cousin 420(@420Cousin) 's Twitter Profileg
cousin 420

@420Cousin

Tanzania ni njema atakaye na aje. |T2530SSH| There are many good stories to tell about what our Samia government does daily for the citizens of our country.

ID:2724063808

calendar_today25-07-2014 11:09:30

39,7K Tweets

16,9K Followers

2,4K Following

KAPETOπŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@kapeto98) 's Twitter Profile Photo

Tanzania’s Export-Led Economic Growth and Trade Dynamics

In the year ending March 2024, exports of goods and services showed robust growth, rising by 13.6 percent to reach USD 14,301.4 million. This significant increase was primarily driven by various factors, including strong

Tanzania’s Export-Led Economic Growth and Trade Dynamics In the year ending March 2024, exports of goods and services showed robust growth, rising by 13.6 percent to reach USD 14,301.4 million. This significant increase was primarily driven by various factors, including strong
account_circle
Getrude Mollel πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@Getrude_mollel) 's Twitter Profile Photo

Kuna mambo yanafikirisha sana, mno. Chama kina umri wa miaka zaidi ya 30, lakini hadi leo kinatembeza bakuli kuomba michango kwa wananchama kununua gari.

Ili mjue kwamba Lissu sio kitu ndani ya Chadema, mnadhani kwamba angelikuwa ni Mbowe ndiye mwenye shida ya gari, angetembeza

Kuna mambo yanafikirisha sana, mno. Chama kina umri wa miaka zaidi ya 30, lakini hadi leo kinatembeza bakuli kuomba michango kwa wananchama kununua gari. Ili mjue kwamba Lissu sio kitu ndani ya Chadema, mnadhani kwamba angelikuwa ni Mbowe ndiye mwenye shida ya gari, angetembeza
account_circle
HassanMwakiny(@Savajanjaro) 's Twitter Profile Photo

Waache kuwasumbua wananchi Waje kwangu Mimi nitawanunulia Gari yoyoye wanayo itaka kwa sharti moja tu wanieleze pesa za Ruzuku wamezifanyia Nini.

account_circle
cousin 420(@420Cousin) 's Twitter Profile Photo

Lissu anastahili kupiganiwa na chadema ila chadema wenyewe sasa wameona fursa ya kupiga michango.

I will still remind you over and over again, everyone in the CDM is a criminal. They don’t care about anything else. It’s only about michango na ruzuku and destroying.

If they

Lissu anastahili kupiganiwa na chadema ila chadema wenyewe sasa wameona fursa ya kupiga michango. I will still remind you over and over again, everyone in the CDM is a criminal. They don’t care about anything else. It’s only about michango na ruzuku and destroying. If they
account_circle
Korosho Media Tv(@KoroshoMedia) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, Dkt. Akinwumi Adesina amesema Rais Samia ni kiongozi wa kuenziwa kwenye bara la Afrika kama vito.Kauli hii imetokana na namna ambavyo Rais Samia amekuwa na ushawishi mkubwa sana kimataifa.

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, Dkt. Akinwumi Adesina amesema Rais Samia ni kiongozi wa kuenziwa kwenye bara la Afrika kama vito.Kauli hii imetokana na namna ambavyo Rais Samia amekuwa na ushawishi mkubwa sana kimataifa.
account_circle
cousin 420(@420Cousin) 's Twitter Profile Photo

Mama amazifumua barabara za Dar es salaam katika moja na mbili ya kuboresha miundombinu na kuirembesha miundombinu ya Jiji…!!!

Kwa Mama actions speak louder than Words.

account_circle
Getrude Mollel πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@Getrude_mollel) 's Twitter Profile Photo

Vikao vyao haviwezi kwenda bila pombe. Kwa hali hii ajenda za kikao cha CC zilipigwa kapuni kikawa kikao cha kusutana kwa siku 3.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Vikao vyao haviwezi kwenda bila pombe. Kwa hali hii ajenda za kikao cha CC zilipigwa kapuni kikawa kikao cha kusutana kwa siku 3.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
account_circle
Rashda Zunde(@RashdaZunde) 's Twitter Profile Photo

RAIS SAMIA '𝘼 π™‚π™šπ™’ 𝙛𝙀𝙧 π˜Όπ™›π™§π™žπ™˜π™–'

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, Mh. Dkt. Akinwumi Adesina amesema Rais Samia Suluhu ni kiongozi wa kuenziwa kwenye bara la Afrika kama vito.

Kauli hii imetokana na namna ambavyo Rais Samia amekuwa na ushawishi mkubwa sana

RAIS SAMIA '𝘼 π™‚π™šπ™’ 𝙛𝙀𝙧 π˜Όπ™›π™§π™žπ™˜π™–' Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, Mh. Dkt. Akinwumi Adesina amesema Rais Samia Suluhu ni kiongozi wa kuenziwa kwenye bara la Afrika kama vito. Kauli hii imetokana na namna ambavyo Rais Samia amekuwa na ushawishi mkubwa sana
account_circle
πŒπ€π‘π‹π„π˜(@funjojr) 's Twitter Profile Photo

'Lissu anaipigania CHADEMA kwanini CHADEMA haitaki kumpigania Lissu akapata gari'

hili la kiungozi wa hadhi yake kukosa gari, linafikirisha sana.

account_circle
Adui Wa Yanga(@Aduiwayanga) 's Twitter Profile Photo

Uongo uongo uongoπŸ€”
Nimesikiliza haya mahojiano ya mh Tundu Antiphas Lissu kwa umakini mkubwa anakiri kwa kinywa chake kua alilipiwa madeni yake yote kwa kiinua mgongo chake na hivyo hadai chochote kwenye mafao na akasema kua kilichokua kimebaki ni haki za matibabu na anasema alipewa

account_circle
cousin 420(@420Cousin) 's Twitter Profile Photo

MCHANGIENI ILA TUSIRUHUSU UONGO UWE SABABU YA MICHANGO.

1. Maria Sarungi anasema kuwa Tundu Lissu Tundu Antiphas Lissu hakulipwa stahiki zake hivyo inatupasa watanzania tuchange kumnunulia Lissu gari si kweli Lissu anachodai kwasasa ni stahiki ya malipo ya matibabu vingine amelipwa

account_circle