen

Follow People
๐Ÿฆ ๐ ๐ˆ ๐‡ ๐„ ๐Œ ๐Žโ„ข(@CharlieBihemo) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA ya Mama Samia Suluhu

Taswira ya magari mbalimbali yaliyounganishwa katika Kiwanda cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.

TANZANIA ya Mama Samia Suluhu Taswira ya magari mbalimbali yaliyounganishwa katika Kiwanda cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024. #MamaYukoKazini
account_circle
Mama yuko Kazini(@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

๐“๐”๐‰๐„๐๐†๐„ ๐”๐“๐€๐Œ๐€๐ƒ๐”๐๐ˆ ๐–๐€ ๐Š๐”๐๐”๐๐”๐€ ๐๐ˆ๐ƒ๐‡๐€๐€ ๐™๐ˆ๐๐€๐™๐Ž๐™๐€๐‹๐ˆ๐’๐‡๐–๐€ ๐๐‚๐‡๐ˆ๐๐ˆ

โ€œTunaponunua bidhaa zinazozalishwa nchini tunawezesha uwekezaji na uzalishaji kuendelea na hivyo kuendelea kuongeza ubora wa bidhaa, kulinda ajira za vijana wetu naโ€ฆ

๐“๐”๐‰๐„๐๐†๐„ ๐”๐“๐€๐Œ๐€๐ƒ๐”๐๐ˆ ๐–๐€ ๐Š๐”๐๐”๐๐”๐€ ๐๐ˆ๐ƒ๐‡๐€๐€ ๐™๐ˆ๐๐€๐™๐Ž๐™๐€๐‹๐ˆ๐’๐‡๐–๐€ ๐๐‚๐‡๐ˆ๐๐ˆ โ€œTunaponunua bidhaa zinazozalishwa nchini tunawezesha uwekezaji na uzalishaji kuendelea na hivyo kuendelea kuongeza ubora wa bidhaa, kulinda ajira za vijana wetu naโ€ฆ
account_circle
Mama yuko Kazini(@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

๐Œ๐€๐Œ๐€ ๐€๐Œ๐„๐ˆ๐Œ๐€๐‘๐ˆ๐’๐‡๐€ ๐Œ๐€๐™๐ˆ๐๐†๐ˆ๐‘๐€ ๐˜๐€ ๐”๐–๐„๐Š๐„๐™๐€๐‰๐ˆ ๐๐‚๐‡๐ˆ๐๐ˆ

โ€œNiendelee kusisitiza Tanzania ipo tayari kwa uwekezaji, tuko tayari kupokea uwekezaji, acha makampuni yaje tutashirikiana nao tuone wapi wanakwenda kuwekeza.โ€ - Mheshimiwa Rais Samia Suluhuโ€ฆ

๐Œ๐€๐Œ๐€ ๐€๐Œ๐„๐ˆ๐Œ๐€๐‘๐ˆ๐’๐‡๐€ ๐Œ๐€๐™๐ˆ๐๐†๐ˆ๐‘๐€ ๐˜๐€ ๐”๐–๐„๐Š๐„๐™๐€๐‰๐ˆ ๐๐‚๐‡๐ˆ๐๐ˆ โ€œNiendelee kusisitiza Tanzania ipo tayari kwa uwekezaji, tuko tayari kupokea uwekezaji, acha makampuni yaje tutashirikiana nao tuone wapi wanakwenda kuwekeza.โ€ - Mheshimiwa Rais Samia Suluhuโ€ฆ
account_circle
WHYMYCATISSAD(@INFLUENCERjr) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa nayo ni ishara ya mapenzi mazitoโค๏ธ na timu yako๐Ÿฆ. Je wewe unayo? Tazama hapa uone jinsi ya kuomba yako kupitia SimBanking๐Ÿ“ฑ Kama huna akaunti ya CRDB, Swahiba njoo tawini tutakusoti ufungue na upate kadi yako ya Simba๐Ÿ’ณ.

account_circle
๐Ÿฆ ๐ ๐ˆ ๐‡ ๐„ ๐Œ ๐Žโ„ข(@CharlieBihemo) 's Twitter Profile Photo

๐๐ˆ๐‚๐‡๐€ ๐Ÿ“ท

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited Chirag Panna wakati akikagua kazi mbalimbali za kuunganisha magari kiwandani hapo Kigamboni, Darโ€ฆ

๐๐ˆ๐‚๐‡๐€ ๐Ÿ“ท Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited Chirag Panna wakati akikagua kazi mbalimbali za kuunganisha magari kiwandani hapo Kigamboni, Darโ€ฆ
account_circle
Agnes Prudence(@agnes_prudence) 's Twitter Profile Photo

Usiache kula๐Ÿ˜‹
Kazi na Lishe
Jipatie Kitoweo safi kabisa
Kuku wa Kienyeji wazuri
Matetea 22,000/=
Majogoo 25,000/= na 27,000/=
Tunakuchinjia na kunyonyoa bure kabisa
Tunapatikana Kiluvya
Delivery ipo ndani ya DSM, unalipia gharama za usafiri
Call/WhatsApp: 0623 374 863

Usiache kula๐Ÿ˜‹ Kazi na Lishe Jipatie Kitoweo safi kabisa Kuku wa Kienyeji wazuri Matetea 22,000/= Majogoo 25,000/= na 27,000/= Tunakuchinjia na kunyonyoa bure kabisa Tunapatikana Kiluvya Delivery ipo ndani ya DSM, unalipia gharama za usafiri Call/WhatsApp: 0623 374 863
account_circle
Chen Mingjian ้™ˆๆ˜Žๅฅ(@ChenMingjian_CN) 's Twitter Profile Photo

Madam Peng Liyuan, wife of Chinese President Xi Jinping, visited UNESCO Headquarters and met with Director-General Audrey Azoulay. Culture & Art always serve as the bridge of amity.

account_circle
๐Ÿฆ ๐ ๐ˆ ๐‡ ๐„ ๐Œ ๐Žโ„ข(@CharlieBihemo) 's Twitter Profile Photo

Viongozi wa Simba waliingia mkataba halafu wakasahau kuhamasishaa watu wajiunge na Kadi za Mashabiki wa Simba naona Yanga kila wanakoenda kucheza Mechi wanahimiza mashabiki wao kujiunga na Kadi shabiki wa Mwananchi Ndio maana kuna Kiongozi alizingua kusajili wanachama akapigwaโ€ฆ

account_circle
MwanaHabari(@MwanaHabariNews) 's Twitter Profile Photo

WANAFUNZI VYUO VIKUU WAPONGEZA BAJETI YA ELIMU KUONGEZA WANUFAIKA WA MIKOPO

Wanafunzi wa elimu ya juu wameipongeza Serikali ya awamu ya sita kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mabadiliko makubwa waliyofanya kwenye sekta ya elimu huku wakitoa wito kwa wanafunzi

account_circle
Lemutuz TV(@lemutuztv) 's Twitter Profile Photo

Wanafunzi wa elimu ya juu wameipongeza Serikali ya awamu ya sita kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mabadiliko makubwa waliyofanya na kutoa wito kwa wanafunzi wanaopata ufadhili Samia Scholarship kusoma kwa bidii ili waweze kusaidia jamii katika siku zijazo.

account_circle
cousin 420(@420Cousin) 's Twitter Profile Photo

Mama anatekeleza ujenzi wa bwawa la kidunda kwa kasi mnoooo ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Wazo la ujenzi wa Bwawa la Kidunda ni la miaka na miaka, tangu miaka ya 1950. Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere amelikuta na ameliendeleza wazo.

Baada ya miaka zaidi ya 60, Mama Samia analijenga Bwawa la Kidundaโ€ฆ

account_circle